Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Afadhari aiseee!
Nilidhani umeajiriwa sekta ya elimu uliyosomea!
Ni bahati nzuri maana wanetu wangalivuna pumba kama hizi ulizoziandika
 
Le mutuz a.k.a William Malecela alikuja hapa na kulalamika kuwa UVCCM mmekuwa kimya kwenye mijadala ya rasimu ya katiba na akafika mbali na kuhoji UVCCM ya sasa imekuwa sio machachari kama ile ya enzi zile za mwaka 47.

Ningependa wewe kama msemaji wa UVCCM utoe ufafanuzi juu ya maswali yafuatayo:

Je UVCCM mmesusia mpango wa kuhamasisha wanachama wenu kutetea maslahi ya CCM kwenye katiba mpya kama wafanyavo Jumuiya ya Wazazi CCM hadi kufikia hatua ya mjumbe wa jumuiya hiyo ya wazazi kulalamika mitandaoni??

Je UVCCM mmegoma kulishwa maneno na Nape Nnauye that why hamuonekani mkiendesha mabaraza ya katiba kama aliyolalamika William Malecela hapa jamvini???

Tunaanza ziara UVCCM mwisho wa mwezi huu.stay tuned
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.

Kwa hiyo we ni halali kwa Mwigulu Nchemba?
 
Slaa anaelimu ya Theologia(dini) na mbowe ana zero form six Ihungo secondary but mimi nina Degree kwa hio kweli hawa jamaa sio size yangu.

Punguza dharau mkuu kwa watu wanaokuzidi umri ili na wewe usidharaulike! Digrii ni digrii tu na kuna wengine humu jamvini wanajua jinsi zingine zinavyopatikana kwa aibu hivyo wanaweza anza kukudharau na wewe hapa. Ni ushauri tu lakini ila ukitaka waweza uacha.
 
Anaboost esteem kidogo ili watu waliokuwa akimpiga madogo kuwa anatumika km condom wakose kauli, ila nadhani anasahau kuwa hao ndio wameifanya CCM immwangalie kidogo tofauti na wengine for the time being.Pia ni aina ya makitu ambayo kwa uwezo wa mwigulu ndio timu yake anayoweza afford...tofauti na akina lowasa wanaoweza hata mweka rais kuwa mpambe wake...


Hongera miwgulu pengine soon watakuwa wamejaa na kuwa na akili ya kujenga timu ya kukusaidi agombea urais..
 
Poa kijana.timiza majukumu yako mapya kwa nidhamu.
Hakuna sababu ya kuachana na mme/mke wa zamani halafu unatoa kashfa za kizushi.
Ganga mengine acha kukashifu watu.nadhani sasa umekua na kukomaa kisiasa.
Acha siasa za visasi na maji taka.
 
Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Hiyo Kazi Job Description yake hata Standard Seven anafanya.
Inshort wewe ni failure when it comes to life, no wonder full Kumpapatikia Mwanaume mwenzio Mwigulu
 
Back
Top Bottom