Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

......Karibu tena jamvini, tulimiss sana pumba zako ila nadhani kwa sasa utakuwa umejifunza kuwa na staha unapoandika hapa JF maana hapa sio Lumumba ambapo mnaruhusiwa kuropoka ropoka.
 
Khaa!! Ruzuku ikikata tu kibarua nacho kinaota :bored:

kura 32000 nilizozipata nikiwa nagombea ubunge kwa tiketi ya chadema ndio zinazokichangia chadema mil nne na laki nane kila mwezi kama ruzuku kutoka mbozi.
 

Kweli CCM wameaoza na ujinga wote huo na akili ndogo wanakuweka kwenye umma sijui mawasiliano ? Hakika sikutegemea kwamba njaa hadi unaamua kufanya propaganda .Kumeb you only wanted ka mrija kako uwe unakulana Chadema hakuna mkaanza vurugu? Haya tunakumulika mkuu huchomoki hapa .
 
yule ilikuwa nguvu ya soda tu, angalia mwita waitara anavyosigana na heche kule tarime. heche ni first love wa slaa, mwita anajilazimishia

Tarime ni CCM mpaka mwisho wa dunia hao vibaraka wa slaa na mbowe watasubiri sana!!!!
 
Wana jf, huyo maamuma asiwadanganye chochote,

Ofisi ya CCM makao makuu au ngazi yoyote ile haimtambui Mtela Mwampamba aka Ganzi kuwa ni kiongozi wa kikundi au idara yoyote ndani ya ccm,

Kilichopo nikuwa yupo kwenye ofisi ya Mwigulu Nchemba na amekuwa akishiriki au akiambatana na Mwigulu katika kazi zake tu, hivyo amejivika ufalme huo,
Mwigulu hawezi kukupa ukuu wa ofisi yake bila kufuata utaratibu wa chama!


Kwamjibu wa uchaguzi wa ccm uliofanyika mwaka jana, na uteuzi wa idara na kamati zake,

Kitengo unachodai wewe ni MKUU wake sio kweli, bali Mwigulu Nchemba ndie MKUU wake na ndie husimamia, huongoza na huratibu shuguli za idara hiyo (nyeti) na zaidi yeye ndie huwasilisha ripoti zake zote kwa mkuu wa idara ya siasa wa TISS mama T.G,

Huyo mama ndie huwasirisha rasmi kwa mwenyekiti wa Chama raisa JK,

Sasa unawahadaa watu hapa bila kujua kuwa tunajua kila kitu hapo lumbumba,

Nenda kawadanganye huko FB sio hapa,
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.


Kuna mdau alikusifia kwamba unaonekana kukua kwa kupost bila kumtaja Mbowe, Dr Slaa na chadema bt naona uvumilivu umekushinda.
 

mimi nina Degree but mbowe ana zero form six na ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!!!!!
 
Kuna picha Mbowe akiwa ameweka kalikiti nywele na pia nikiwa chadema mala nyingi tu alikuwa anakumbushia UDJ hasa kweli yale mafuso ya chadema.

Evidence mzee..... tunaomba picha ya kuonyesha akiwa DJ..

Kuweka "kalikiti" kwenye nyewe sio enough evidence
 
Na Juliana Shonza ni nani?

bado anauota umakamu mwenyekiti bavicha..yaani mtela wakati akiwa chadema alikuwa analalamika akina mawazo kuwepo kwenye ziara hasa zile za kusini wakati wao ni geni sasa leo mwampamba licha ya kuwepo kila anakoenda mme wa juliana nae yupo kumbe na cheo kashapewa..kweli chadema hatukukosea kuwafukuza
 
Mbona hata FRED MPENDAZOE nae kama siku hizi pia hasikiki vp kuna nini!!!!!!!


Uwe unaruhusu akili yako kufanya kazi! Tambwe Hiza alikuwa ni nani ndani ya ccm na Fred Mpendazoe ni nani ndan ya cdm.
Unafananisha mipasho na hiphop.
 
GANZI.....ulichoposti kama thread haviendani kabisa na content,hivi chuo kikuu ulikuwa unapresent nini?badilika sana mdogo wangu.
 

unakumbuka kauli ya kikwete kuwa swala la uraisi ni la familia?, kama ndiyo utakubaliana nami kuwa huyo uliomjibu ni mke wa mwigulu nchemba..
 
Muulize Lemutuz atakuwekea picha maana anamfahamu vizuri sana mr zero!

Hii thread ni yako na accusations ni zako!

Ulikuwa unaongea jambo ambalo huna hakika nalo? na unahitaji evidence from third party?

Kweli Chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Pia ninaDuka langu pale Mtaa wa ngomati Keko. karibu sana kuna nguo nzuri sana za watoto.
Inajulikana wazi umelipataje na huna haja ya kujisifia kaduka kako ka kuhongwa na mwigulu nasema hivo kwasababu kwa akili ako huwewzi kutafuta mtaji hata kidogo bali kupewa na utafirisika si muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…