Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
Ma Great Thinkers, hivi hapa "mna discussion" kitu gani?
Mkuu unasimamia kitengo hiki.?
View attachment 107240View attachment 107241
Na huyu ndio kamanda wenu.?View attachment 107243
Nani kampongeza huyu jamaa kuleta bandiko bila kumtaja Slaa au CDM? naomba siku nyingine usitoe pongezi mapema mpk ujiridhishe ,hao sasa kawataja naomba ufute pongezi zako.
Dah nilijiandaa kutiririka na kumjua Mtela. Kumbe ukweli ndio huo?
Ma Great Thinkers, hivi hapa "mna discussion" kitu gani?
Le mutuz a.k.a William Malecela alikuja hapa na kulalamika kuwa UVCCM mmekuwa kimya kwenye mijadala ya rasimu ya katiba na akafika mbali na kuhoji UVCCM ya sasa imekuwa sio machachari kama ile ya enzi zile za mwaka 47.
Ningependa wewe kama msemaji wa UVCCM utoe ufafanuzi juu ya maswali yafuatayo:
Je UVCCM mmesusia mpango wa kuhamasisha wanachama wenu kutetea maslahi ya CCM kwenye katiba mpya kama wafanyavo Jumuiya ya Wazazi CCM hadi kufikia hatua ya mjumbe wa jumuiya hiyo ya wazazi kulalamika mitandaoni??
Je UVCCM mmegoma kulishwa maneno na Nape Nnauye that why hamuonekani mkiendesha mabaraza ya katiba kama aliyolalamika William Malecela hapa jamvini???
MKuu wewe mifano yako yote ni kwa CHADEMA tu?
Hakuna vyama vingine vya Siasa Tanzania?
Ni fundisho kwa wale wooote wanaojifanya kuwa ni CCM damu,mwenzenu kaja juzi karamba shavu na DUKA kaanzishiwa!Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Huwezi jifanananisha na hao wote uliwataja hao si saizi yako, wewe ni tambala bovu utakanyagwa na akina nape na mwigulu then utatupwa jalalani waulize akina Ngawaiya na Tambwe, njaa mbaya sana dogo, subiri hukumu yako kwa vile vifo vya watoto mliowaua wa Arusha.
Mie naona kaandika kiapo tu.Kweli CCM ni chama cha ajabu sanaa,sasa huyu dogo amekaa chini na kuanzisha thread hapo ameandika nini hasa??
Sishangai hata Nape na Mwigulu wote wana akili sawa na huyu mtoto....
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Da ndio maana watoto wetu wanafeli kama hawa ndio waalimu wenyewe. Hivi wewe ulishasikia wapi ukatibu wa chama au uenyekiti ni taaluma na inasomewa, ninyi ndio mnataka kwenda kusomea urais.Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Mi nataka kujua hicho kijitengo before kilikua kinashikiliwa na nani?
Mkuu unasimamia kitengo hiki.?
View attachment 107240View attachment 107241
Na huyu ndio kamanda wenu.?View attachment 107243
Leo ndo umekuja kusema ukweli! Je, yule Tambwe Hiza yeye ni nani saivi ndani ya CCM? Hajasikika muda mrefu saivi kuna nini kimemtokea?
Unazidi kujidhalilisha, umepata degree lakini nina uhakika hujaelimika, uwezo wako wa degree ni mdogo kuliko wa Mbowe. Sina shaka ulipata degree ya madesa, na usibishe.Slaa anaelimu ya Theologia(dini) na mbowe ana zero form six Ihungo secondary but mimi nina Degree kwa hio kweli hawa jamaa sio size yangu.