Ukweli kuhusu ndege za Serikali

Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.

Ati hawa ndio wapinzani!

Alaaaaa! Kumbe TZ ni nchi yenye uchumi wa kati. Nilikuwa sijui hilo.
Kwa hiyo, inchi ikiwa ni ya uchumi wa kati tu ni lazima na sharti kwamba lazima iwe na shirika la ndege?
 
ka-lissu mnakaona kamungu
 
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?

Huduma kwa ndege?

Hizo ndege zinaweza kumchukua mgonjwa hapa Malinyi kumpeleka Mhimbili kwa matibabu zaidi?
 
ATCL tayari imekufa kabla haijafufuka. Inaendeahwa kwa ruzuku tu ndiyo maana imehamishiwa kwenye Kasma #20 ya Ikulu ambayo CAG hakagui.

Africa kuna national Airline moja tu inayo operate kwa faida nayo ni Ethiopian Airlines, hii KQ na SAA zaweza kuwa zina break - even ingawa kwa miaka 3 ya mwisho zimeripoti hasara.

Mashirika mengine ya ndege ya Africa yana peperusha benders za nchi zao tu kuonyesha uwepo wao duniani.
 
Yaani umemuheshimu kweli!!!!!
 
kwa mawazo haya ndio mnategemea watanzania tuwakabidhi nchi!!? labda kama mmeamua wapingaji msio na malengo yeyote.
 

Kwa hiyo ccm imepora imani ya Chadema?
 
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?

Iyo ndege imenunuliwa kwa ajili ya biashra au kutoa huduma kwa wananchi? Hivi kwani wananchi walilalamika wanataka huduma ya ndege?

Wananchi wanataka Ajira
Wananchi wanataka elimu bora
Wananchi wanataka mishahara inayokidhi mahitaji
Wananchi wanataka matibabu bora
Wananchi hawataki umaskini

Hawakuwahi kulalamika kuhitaji huduma ya ndege.
 
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Yaani wewe unaona hilo sio la msingi na halistahili kujadiliwa.
 
Tunatanguliza mbele teni pasenti kwanza mengine baadaye. Mmekula hamjala, mmekunywa matope, vijana wanakosa mikopo elimu ya juu, huduma za afya mbovu, dawa hakuna, hakuna kuajiri, kazi ni moja teni pasenti mengine mtajijua raia.
 
Hayo makampuni makubwa yanayo pata hasara kwanini yasifunge?
Unajua ni kwanini baadhi ya makampuni ya ndege yanapata hasara pamoja na idadi ya passengers kuongezeka kila mwaka?

Soma hapa:
IndiGo announces order for more than 300 Airbus planes
India’s biggest carrier seeks to entrench dominance in fast-growing aviation market.

Read more:Subscribe to read | Financial Times
 
Serikali yetu ni sikivu tutalifanyia kazi, alisikika kijana wa Lumumba.

Changamoto ni kwamba nchi inaongozwa na kipaumbele cha mtu mmoja.U
Umeambiwa jina la ndege mpya ni Lubondo kwa lafudhi ye jiwe.
 
Kwa hiyo ccm imepora imani ya Chadema?
Tatizo la humu ndani kuna wengine hujifanya hamnazo ili warefushe uzi.
Nilichoandika mimi ilitokana na kauli ya Mh. Lema kuponda ununuzi wa ndege akiashiria kuwa siyo moja ya vipaumbele vya taifa.
Mimi nilimkumbusha tu kuwa mbona hata kwenye manifesto ya CDM ununuzi wa ndege ulikuwa na moja ya vipaumbele vyao iwapo watachukua madaraka ya kuongoza nchi.
 
Umesema vizuri, tuendelee kupaza sauti, wataelewa tu. Huyu mwizi anaye tumia kofia ya Uzalendo na Unyonge lazima atoke pale Magogoni.

Rais wa kwanza Tanzania anayetembea na cash money na kugawa kwenye mkutano. Ushamba mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…