Ukweli kuhusu WANAWAKE

Hiyo ya Beberu kali nayo
ndo manake..swala asi ukweli bwana pasipo kuchek pande ya pili itajifil vp...heee unamshushia km ilivyo ee bwana ur looking similar to monster...sema tu nimekupensa bt napata ukakasi juu ya watoto utakaonisababishia..!
 
unanuka km beberu
unatisha km mzimu.

mwee mwee.....duh....hii kali....hapo utakuwa umemmaliza kabisa.....japo wengine samtaim wananukaga kama beberu....unakoma mwenyewe halafu ndio la aziz
 
Wanawake ni kama maua, maua yasipomwagiliwa maji hunyauka na waliumbwa kwa kupendeza na kisha wapendwe.
 
mwee mwee.....duh....hii kali....hapo utakuwa umemmaliza kabisa.....japo wengine samtaim wananukaga kama beberu....unakoma mwenyewe halafu ndio la aziz

Halafu na ubeberu huo unakuta linataka ulilambe mpaka miguu.... Chaaaai ova my dead body oooh!
 
Kiranja Mkuu said:
wenzetu wameumbwa na haya ndio maana ukimwambia you are so sexy atafurahi kuliko kumwambia umekaa kihamu hamu.
Ukitumia lugha ya Kiswahili maneno yanakuwa yanachoma sana
Kwa hasiefahamu kimombo utamwambia kwa lugha ipi? (ninaongelea wanawake wa kiTZ)
 
wanawake wengi wa ki TZ wanajua kimombo siku hizi

kwa kweli kwa ambao hatujui kimombo mmhh ndo balaa tu tunaambiwa lugha hiyo hiyo ya kiswahili lakini hayo maneno sasa..

1."nikinywa maji ni sura yako tu kwenye glass"
2."dada we unanionea sana hata kwa Mungu ni dhambi jinsi unavyo ni nyima kwani hujui we ni ubavu wangu wapili, umeumbwa kwa ajili yangu"
3."sili si lalali nauwaza tu huo uzuri wako"
4."mmhhh aliye kuumba kakupendelea aliye kuzaa nampa hongera"
mmhh maneno ni mengi sana nahitaji ukurasa mzima kukuandikia
ya sisi ambao kimombo kinachemsha kidogo...
 
Kiranja Mkuu said:
wenzetu wameumbwa na haya ndio maana ukimwambia you are so sexy atafurahi kuliko kumwambia umekaa kihamu hamu.
Ukitumia lugha ya Kiswahili maneno yanakuwa yanachoma sanawanawake wengi wa ki TZ wanajua kimombo siku hizi

kwa kweli kwa ambao hatujui kimombo mmhh ndo balaa tu tunaambiwa lugha hiyo hiyo ya kiswahili lakini hayo maneno sasa..

1."nikinywa maji ni sura yako tu kwenye glass"
2."dada we unanionea sana hata kwa Mungu ni dhambi jinsi unavyo ni nyima kwani hujui we ni ubavu wangu wapili, umeumbwa kwa ajili yangu"
3."sili si lalali nauwaza tu huo uzuri wako"
4."mmhhh aliye kuumba kakupendelea aliye kuzaa nampa hongera"
mmhh maneno ni mengi sana nahitaji ukurasa mzima kukuandikia
ya sisi ambao kimombo kinachemsha kidogo...

Hapo kwenye italic umenikumbusha zile staili zilipenwa, kama za usiku silali nakuota wewe tu ( sasa sijui mtu unaweza ota bila kulala)
 
mwee mwee.....duh....hii kali....hapo utakuwa umemmaliza kabisa.....japo wengine samtaim wananukaga kama beberu....unakoma mwenyewe halafu ndio la aziz

YAANI KUNA VIUMBE NIMEKUTANA NAO WANA HARUFU MBAYA JAMAN ACHA...yaan kimbalimbali tu akipita unajua yap kapita sasa unapata pcha pale panapo bed na ndo akaswet kdg inakuwaje?+za kwapan zipo ndefuuuu ahh ahh utaisoma namba!!!!!!
 
Hata cku moja ubeberu hauhusu shurti mtu awe msafi mambo ya fumes za ajabu ajabu nop!

ahh kuna ubebebru mwngne ata akiogea ndimu kitu kinabak constant....mkijifungia chumbani aahh mbona utataman uchoropokee dirishan..
 
madam....keduu.....linataka ulilambe miguu?.....chifyakwaaa....mmbanu......

dah i kali ...linataka ulilambe miguu?
mmh asi utatapika?
manake miguu inaharufu yake kwapa yake namwili harufu yake..unaweza ukamnunia bila sababu nakwambia...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom