Ukweli kuhusu sony flagship za zamani

Ukweli kuhusu sony flagship za zamani

Mwanzoni nilikua naiona kama mpya kabisa, ila baada ya muda mara ika anza kubanduka sijui kioo walikabandika na gundi gani kika anza kutoka, ilipodondoka kidogo ndo ilisambaa, imagine non-removable betri sim inadondoka hadi inasambaa kila kitu.
Used from Dubai asee naziogopa izo simu
 
Mwanzoni nilikua naiona kama mpya kabisa, ila baada ya muda mara ika anza kubanduka sijui kioo walikabandika na gundi gani kika anza kutoka, ilipodondoka kidogo ndo ilisambaa, imagine non-removable betri sim inadondoka hadi inasambaa kila kitu.
Pole kiongozi, ulipigwa kitu kizito
 
Simu used from Dubai ni majanga en nowdayz zimejaa saana
Sijui kwa samsung na brand zingine. Mimi nimeshuhudia iphone mbili, tena nilienda na watu wawili kwa awamu mbili tofauti kununua iphone China Plaza kkoo. Moja ilikuwa 2019, nyingine tukanunua mwaka huu 2022.

Ile ya 2019 mpaka sasa bado jamaa anaitumia, hii ya 2022 mpaka inaendelea kufanya kazi, simu ipo ktk good condition kama mpya.

Aliyewahi kununua brand ya Samsung atupe experience.
 
Wakuu naomba mawazo yenu kuhusu used flagship za sony kama xz1, xz3 nk. Nyingi wanasema ni used from dubai na bei ni chee mno mfano xz1 ni 140,000/= sasa kwenye matumizi nitegemee nini? Ubora wake nini na udhaifu wake nini? Karibu tujuzane wakuu
Tegemea kutembea na powerbank
 
Si kweli mkuu Hakuna Brand kama Sony Linapokuja suala la Battery life, sema si Sony zote zinakaa na Charge.
Jamaa mshamba, hakuna simu ambazo wame optimize matumizi ya battery kama Sony. Watu wakiangalia battery wakaona ni 2390 mAh wanahisi halina nguvu ama halitadumu.

Sony wao android yao wameiweka katika namna ambayo imelimit background process nyingi na wana heat sink ambayo inafanya simu isichemke hata under high usage kama gaming kitu ambacho kinafanyaga battery ife mapema.

Mie nina Sony Xperia C3 Dual ilitoka 2015. Hii simu haina tatizo la charge kabisa, battery yake iliokuja na simu nimeibadili juzi hapa. Mwanzoni nilikuwa nikitumia Xperia Z1 nayo ilikuwa fiti sana. Nikahamia Z2 ndio ilikuwa bomba zaidi acha tu. Nikahamia C3 dual ndio hadi sasa ninayo.

Shida ya sasa ni kuwa simu iko slugish due to low memory sometimes. RAM yake ni 1GB its an outdated phone ila my next phone will be Sony.
 
Kwa nini ununue simu ya zamani wakati kwa bei hiyo unapata mpya?
Simu mpya ya 140K sini itel mzee mwenzangu? Simu utanunua mwaka 22 ina ram 1GB na storage 16GB na latest android! Ukitumia mwezi tu ishaingiliwa na virus ukiwasha data ni matangazo kila dakika.

Wakati kwa hela hio hio ukinunua mtumba wa Sony unakupa 4GB RAM na 64GB with great processor ingawa utakuta ni simu ya miaka 3 nyuma.
 
Ogopa sana hizo simu zinazokuja kwa jina la sijui used mara refurbished iyo ni kamali unacheza hapo, ukiweka hilo kichwani hutapata tabu, simu unakuta ilitoka 2016 mpaka leo, almost 6 yrs, kua makini mkuu, yalisha nikuta na sony xperia z5 sina hamu.
Ninayo hio simu sema haina battery, inabanduka funiko la nyuma 😂😂😂 haikuwa na battery nzuri kulinganisha na sony zingine nilizokuwa nazo.
 
Jamaa mshamba, hakuna simu ambazo wame optimize matumizi ya battery kama Sony. Watu wakiangalia battery wakaona ni 2390 mAh wanahisi halina nguvu ama halitadumu.

Sony wao android yao wameiweka katika namna ambayo imelimit background process nyingi na wana heat sink ambayo inafanya simu isichemke hata under high usage kama gaming kitu ambacho kinafanyaga battery ife mapema.

Mie nina Sony Xperia C3 Dual ilitoka 2015. Hii simu haina tatizo la charge kabisa, battery yake iliokuja na simu nimeibadili juzi hapa. Mwanzoni nilikuwa nikitumia Xperia Z1 nayo ilikuwa fiti sana. Nikahamia Z2 ndio ilikuwa bomba zaidi acha tu. Nikahamia C3 dual ndio hadi sasa ninayo.

Shida ya sasa ni kuwa simu iko slugish due to low memory sometimes. RAM yake ni 1GB its an outdated phone ila my next phone will be Sony.
Mkuu Sonya Kwa sasa Wana simu gani Kali hata Kama ni ya mwaka jana kwa budget ya 800k-1.5m?!
 
Back
Top Bottom