Ukweli kuhusu sony flagship za zamani

Ogopa sana hizo simu zinazokuja kwa jina la sijui used mara refurbished iyo ni kamali unacheza hapo, ukiweka hilo kichwani hutapata tabu, simu unakuta ilitoka 2016 mpaka leo, almost 6 yrs, kua makini mkuu, yalisha nikuta na sony xperia z5 sina hamu.
Ni kweli usemacho mkuu
 
Wakuu naomba mawazo yenu kuhusu used flagship za sony kama xz1, xz3 nk. Nyingi wanasema ni used from dubai na bei ni chee mno mfano xz1 ni 140,000/= sasa kwenye matumizi nitegemee nini? Ubora wake nini na udhaifu wake nini? Karibu tujuzane wakuu
Mkuu mimi nina XZ1 kama Back Up Phone, ni simu nzuri mnoo kuliko hata hizi Samsung A Series. LINE moja na finger print pia ni water proof.
 
Kuna OS yao sikumbuki na pia wana playstore yao kila kitu kipo..i.e whatsapp etc
Haimake sense kununua simu ya million zake alafu uanze ku sideload apk an gaaps
 
Haimake sense kununua simu ya million zake alafu uanze ku sideload apk an gaaps
Hao jamaa simu zao hazina software issues kabisa na kamera kali plus chaji inakaa yaani full package! Sijaona kama Huawei kwa kweli
 
Mkuu, nimekua nikijaribu mara kwa mara kuingia pm yangu lakini haifunguki, sijajua tatizo ni nini.

 
Mkuu, nimekua nikijaribu mara kwa mara kuingia pm yangu lakini haifunguki, sijajua tatizo ni nini.
Jf wana PM mpya, inatumia adress tofauti, baadhi ya browser ama internet hazikubali kufungua. Hakikisha unatumia browser nzuri kama Chrome na pia hakikisha internet ni Ya mitandao ya simu ambayo ina kasi nzuri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…