Baraka21
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 1,265
- 3,177
Upo sahihi sana. Pale Kigamboni kuna sober house maalum kwa ajili ya watu walioathirika na pombe tu.Watu wanahisi ni madawa tu ndio yanachosha sura na mwili...
Matumizi ya mda mrefu ya Pombe kali ni hatari sana kama hupati mlo wa kueleweka.
Pia hata Bagamoyo ipo Sober house ya pombe tu.
Pombe sio chai.