Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Hivi dogo hujui kuwa bani Israel ni makibila 12 sa si bani Israel wote ni Wayahudi. Afu nyie mnasema Yakoub ndio Israel alipigana na Malaika wa Mungu hivi kitabu chenu ni cha mlevi au mvuta bangi? Mtume wa Mungu apigane na Malaika wa Mungu afu amshinde vita, afu abadilishwe jina hahaha. Kweli wakristo mnakazi kufahamu. Huwezi kujuwa kama uislam ni dini walio kuja nao Mitume wote. Sababu bibilia inasema Malaika wa Mungu kapigwa na Mtume wa Mungu. Kweli wafuasi wa shetani ni mashetani tu. Hata Mtume Ibrahim mlisema kazaa haramu. Yani kitabu cha Mungu kiseme Nabii wa Mungu kazini basi hicho kitakuwa si kitabu cha Mungu sababu Manabii Hawazini wala Hawawezi kupigana na Malaika
Kama mna dini ya kweli mbona hamna manabii huko kwenu? Manabii wote mnaowataka katika Msahafu wenu ni Waisraeli Kuanzia Musa, Daudi, Sulemani, Zacharia, Yona (Yunus) n.k na wakati huo huo kitabu hicho hicho kinawalaani waisrael. Kweli mna kazi sana. Kitabu cha kubuniwa katika misingi ya visa vya Mungu baali (Shetani).
 
Hata hili hujui?

Nenda katafute kwenye Quran utaona ijumaa ilivyoanza, lakin muhamad mjanja ,awali alisali jumamos na wayahud ,ndio maana QURAN imeitukuza siku ya Jumamosi kama takatifu ,wakati ijumaa imeisema kama siku ya kazi tu,
Niambie hiyo Aya nikasome kwamba Mtume Muhammad alitangaza kuwa Ijumaa iwe siku ya Sala. Yaani kama ni kweli Nabatizwa na ww.
 
TOFAUTI YA WAKRISTO NA WAISLAM NI KUWA, WAISLAM WANAWAAMINI MITUME WOTE WALIO TUMWA NA MUNGU MMOJA, NA KWAMBA MITUME WOTE HAO WALIFUNDISHA KITU KIMOJA, KWAMBA "BWANA MUNGU WAKO, NI MUNGU MMOJA, MUABUDU NA WALA USIMFANYIE WASHIRIKA" HIVYO KWA MUJIBU WA UWISLAM WALE WALIO MFUATA IBRAHIM, NUH, MUSSA, DAUD, SELEIMAN, ISSA NA MITUME WENGINE WOTE WALIOTUMWA NA HUYO MUNGU MMOJA WOTE NI WAISLAM NA MAFUNZO YAO NI MAMOJA.

KWA MUJIBU WA UISLAM, SEHEMU TATU TAKATIFU DUNIANI, MAKKAH, MADINA NA YERUSALEM, SEHEMU HIZO ZILISHACHAGULIWA NA MUUMBA KUWA NI TAKATIFU KABLA HATA BINADAM WA KWANZA HAJAUMBWA.

SABABU SEHEMU HIZI MOLA MWENYEWE KAZITOFAUTISHA KWA UTUKUFU NA SEHEM NYINGINE DUNIANI, MWENYEWE MOLA MTUKUFU AKAWEKA SHARTI NA MASHARTI MAHUSUSI KWA WAKAZI NA WANAOINGIA KATIKA MIJI HIYO.
NDIYO UTAONA WATU WALIYO ITWA WAISRAEL WALIPOAHIDIWA MJI HUO WALIPEWA SHARTI MOJA, NALO NI KUSIMAMISHA UFALME WA MUNGU MMOJA NA NEDAPO WATAENDA KINYUME NA HIVYO BASI HAWATAKUWA NA HAKI YA KUKAA KATIKA MJI HUO KAMA AMBAVYO WALIVYOIOTEZA HAKI HIYO WALIOKUWA KABLA YAO. NA KWA MUJIBU WA MAELEZO YAKO UMELIONESHA VIZURI HILO NAMNA GANI WALIADHIBIWA NA HATIMAYE KUONDOLEWA KATIKA MJI ULE SABABU WALIACHANA NA MAFUNZO UA MUNGU MMOJA.

