Ukweli kuhusu ndege za Serikali

Shirika la ndege ATCL halitafuti faida katika uwejezaji mkubwa kama huu. Eti una maana shirika halifanyi biashara. Bila shaka wewe ni zaidi ya mjinga!
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
 
there you are
 

Si umesema ikifika 2022 tutakuwa na ndege 11, kwahiyo kwako ww idadi ya ndege kuwa nyingi inamaanisha biashara inaingiza faida! Kweli wajinga hawatakaa waishe nchi hii. Ukitaka kujua kuna utapeli wa ajabu kupitia serikali hii, juzi rais kasema ATCL imepata mpaka sasa $14m, lakini wakati huo huo ATCL inasema imeagiza ndege aina ya bombardier baada ya kuona imepata faida. Ndege ya bombardier ni zaidi ya $30m. Sasa hapo kama sio utapeli ni nini basi?
 
Kuwa raisi au kiongozi hakumaanishi ana akili kuliko wote,ni fursa tu kapewa kama anavowezapewa yeyeto. Ndege ugusa daraja la kati na juu lkn barabara ugusa madaraja yote.Ndege ni muhimu lkn barabara ni muhimu zaidi ya ndege.MTU akiwa na mawazo tofauti si kwamba anatumika na mabeberu atumike ili iweje,hali miradi na bajeti zetu bila wao atusongi,Yale ni maneno ya wanasiasa majukwaani lkn hata wao wanajua kutwa wanawaponda mabeberu hali watoto wao usoma kwa mabeberu wakiugua wanakimbilia kwa mabeberu.
 
hapo meshadanganywa na huyu anayekula raha ughaibuni mmekurupuka kutuletea uozo ni lini mtabadilika acheni siasa za maji taka wandugu

Hivi unadhani kila mtu humu hana akili ya kutafuta information independently hadi aambiwe na mtu? Hulka hiyo ipo kwenu tu waimba mapambio.
 
Ndege zinatoa huduma kwa watanzania wa kati na chini? Achilia mbali nauli za ndege, Watanzania wengi hawajawahi kupanda ndege na wengi tu watafariki bila kupanda ndege, wewe ndo m***i kabisa

We huna akili sio kila kitu cha maendeleo sehemu fulani kina matokeo ya moja kwa moja kwa mtanzania wa chini...vitu vngne vina indirect profit. Watanzania wengne sijui wanafikiria kwa kutumia nn
 
Kulikoni usononeke kila siku badilisha nchi ila sisi utuache na Magufuli wetu.


MAGUFULI4LIFE.
 
Sidhani kama akili zake zinauwezo wa kung'amua haya.
 
Wazo la kuimarisha usafiri wa anga halikuwa baya sana, ila nafikiri watawala wangewekeza kwenye ndege ambazo zingerahisisha usafiri wa ndani, usafiri ambao ungewezesha accessibilty kwenye maeneo yote so hata investment ya ndege isingekuwa kwenye Ma Airbus or MaBoieng ya bei mbaya. Na kama focus ni kuvutia utalii basi watalii wangekuja na hayo mandege ya Mabeberu ila wakifika hapa kwetu lazima watumie ndege zetu za size ya kati.... Ni kujidanganya kuwa ATCL itaweza kushindana na EMIRATES, QATAR AIRWAYS, FLY DUBAI, KLM, SA AIRWAYS, BRITISH AIRWAYS, SWISS AIR n.k
 
wansema ni huduma tu bila faida, trillion 2 zimewekwa tu bila faida,mbaya zaidi ndege zimenunuliwa nje
Ndio maana hata mleta mada ameanza kwa kusema, Faida gani yaweza kupatikana kwa kuweka trillions of monies kwenye biashara ya ndege ukilinganisha na Bakhresa anavyofanya kazi yenye manufaa kwa umma
 
Wewe unasema hivyo wakati wenzako walishaanza kuhesabu faida toka mwaka wa kwanza tu?!!! Ndio maana watu wanakuwa na wasiwasi, na data zao kwani kwenye biashara ya ndege hakuna kitu kama hicho?na biashara hiyo sio suala la kukaa angani muda mrefu ndio kutengeneza jina/faida, ni zaidi ya hapo, RWANDA AIR, ana muda gani mbona hadi leo ni pesa za wananchi tu ndio zinazoliendesha hilo shirika? Bora hata yule CEO, wa uganda air, alimwambia museveni, kwa ndege hizi unazonikabidhi faida tutaanza kuipata baada ya miaka 10!!!hapa kwetu ni siasa tu, REVENUES, NDIO INAHESABIKA GROSS PROFIT!!! Makubwa
 
Muda si mrefu Meko ataanza kuyawekea figisu hayo makampuni ya ndege ya Kimataifa ili zibaki ndege zake tu
 
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Sasa si waweke bei ambazo hata watu wa Nanjilinji wataweza kumudu. au kama ilivyo elimu bure au zilivyo bei ya panadol
 
Kwahiyo unataka nchi iendeshwe kama kiwanda cha mtu binafsi? Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.

Ati hawa ndio wapinzani!
Wacha uchumi wa kati hata hizo super power na mapesa yao bado mashirika ya ndege ni ya private. BA ni moja wapo
 
Biashara ya ndege siku hizi, ni ushirikiano na mashirika mengine, hasa makubwa, kwa kupokezana abiria, sass hapa kwetu wa nadhania kuwa na direct flights, ndio ujanja!!! Huyo KQ, route ya New York, iko wapi?? UTAYASIKIKIA TU HIKI NI KISHINDO CHA AWAMU YA TANO!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…