Ukweli kuhusu mtu mweusi wazungu hawataki dunia ijue

Throne Heir

Member
May 17, 2018
60
101
Ni ukweli usiopinga kwa sasa hivi race inayotawala katika nyanja nyngi za maisha kuanzia ugunduzi, uchumi nk. Ni watu weupe haswa wa bara la Marekani ya Kaskazini na Ulaya.

Je, unajua kuwa wazungu chini ya mioyo yao wanajihisi na Kujua kuwa wao ni inferior mbele ya watu weusi?

Mtu mweupe Karne Nyingi na miaka kenda Huko nyuma baada ya Kugundua uwezo wake ni mdogo Na ni dhaifu mbele ya Watu weusi waliamua Kuvamia bara la Africa kwa mabavu na Ili tu Kusupres uwezo aliokuwa nao mtu mweusi na hatimae kupelekea kuanzishwa biashara ya utumwa ikiwa Na nia ya Kumaliza kabisa uwezo wa mtu mweusi.

Lakini Baada ya biashara ya utumwa kusimama wazungu walianza kuruhusu watu weusi kushiriki katika nyanja mbalimbali za maisha kama michezo, uchumi nk.

Nataka nikwambie Mungu si Mzungu hakika WATU WEUSI NI BORA mara milioni zaidi ya mtu mweupe.

Mtu mweusi aliporuhusiwa;-

1)Kuimba- kwa sasa ndio ametawala Kila kitu kwenye Muziki, mfano Rege ni ya Bob Marley, Muziki kama Hip hop, Rnb, Country etc kote ni Black people.

2) MCHEZO WA GOLF-Tiger woods Alitokea Na kuonyesha uwezo uliotukuka haujawai kutokea Hapo kabla kwenye mchezo wa Golf.

3)Mchezo w Riadha-Hapa Tunaongelea Kina Bolt wa Jamaica huyu Na wengine Wliwapoteza kabisa Watu weupe na wao kubakia washangiliaji tu.

4)Mchezo wa Tenis-Hapa tunaongelea Serena na Venus hawa wamewacharaza wazungu hadi wanawachia Wimbledon wachezee peke yao wao kwa wao.

5) Basketball-Hapa Kina Jordan, Kobe, Magic, Shark,Lebron, Stephen wa warior hawa na kina Thabeet wamewawfanya Wazungu wawe makocha, marefa na makamisaa wa mchezo ila namba wamekosa kwani uwezo wao ni mdogo mno.

7)Ngumi-Hapa inajieleza all time champions are blacks

And so on vitu ni vingi watu weusi wanawakimbiza watu weupe lakini wao ni dhaifu na hawataki dunia ifahamu kua wao ni dhaifu wakaamua Kushika Media zote ili kupolute ulimwengu na wakaona Hiyo haitoshi wamemiliki silaa kali na haribifu ili Kumtishia yeyote atakaetaka kuwa juu.

Kamwe Hutosikia Mpemba Effect inapewa recognition inayopaswa kupewa.
Hakika mtu mweusi ni bora kuliko wote na amebarikiwa na muumba.

###NOT RACIST ###THIS IS FACT.
 
Acheni kujipa moyo mtu inferior dhaifu anawezaje kumvamia na kumtawala mtu superior tena mwenye manguvu na akili?

Tunasumbuliwa na inferiority complex tunajaribu kujipa moyo jamani tupambane tulitoe bara letu katika giza.

Nimeshangaa kusikia Marekani umeme umeanza sambazwa toka mwaka 1870 huku sisi hapa kwetu bado tuko kwenye REA leo 2018 kuna sehemu bado umeme haujafika
 
Siusemei ubaya weusi wetu ila niseme hapa tunajifariji tu.

Wazungu niwatu wenye upeo mkubwa na walostaharabika.

Nakupa mfano... Ulishwah ona tukio la mtu kuingia uwanjan , jinsi wanavyoliendo??? Utashangaaa Kamera zao zote zinaelekezwa kwa mashabiki.... Wanakuja kuonyesha uwanjan, tayar polis wao ,wameshamwondoa huyo mtu uwanjan na kuna ushwahili ..

Kwann Wanafanya ivo??? .

Sasa ingekua bongo?? Izo kamera zingeendelea weee kuonyesha polis wanavyomfukuzia huyo mtu,mpaka wanamkamata, mpaka wanamtoaaa,mpaka ukoooo !!

Unaeza kuona Jinsi Akili ilivyotumika kuhandle Tatizo kati ya jamii izi mbili

Mzungu aliona nisuala la Aibu dunia kulishuhudia,,, huku mbongo ataona nisuala la kutaka kujua nn kitaendelea (haoni picha yake itajengwaje ktk jamii).

Sasa huu nimfano tu.

Wazungu wanamaakili mwanangu, wala usidhan waafrika tulipendelewa ktk uumbaji.BIG NOOOOO...Mungu aliumba watu wote bila upendeleo....

Ila amin nakuambia hapa ni kupambana kwaajili ya kuishi, ,waafrika tukiweza kuwatawala tutawatawala..kwakua hatuwezi basi watatutawala tu..


N.B rangi ya ngozi haina chochote chakufanya juu ya utimamu wa ubinadamu.
 
Ukiwa na uwezo wa kuiba na ku suppress uwezo wa mtu mwingine mwenye uwezo fulani basi wewe ndiyo bingwa!!you can't own what you don't have in hand!! Kama tulikuwa na uwezo na sasa hatuna basi Hatuna tu!ni ujinga kujisifia tulivyokuwa,ila ni akili kujivunia tulivo navyo! Kama hatuna hatuna! Halafu tactical unaweka neno "watu weusi"badala ya waafrica! In true manner waafrika tuna mali na wazungu wana utajiri,Bob marley alitamba kwa kuwa alisimama kuwaongelea wazungu(wakoloni/wabaguzi) je angejikita kwenye kilimo tungemfahamu?you are fooling the fools,hence lull them to sleep until too late!! Them bellyfull but we hungry(by bob marley)thats the fact.
 
Back
Top Bottom