KWA SASA AMBACHO KINAWATATANISHA WATU NI JE WAYAHUDI WANADAI UHALALI WA KUWEMO MULE SABABU WAO NI WAYAHUDI AU SABABU WAO NI WAFUASI WA MUGNU MMOJA.

TUKISEMA SABABU WAO NI WAYAHUDI INABIDI KUICHAMBUA ZAIDI, WAYAHUDI KWA MAANA YA WAFUASI WA DINI YA KIYAHUDI AU WAYAHUDI KWA MAANA WAO NI KIZAZI CHA YAKUB.

DAI LA WAYAHUDI KWA MAANA YA DINI YAO, HAPAKUWA NA DINI INAYOITWA 'DINI YA WAYAHUDI' KUTOKA KWA MUNGU MMOJA, WALA HAWAKUPEWA AHADI YA KUISHI KWA SABABU WANAFUATA DINI YA 'UYAHUDI' BALI KWA SABABU WAO WATAJISALIMISHA KWA KUFUATA AMRI ZA MUNGU MMOJA, KUJISALIMISHA HUKO NDIKO KUNAKOITWA 'UISLAM' YAANI UMESALIMU AMRI, YAANI UMEJISALIMISHA KWA MUNGU MMOJA.

LAKINI SOTE TUNAJUA HAWAJA JISALIMISHA, NA WALIWAKATAA MITUME WA MUNGU MMOJA NA HATA KUFIKIA KUWAUWA NA KUPANGA MIPANGO NA NJAMA ZA KUWAUWA MITUME HAO. HIVYO WAO WANA MUNGU WAO MWINGINE LAKINI SIYO MUNGU WA IBRAHIM, YAKUB, ISMAIL, ISHAQ, MUSSA, ISSA NA MUHAMMAD KUTAJA KWA UCHACHE. HIVYO HAWANA HAKI YA KUDAI ARIDHI HIYO SABABU SHARTI LA KWANZA NA LA MSINGI LA KUISHI HAPO WAMELIKATAA.

LAKINI BADO TUKISEMA WAO NI WAYAHUDI KWA MAANA YA HIYO DINI YAO YA 'KIYAHUDI' MBONA KUNA WAYAHUDI WAKIGANDA, AMBAO HAWANA DAMU YA YAKOB KUNA WAYAHUDI WA ETHIOPIA HAWANA DAMU YA YAKOB, HATA HAPA TANZANIA WAPO WANAO SEMA WANAFUATA DINI YA KIYAHUDI, JE NA HAWA NAO WAKALILIE UHALALI WA KUKAA KWENYE ARIDHI HIYO SABABU WANAFUATA DINI YA 'UYAHUDI'. LAKINI UTAWALA WA KIZAYAUNI UMEWAKATALIA NA KUWARUDISHA WAYAHUDI WA UGANDA KWAO KWA KUWAAMBIA WAO SI WAYAHUDI, HIVYO HAWANA HAKI HIYO.

NENDA NEY YORK, NENDA CHINA, UINGEREZA NA KWENGINEKO, HATA KWENYE NCHI ZA KIARABU WAPO WAYAHUDI KWA MAANA YA KUFUATA IMANI NA DINI YA 'KIYAHUDI' JE MCHINA AJE KUDAI UHALALI WA KUKAA PALESTINE SABABU YEYE ANAFUATA DINI YA KIYAHUDI? JE MMATUMBI KAMA MIMI NA WEWE KWA SABABU TUNAFUATA DINI YA 'KIYAHUDI' TUENDE TUKADAI UHALALI WA KUISHI PALE, LAKINI WAPO WENZETU WALIO KWENDA KUTOKA UGANDA NA WAKAFUKUZWA, HATA WAETHIOPIA NAO WALIENDA KWA KISINGIZIO HICHO HICHO WAKAFUKUNZWA, KWAMBA WAO SIYO WAYAHUDI.

