Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,509
- 145,991
cjui kama ni uongo au kweli. we unajua?
Najua ndiyo.
cjui kama ni uongo au kweli. we unajua?
Najua ndiyo.
nijuze na mimi.
Nikikujuza utanipa nini?
ntakupa unachotaka hamisi.
True dat am among few of them...
Ila umesahau akiona u dont deserve that love atakuvumilia sana akichoka ktuvumilia akimove on ni ngumu sana kurudi nyuma
Îvo ukibahatika kupendwa dont take her for granted
Kweli Mwajuma?
yule binti wa uk, alikuwa inlove au yeye mbuta nanga. Au wote wa mjini
Kitu ambacho nimekifahamu kuhusu mwanamke ambaye are inlove
Moja, awaamini kabisa rumors kwamba wapenzi wao wana cheat, japokuwa ni kweli
Mbili, wapo tayari kufanya kilakitu kwa nguvu zote zote kulinda mahusiano yao, even if apologizing for whats right.
Tatu, Wana wivu sana, kijana you should thankful coz that shows shes very afraid of losing you (ana imani katika penzi lako)
Nne, Mda mwengine they might sacrifice their friendship for that one person they love the most.
Tano, Wanachukia pindi ukiwa na rafiki wa kike, sababu wanafahamu "A shoulder to cry on becomes a Joystick to ride on".
Sita, wanakuwa ni wabaya sana in faking their happiness and emotions, utagundua haraka sana pindi akichukia kitu ambacho umekifanya.
Saba, Awajali kabisa pesa, wao wanacho thamini ni muda tu wa kuspend na wao, kama ni rahisi anapenda kila dakika aspend na wewe.
Mwana MMU,
Kweli au Uongo?
Aminia
Mswano na shimboni machicha wapi na wapi bana. F.l yeye akili yake anawaza ankara tu. Pale kitu love aipo kichwani mwake.f.l alikuwa anatafuta cheap popularity cc: mbuta nanga