Ni kweli usemacho mkuuOgopa sana hizo simu zinazokuja kwa jina la sijui used mara refurbished iyo ni kamali unacheza hapo, ukiweka hilo kichwani hutapata tabu, simu unakuta ilitoka 2016 mpaka leo, almost 6 yrs, kua makini mkuu, yalisha nikuta na sony xperia z5 sina hamu.
Mkuu mimi nina XZ1 kama Back Up Phone, ni simu nzuri mnoo kuliko hata hizi Samsung A Series. LINE moja na finger print pia ni water proof.Wakuu naomba mawazo yenu kuhusu used flagship za sony kama xz1, xz3 nk. Nyingi wanasema ni used from dubai na bei ni chee mno mfano xz1 ni 140,000/= sasa kwenye matumizi nitegemee nini? Ubora wake nini na udhaifu wake nini? Karibu tujuzane wakuu
Haimake sense kununua simu ya million zake alafu uanze ku sideload apk an gaapsKuna OS yao sikumbuki na pia wana playstore yao kila kitu kipo..i.e whatsapp etc
Vitu vyote hivyo vipo preloaded kwenye simuHaimake sense kununua simu ya million zake alafu uanze ku sideload apk an gaaps
Hao jamaa simu zao hazina software issues kabisa na kamera kali plus chaji inakaa yaani full package! Sijaona kama Huawei kwa kweliHaimake sense kununua simu ya million zake alafu uanze ku sideload apk an gaaps
Xperia 10 iV ni mpya imetoka ngumu kupata refurb ila hii unaweza tumia siku 2 mpaka 3 matumizi ya kawaida. Inaweza play video masaa 32 mfululizo kabla ya kuzima, ama kuperuzi masaa 21.
Realistically xz1 compact refurb yake unapata kwa hio bei (mimi pia naimiliki hio simu) kasimu fulani kadogo sana kiumbo kama iphone SE ama iphone 5 hivi. Yenyewe nayo uhakika inakaa na Chaji siku nzima masaa kama 9 mixed usage bila kuzima kiooView attachment 2325404
Niliwahi chukua hii screenshot zamani kidogo, mx player saa 1 na dk 32, movie nzima hio imekula asilimia 8 tu. Hapo On screen lisaa 1 dk 50 ila simu ina asilimia 89 bado, so roughly masaa 9 ama 10 inatoboa kioo kikiwa on, matumizi ya kawaida mpaka siku 2 labda.
Nyengine ambazo unapata refurb ila bei kidogo ni hizo Xperia 5 na 10 III hizi around 300k kuendelea huko ughaibuni.
Jf wana PM mpya, inatumia adress tofauti, baadhi ya browser ama internet hazikubali kufungua. Hakikisha unatumia browser nzuri kama Chrome na pia hakikisha internet ni Ya mitandao ya simu ambayo ina kasi nzuri,Mkuu, nimekua nikijaribu mara kwa mara kuingia pm yangu lakini haifunguki, sijajua tatizo ni nini.