KWA HIYO UTAONA WAZAYUNI WANAWAFUKUZA WASIO KUWA WAYAHUDI KWA MAANA YA DAMU YA YAKOBU KUTOKUKAA MLE, HIVYO WAO WANAHALALISHA KUISHI KWA MAAN YA DAMU YAO KUWA NI DAMU YA YAKOB NA SIYO KWA MAANA WAO NI WAFUASI WA DINI YA MUNGU MMOJA. LAKINI KIGEZO HICHI WALICHO KILETA HAKIKUWEPO KATIKA MAKUBALIANO YA AWALI WALIPO AHIDIWA KUPEWA ARIDHI HIYO.

HIVYO KWA KUTUMIA KITAMBULISHO CHA KWAMBA WAO WANAYO DAMU YA YACOB BASI WAKAE, UJUE HAPO WANATUMIA MABAVU, UBABE, NGUVU UNYANYASAJI NA KILA HILA MBAYA SABABU RIDHAA YA KUKAA KULE SI KWASABABU YA DAMU YAO, BALI KWASABABU YA KUFUATA MAAMRISHO YA MUNGU MMOJA NA KUSIMAMISHA UTAWALA WAKE.

LAKINI TUKIANGALIA HICHO KIGEZO CHA PILI CHA DAMU, ' DAMU YA YAKOB' JE NI KWELI WAO WANAYO DAMU YA YAKOB? AU NI UJANJA UJANJA NA UHUNI TU NDIYO WANAO FANYA ... NI SIKUCHOSHE , USINICHOSHE, PITIA HILI BANDIKO HAPA KISHA UTAHUKUMU MWENYEWE ...

salim msangi: TAIFA TEULE na URONGO WA ZAMA ZOTE.
Mbona unaandika uongo ,una mix tu , unadokoa kwenye biblia ,una mix na uongo wa mashehe
 
Mimi nakuliza swali moja wewe na wakristo wote wakusaidie. Nani aliye leta dini ya ukristo? Je ni Nabii Ibrahim? Je ni Nabii Musa? Je ni Nabii Yakoub au Yesu? Nipe dalili zako wapi hao walisema dini yao ni ukristo na mfate ukristo. Kama huna kubali tu ukristo ni dini ya yule shetani wenu Paulo full stopped.
Umeishiwa hoja hakika,

Unaulizia ukristo uliokuwepo kabla ya uislamu ulioletwa na mudi ,miaka 500 mbele?
 
Sawa alihama ila kwanini watoto wake ambao ni waisrael sio waislamu kama unavyotaka kutuaminisha? Na pia jiulize kwanini yale masinagogi ya mitume wa kwanza yapo mpaka leo hii kule Syria, Jordan, Uturuki, Iraq na hata Iran na mpaka leo hii kunadescendants ambao ni wakristu na sio waislamu?. Kwanini wale wakristu wa kale wapo mpaka leo ? Kama Ibrahim angekuwa ni muislamu kwanin uislamu ulianza 600AD
Haya maswali nawauliza kila siku ,hata mashehe , wanaodanganya watu ,wamekariri uongo wa quran et ,UISLAMU ulikuwepo kwa adamu,

Dah hawataki kufikirisha ubongo, mbona kabla ya mudi, hakuna any history, au chembe inayoonesha paliwahi kuwepo dini inayoitwa uislamu,

Ikiwa ubudha tu, unajipambanua ,itakuwa uislamu
 
Makafiri wanashangaza sana, wanasema eti uislamu ulikuwepo kabla ya mudi, wakati kaja nao mudi miaka ya 600AD
Ww ni kama mashine unaongea alafu hujui umeongea nn
 
Niambie hiyo Aya nikasome kwamba Mtume Muhammad alitangaza kuwa Ijumaa iwe siku ya Sala. Yaani kama ni kweli Nabatizwa na ww.
KWAKUWA WEWE NI MAAMUMA, YAWEZEKANA UISLAMU UMEUKUTA KWENYE FAMILIA AU UKOO,HIVO UMERITHI

basi ngoja nikusaidie kuhusu ibada ya IJUMAA ilipoanzia ,
NITANUKUU VITABU VYENU NA QURAN....

