Ukweli kuhusu Pyramids

Wanaoenda huko wanaproof kama kuna viumbe vilitoka huko kuja huku ndomana wanahangaika kutafta..mtu hawekez mahala pasipo na kitu shekhe..hawa wazungu wanajua what happed...na wamefanya siri
Sasa wakishajua watafaidika na nini
Unajua vitu vingine ni kukosa Kazi tu
 
Hahahha..hakika

Sina la kuongezea Mkuu
 
Tatizo letu Waafrica hatujui historia yetu na wala hatutaki kuitafuta kuijua zaidi. Nyie mna physical evidences kwamba pyramid zipo kwenye bara lenu na sio kwamba zipo Misri tuu bali Sudan, Ethiopia, Mali na kwingineko. Tunachokijua ni ku quote biblia na kuwapa credit Waislael eti ndio walijenga. Swali dogo la kujiuliza, kwanini wajenge pyramids Africa na Sio kwao?

Jamani ebu someni kuhusu KEMET - the black land ambapo kwa sasa inaitwa Egypt. .

Kuna kabila uko Mali inaitwa DOGON hawa jamaa wana uelewa mkubwa kuhusu ulimwengu wetu na inasadikika kwamba ni kizazi cha hao mababu zetu waliojenga hizo pyramid.

Waafrica tuna historia nzuri sana ila inapumbazwa na dini na pia propaganda za wazungu kutaka kuonesha kwamba sisi ni inferior. Hii historia tunayosoma mashuleni na kwenye biblia sio ya ukweli, imechakachuliwa.
 
Kweli kabisaa Africa ni mama land historia za dunia nyingi zinaanzia Africa na naweza kusema waafrica ndio wana wa Israel halisi hao wengine wanajipendekeza tu
 
Mkuu wanefili waliangamizwa na Gharika na sio waisrael, alafu israel ilikua bado ilizaliwa na Yakobo mbeleni kabisa.


Mkuu Nibiru kuna wanefili walioangamizwa wakati wa Gharika (kipindi cha nabii Nuhu) Mwanzo 6:4.

Na kuna wanefili ambao walibaki duniani wakaja kuangamizwa na waisrael waliotoka Misri, kipindi cha Joshua, wakati wanateka nchi ya Kanaani mji wa Yeriko Hesabu 13:33
 
Hizo pyramid zilijengwa na annunaki
Hao viumbe walikuja duniani yapata miaka 5000 iliyopita na ndio walioleta ustaarabu duniani na kuwafunza binadamu ujuzi wa mambo mbalimbali,
Ukiangalia hayo madude utayakuta Mexico,Egypt, Peru,Indonesia na baadhi ya sehemu,
Hao viumbe walikuja duniani kutafuta madini kama dhahabu ndio maana ukienda Zimbabwe kuna machimbo ya dhahabu ya mwenemutapa ni moja kati ya maeneo ya ajabu sana utajiuliza Yale machimbo enzi hizo walitumia zana gani maana inaonesha ni uchimaji advanced uliofanyika kuliko teknolojia tuliyonayo Leo,

Pia Annunaki walipoondoka duniani kuna jamii nyingi zilianza kuwaabudu kama miungu jua,huko mexico waaztec waliamini ipo siku watakuja kurudi tena na ndio maana wakawa wanatoa sadaka za binadamu walipoona hao viumbe hawarudi maana waliamini kwa kufanya vile hao annunaki watashuka tena toka mawinguni ili wawaletee ujuzi na baraka maana enzi hizo hao viumbe waliposhuka duniani walikuja na vyombo vya anga vya kustaajabisha na zawadi mbalimbali kwa watawala wa enzi hizo,

Pia kuna kabila linaitwa Dogon lipo huko Mali pia nao mbaka Leo wanakiri na wanaamini mababu zao waliwahi tembelewa na viumbe toka sayari ya Nibiru (planet X),
Nawakafundishwa elimu kubwa sababu hao dogon walikua wanajua elimu ya nyota toka kale kuna mpelelezi alifika kwao miaka ya 1600 huko hao watu wa kabila la dogon wakamwambia dunia ni duara na jua letu lina mfumo wa sayari zaidi ya 8
Pia walimwambia kuhusu dunia kujizungusha kwenye muhimili wake,
Kiufupi hao dogon tribe ni moja ya makabila ya kale waliobakia na kumbukumbu zote kuhusu hao viumbe hata wao nyumba zao hujenga kwa mfumo wa pyramid.



Kuna mengi sana nyuma ya haya sema muda ndo hautoshi!
 
Nimeona mkuu upo sahihi, Mambo ya Walawi na Hesabu kidogo nilivirukaga
 
Kweni hua yana futi ngapi toka chini kwenda juu?japo nimeona story zenye kiashiria cha uongo wa sijui majitu gani yalikua yakiishi Nibiru
 
Pyramids zimejengwa na Mussa (Moses) na ndugu yake (Haaruni). Hii ni kwa mujibu wa Quran na yalijengwa kwa command maalum (wahyi) kutoka kwake ambapo structure ya ujenzi wake imefanywa kuwezesha watu wa misri wawe wakiswali humo na kuelekea katika true north (Qiblah) kwa wakati huo kabla Qiblah hakijabadilishwa. [We inspired Moses and his brother "Settle your people in Egypt in houses and make your houses (facing the Qiblah."...10.87).

Tafsiri: Na tukampelekea Musa na ndugu yake WAHYI huu: 'Watengenezeeni majumba watu wemu katika Misri na zifanyeni nyumba zenu ndio mwahali mwa ibada...'

Tafsri kwa kiingereza na kiswahili sio nzuri sana kuelezea maana ya aya hii lakini mambo ya msingi ya kuzingatia

1. Ujenzi wa Mapyramid ulifanywa katika kipindi cha Musa na ndugu yake Haaruni kwa amri ya (ya Kihimaya) au WAHYI kutoka kwa Mungu. Hivyo teknolojia yote iliyotumika katika ujenzi wa Pyramids si wa kiuwezo wa kawaida wa kibinaadamu ila ujenzi ulifanywa na binaadamu.
2. Majumba hayo yamejengwa kwa kuyaelekeza Qiblah ya wakati huo (Masjid Aqsa) ambapo Qibla hicho ni true north ya yalipo majumba hayo. Kumbuka Qiblah hapo mwanzo haikuwa Makkah kama ilivyo sasa.
3. Lengo la majumba hayo ni makazi na kuabudia(pamoja na mambo memgine).
Mambo ni mengi ila mida hautoshi lakini kwa ufupi pyramids yamejengwa kwa mfumo huo.
 
Aise !
 
lini uliyaona hayo mambo mazito waliyoyahold huko vatican au umesikia tu,maana umeongea kwa uhakika
 
musa na harun waliyakuta mapiramid yameshajengwa kitambo sana,mapiramid yapo miaka 3000 kabla ya kristo musa na harun wamekuja miaka 480 kabla ya kristo juzi tu,hapo mudi alihadithiwa au alikremu vibaya
 
ulijuaje kama uligusa mawingu?? kuna dalili zozote zinaonesha hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…