Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Akili ndogo nyingine hii.
 
Hahahahahah...ni kweli kabisa mkuu...akili zinazoweza kufanya biashara zinajulikana....siyo huyu Stella Mwampamba......ni kilaza kweli kweli....sijui CDM walimtoa wapi mtu huyu...loh...........
Mkubwa mtu kupewa duka la hongo sasa anajitapa nalo...wenye uwezo wa kukontrol biashara hawajitangazi hata kidogo bali jamii huwatambua kwa michango yao na huduma zao.....unajua ulimbukeni mbaya sana kiongozi.
 
kura 32000 nilizozipata nikiwa nagombea ubunge kwa tiketi ya chadema ndio zinazokichangia chadema mil nne na laki nane kila mwezi kama ruzuku kutoka mbozi.

2015 Rudi tena kama utapata hata kura 2000
 
Jifunze kuheshimu wengine ili uepukane na adhabu za hapa JF...karibu tena jukwaani!!

Mkuu nadhani ule uzushi wa kuwa Diwani wa Elerai kwa tiketi ya CDM kuwa kahamia ccm kipindi kile cha uchaguzi mdogo.....Kumbe aliingizwa chaka akaja fasta fasta JF na ID fake ya Slaa anaweza.......Kudadeki Makamanda wakamstuikia maana ukweli ulijulikana.....
Mods hawakufanya ajizi wakampaka haki yake kwa kuidanganya JF...
 
Sio hivyo mkuu
nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni
katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ)
kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja
mkuu.

duh, kama ccm mmefikia hatua ya kuwaona watu wenye akili kama hii kuwa ndio 'majembe' wa chama basi naomba niseme ccm is officially dead!!!
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.

Mbowe alisomea wapi huo U DJ? ana daraja gani katika huo u DJ ? Upadre sio taaluma ni wito padre kama padre huwa anakuwa na taaluma yake nyingine ambayo husomea so acha kudanganya watu! sijui ulipata class gani ya degree yako ya ualimu kama huwezi kuelewa vitu vidogo kama hivi, afadhali hukwenda kufundisha maana yangekuwa majanga huko shuleni ungepotosha wanafunzi wetu! kazi njema hapo Lumumba!
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.

Kuna mtu alikuwa amekupongeza hapo juu kwamba kwa mara ya kwanza umeweka uzi bila kuwataja hao watu lakini kumbe alikuwa anapoteza muda wake tu. Ama kweli sikio la kufa.........!

cc Henge
 
Mwampamba uongozi ni kipaji na wala sio taaluma! wewe na degree yako hata nrobo ya hekima za Mbowe hufikii!
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Hata kinana ni katibu mkuu wa magamba ila kazi yake kwa sasa ni hii...
 
Vipi ile ID yako ya chimbo SLAA ANAWEZA....Utaitumia....?
 
Last edited by a moderator:

Mods huu upuuzi ukiendelea kufanywa na hawa wapuuzi tutakuwa hatulitendee haki Jukwaa. Naomba adhabu zichukuliwe kwa huyu mpuuzi.
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.

we mwalimu gani wewe? So umeamua nawewe kupewa cheo bila kigezo?
 
Sasa ukweli uko wapi kama kichwa cha habari kinavyojieleza?

hapo kavaa ndala za ushabiki na kiuhalisia tu ni kwamba yupo mbozi mana rangi ya matofali tu inanijuza jambo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…