Ibada ya siku ya ljumaa mwanzo
wake umebainishwa kupitia
maelezo yanayopatikana katika
kitabu kimojawapo cha elimu ya
Uislam kama ifuatavyo:-
Historia ya mtume Muhammad
(s.a.w)
Muhammad Abdallah Riday Ansaar
Muslim
Youth Organization uk. No 47.
Hebu tuone maelezo mafupi katika
ukurasa huo wa kitabu chiko
kinachotumiwa zaidi na jamii ya
Waislam wa Kiansar, katika
kipengele chenye kichwa cha habari
kisemacho:-
Ijumaa ya kwanza aliyoswali mtume.
Mtume aliondoka Qubaa kwenda
Yathriba ilikuwa ni ljumaa, na
jua lilipochomoza alifika katika
maskani ya Bani Salim bin Awf;
katika Wangwa wa Ronunaa, hapo
ndipo Muhammad aliposwali
swala ya ljumaa kwa mara ya
kwanza katika Uislam
Hivyo ndivyo kitabu hicho cha
historia ya maisha ya mtume
kinavyosema kuwa kumbe ibada ya
ijumaa ilianzishwa rasmi na mtume
Muhammad katika kipindi hicho cha
safari ya Muhammad toka mji wa
Makka kwenda mji wa madina, na
ieleweke kuwa huo ulikuwa ni
mwaka 622 Hijra. BK.
Je’ ibada ya ijumaa inasimama
mahali pa Sabato(Jumamosi)?
Mkazo mkubwa wa Umma wa
Kiislam juu ya siku ya ljumaa
unaanzia katika tukio hilo, lakini
maandiko ya Qur-an yanaonyesha
wazi kuwa kabla ya hapo hata
Muhammad mwenyewe alikuwa
akifuata kawaida na mfumo wa
ibada uliyotumiwa na Wayahudi.
Qur an 2:144
Kwa yakini tukiona
unavyogeuzageuza uso wako
mbinguni. Basi tutakugeuza kwenye
kibla ukipendacho. Basi geuza uso
wako upande wa Msikiti Mtakatifu
(Al-kaaba) ……..
Soma ufafanuzi wa aya hiyo ya 144
hapo chini.
Muhammad kwa takriban zaidi ya
mwaka mmoja na nusu naye
alikuwa akiabudu kwa kuangalia
Baytil Muqaddas
(Yerusalemu). (Qur-an 2:144
fafanuzi uk 34).
Andiko hilo linaonyesha kuwa kipindi
fulani katika ibada Muhammad
alionekana akihangaika kwa
kugeuzageuza uso wake kama
ishara ya kutafuta sehemu mpya ya
kutazama wakati wa ibada, lakini
kabla ya hayo kipindi chote taklibani
mwaka mmoja na nusu aliangalia
Yerusalemu (Palipo na msikiti sasa
huitwao Baitul Muqaddas).
Toka mfanano wa ibada na
wayahudi hadi mfumo mpya wa
ibada wa Uislam.
Kadri ya uchambuzi hapo juu
tumeona namna Muhammad
alivyotekeleza ibada zake ambapo
kwa sehemu zikiwa na mfanano na
Wayahudi hasa kwa tendo hilo la
kuangalia mji wa Yerusalemu wakati
wa sala.
Reje: Daniel 6;10 Yohana 4;20-21
Pamoja na hayo historia inaonyesha
kuwa chanzo kikubwa zaidi cha
mabadiliko katika mwenendo na
mfumo wa kidini wa Muhammad
kinatokana na tukio la mwaka 610
BK ambapo katika mwaka huo
Muhammad alipokea mafunuo
mapya katika mapango ya Jabal ilaa.
Maisha ya Muhamadi uk 16 shekhe
Farsy).
Mafunuo hayo baadhi yake
yalionekana kuwa tofauti na
mafundisho ya Kibiblia
yaliyofahamika na Wayahudi na
hivyo kupelekea Wayahudi
kupingana na Muhammad kwa
kiwango ambacho kiliibua uadui
mkubwa baina yao.
Rejea maelezo ya sura hii ya Qur an.
Qur an 5:82
Hakika utawakuta walio madui zaidi
kuliko watu (wengine) kwa Waislam
ni Mayahudi na wale
mushirikina…….
Kimsingi hali hiyo ya uadui ndiyo
mzizi mkubwa wa mtengano huu
wa kiibada, ili kupata picha zaidi
hebu tusome maelezo ya sura
nyingine ya Qur an..
Qur an 2;145
Na hao walipewa kitabu, hata
ukiwaletea hoja za kila namna ,
hawatafuata kibla chako, wala wewe
hutafuata kibla chao……..na kama
ukifuata matamanio yao baada ya
kukufikia ilimu, utakuwa miongoni
mwa madhalimu…….
Kinachoripotiwa katika aya hii ni
mavutano baina ya makundi mawili
yaani Muhammadi na kundi la
Wayahudi miongoni mwa walopewa kitabu, mvutano huo ulihusiana na nani amfate mwenzake katika mfumo wa ibada ambapo kama utakumbuka vizuri hapo awali Muhammad alienda sambamba na Wayahudi kwa kuangalia Yerusalemu kwa mwaka mmoja na nusu.
Hivyo kile kinachoonekana katika
aya hii ni mabadiliko yaliyotokea
katika mwenendo wa kidini wa
Muhammad pale alipojitoa ghafra na kubadilisha muelekeo wa ibada kwa kuangalia makka badala ya kibla cha Yerusalemu
 
