Ukweli kuhusu ndege za Serikali

white elephant project
 
Kuwa na heshima wewe,usidhani upo na watoto wenzako tu humu
Mungu ndio alisema serkali isifanye biashara?
Nani mtoto? Wewe ni mtu mzima hovyo,hujui lolote, umebakia kushabikia mtu mbumbumbu anayelizamisha taifa, nenda Darasani kasome principles za Uchumi ,kazi ya Serikali ni Kukusanya kodi tu na siyo kufanya Biashara.
CCM kwa umbumbumbu mko juu
 
Nani huyo huyo aliyeshiriki kutengeneza ilani ya uchaguzi yao ya 2015 sasa hapo ndio utakuja kujua kuwa ni vinyonga hawa akasome ukurasa wa 53 wa Ilani ya uchaguzi ya 2015, tumuonee huruma nadhni kichwa chake kina shida .
 
2026 kuna watu watakwenda segerea tu pindi CAG akiingia kwenye ununuzi wa Ndege kwa cash
 
Mkuu kwenye vikao mbali mbali vya ccm ndivyo wanavyoaminishwa!
Na pengine kuna asilimia kadhaa za ukweli...
Ujue hizi ndege tangu zimenunuliwa zinazurura tu humu nchini!
Ila kwa jinsi nijuavyo hizo 30 bilions ni makusanyo ghafi wala si faida!

Ndege hazijaanza kuleta faida kabsa
 
wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?

Nani alikuwa na shida ya huduma ya ndege hapo kabla? Unapotoa mchango shirikisha basi akili
 
wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
unasoma ulichoandika?
 
wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Nani kasema shirika la ndege liko kwa ajili ya kutoa huduma? Kama nikutoa huduma magufuli angesema tumepata faida? Unapotoa huduma unatafuta faida? Una akili kweli wewe?
 
unavoongea upumbavuu wako uwe unatoa hiyo picha ya faza nelly,unachafua jina lake kwa ufinyu wa akili ulio nao
CHADEMA mnajidhalilisha sana kwenye Ilani yenu ya uchaguzi 2015 mliandika kuhusu ndege ukurasa wa 53 hivi mnadhani watu hatusomi au hatukumbuki mliyokuwa mkiyanadi sasa yamefanywa na CCM mnaona mabay au mnadhani watanzania ni wote mazuzu.
 
Hivi rais huwa anakuwa na akili kuliko watu wote kwenye nchi!!

Maajabu haya..
 
2026 kuna watu watakwenda segerea tu pindi CAG akiingia kwenye ununuzi wa Ndege kwa cash

Duuuh si ajabu ndo maana wanataka kujiongezea muda wa kukaa madarakani!
Ila kuweka kumbukumbu sahihi madudu yao hayaishii kwenye ndege tu.. Miradi mingi mikubwa mikubwa anajua DAB na wateule wachache tu!
Bunge halina umuhimu Wala bajeti hatuzisikii tena zikitishia kushikilia Mishahara ya mawaziri!
 
pumbavuuu tunaongelea kununuliwa kwa ndege saba ambazo bunge halijapitisha bajeti,ma****i kabisa wewe
Kitu kama hukijui ukae kimya tu, unaweza kuleta ushahidi kwamba bunge halina taarifa za manunuzi ya hizi ndege!.

Mnajisumbua bure, kulalamika hum jukwaani, wenye kupima masuala kwa kutenda haki wanawacheka tu.
 
Mlishindwa kukusanya kodi miaka nenda rudi - Leo hii hela zinapatikana kwa wingi basi kila mtu amekuwa fundi wa kupanga matumizi.
 
JF siku hizi imekuwa kama tumbo la fisi, kila uchafu unaingia na kutoka. Natamani JPM aendelee kupiga kazi mpaka 2035 ili Tanzania iendelee kuinuka katika nyanja zote. Tulikuwa tumedhauliwa sana na mataifa ya nje, yaani resources zote zilizopo tulikuwa omba omba, fedha za mikopo na misaada zinatumika isivyo, wapiga dili kila mahali, sekta binafsi iliyokuwa inafanya biashara chafu, uzembe na kutowajibika katika sekta ya umma pamoja. Leo Taifa limepata mzalendo bado watu wanalalama vijiweni, please, tuwe na busara kidogo. Duniani hakuna Serikali inayoajiri kila mtu, tujifunze kujiajiri. Tunataka Serikali ipite mtaani kugawa hela, tuache akili za matope, tuache kulia lia, opportunities zipo nyingi sana Tanzania.
 
Mlishindwa kukusanya kodi miaka nenda rudi - Leo hii hela zinapatikana kwa wingi basi kila mtu amekuwa fundi wa kupanga matumizi.
Hela za matanuzi ya Dubai na kule bondeni za kwenye masemina na warsha ndizo hizi zinazonunua ndege.

Hawa akili zao wamezitegesha katika kupinga kila jambo, halafu serikali inawajibu kwa vitendo.
 
CHADEMA mnajidhalilisha sana kwenye Ilani yenu ya uchaguzi 2015 mliandika kuhusu ndege ukurasa wa 53 hivi mnadhani watu hatusomi au hatukumbuki mliyokuwa mkiyanadi sasa yamefanywa na CCM mnaona mabay au mnadhani watanzania ni wote mazuzu.
Wewe ndiyo zuzu na unajidhalilisha mwenyewe usiwashirikishe watanzania, watu wanasoma wanajua kuwa chadema waliahidi Ndege lakini siyo kwa Mbinu hii ya kununua kwa cash huku wajanja wachache wakifaidi 10% pasipo CAG kukagua hesabu za manunuzi yake, Tambua kuwa chadema wanajua Ndege hununuliwa kwa idhini ya bunge na kwa mkopo siyo kwa cash za 10% za wajanja wachache, watanzania siyo wajinga hata magufuli alikiri watanzania siyo wajinga ingawa kaamua kuwaburuza kibabe tu.
 
Waheshimiwa wazee, hizo gharama zote mnazozizungumzia ni 'list price' tu gharama halisi za ndege ni chini ya hapo.
Mara zote kwa mnunuaji anayelipa cash gharama huwa chini ya hapo [ingawa inakuwa confidential kulinda soko].
Kwenye suala la rushwa hayo mambo yapo kwetu tuu.Kwa kampuni kama boeing wakifanya hivyo inakuwa kashfa kubwa na wanaweza kushtakiwa na serikali zao na kuharibu credibility yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…