KWAKUWA WEWE NI MAAMUMA, YAWEZEKANA UISLAMU UMEUKUTA KWENYE FAMILIA AU UKOO,HIVO UMERITHI

basi ngoja nikusaidie kuhusu ibada ya IJUMAA ilipoanzia ,
NITANUKUU VITABU VYENU NA QURAN....

Ibada ya siku ya ljumaa mwanzo
wake umebainishwa kupitia
maelezo yanayopatikana katika
kitabu kimojawapo cha elimu ya
Uislam kama ifuatavyo:-
Historia ya mtume Muhammad
(s.a.w)
Muhammad Abdallah Riday Ansaar
Muslim
Youth Organization uk. No 47.
Hebu tuone maelezo mafupi katika
ukurasa huo wa kitabu chiko
kinachotumiwa zaidi na jamii ya
Waislam wa Kiansar, katika
kipengele chenye kichwa cha habari
kisemacho:-
Ijumaa ya kwanza aliyoswali mtume.
Mtume aliondoka Qubaa kwenda
Yathriba ilikuwa ni ljumaa, na
jua lilipochomoza alifika katika
maskani ya Bani Salim bin Awf;
katika Wangwa wa Ronunaa, hapo
ndipo Muhammad aliposwali
swala ya ljumaa kwa mara ya
kwanza katika Uislam
Hivyo ndivyo kitabu hicho cha
historia ya maisha ya mtume
kinavyosema kuwa kumbe ibada ya
ijumaa ilianzishwa rasmi na mtume
Muhammad katika kipindi hicho cha
safari ya Muhammad toka mji wa
Makka kwenda mji wa madina, na
ieleweke kuwa huo ulikuwa ni
mwaka 622 Hijra. BK.
Je’ ibada ya ijumaa inasimama
mahali pa Sabato(Jumamosi)?
Mkazo mkubwa wa Umma wa
Kiislam juu ya siku ya ljumaa
unaanzia katika tukio hilo, lakini
maandiko ya Qur-an yanaonyesha
wazi kuwa kabla ya hapo hata
Muhammad mwenyewe alikuwa
akifuata kawaida na mfumo wa
ibada uliyotumiwa na Wayahudi.
Qur an 2:144
Kwa yakini tukiona
unavyogeuzageuza uso wako
mbinguni. Basi tutakugeuza kwenye
kibla ukipendacho. Basi geuza uso
wako upande wa Msikiti Mtakatifu
(Al-kaaba) ……..
Soma ufafanuzi wa aya hiyo ya 144
hapo chini.
Muhammad kwa takriban zaidi ya
mwaka mmoja na nusu naye
alikuwa akiabudu kwa kuangalia
Baytil Muqaddas
(Yerusalemu). (Qur-an 2:144
fafanuzi uk 34).
Andiko hilo linaonyesha kuwa kipindi
fulani katika ibada Muhammad
alionekana akihangaika kwa
kugeuzageuza uso wake kama
ishara ya kutafuta sehemu mpya ya
kutazama wakati wa ibada, lakini
kabla ya hayo kipindi chote taklibani
mwaka mmoja na nusu aliangalia
Yerusalemu (Palipo na msikiti sasa
huitwao Baitul Muqaddas).
Toka mfanano wa ibada na
wayahudi hadi mfumo mpya wa
ibada wa Uislam.
Kadri ya uchambuzi hapo juu
tumeona namna Muhammad
alivyotekeleza ibada zake ambapo
kwa sehemu zikiwa na mfanano na
Wayahudi hasa kwa tendo hilo la
kuangalia mji wa Yerusalemu wakati
wa sala.
Reje: Daniel 6;10 Yohana 4;20-21
Pamoja na hayo historia inaonyesha
kuwa chanzo kikubwa zaidi cha
mabadiliko katika mwenendo na
mfumo wa kidini wa Muhammad
kinatokana na tukio la mwaka 610
BK ambapo katika mwaka huo
Muhammad alipokea mafunuo
mapya katika mapango ya Jabal ilaa.
Maisha ya Muhamadi uk 16 shekhe
Farsy).
Mafunuo hayo baadhi yake
yalionekana kuwa tofauti na
mafundisho ya Kibiblia
yaliyofahamika na Wayahudi na
hivyo kupelekea Wayahudi
kupingana na Muhammad kwa
kiwango ambacho kiliibua uadui
mkubwa baina yao.
Rejea maelezo ya sura hii ya Qur an.
Qur an 5:82
Hakika utawakuta walio madui zaidi
kuliko watu (wengine) kwa Waislam
ni Mayahudi na wale
mushirikina…….
Kimsingi hali hiyo ya uadui ndiyo
mzizi mkubwa wa mtengano huu
wa kiibada, ili kupata picha zaidi
hebu tusome maelezo ya sura
nyingine ya Qur an..
Qur an 2;145
Na hao walipewa kitabu, hata
ukiwaletea hoja za kila namna ,
hawatafuata kibla chako, wala wewe
hutafuata kibla chao……..na kama
ukifuata matamanio yao baada ya
kukufikia ilimu, utakuwa miongoni
mwa madhalimu…….
Kinachoripotiwa katika aya hii ni
mavutano baina ya makundi mawili
yaani Muhammadi na kundi la
Wayahudi miongoni mwa walopewa kitabu, mvutano huo ulihusiana na nani amfate mwenzake katika mfumo wa ibada ambapo kama utakumbuka vizuri hapo awali Muhammad alienda sambamba na Wayahudi kwa kuangalia Yerusalemu kwa mwaka mmoja na nusu.
Hivyo kile kinachoonekana katika
aya hii ni mabadiliko yaliyotokea
katika mwenendo wa kidini wa
Muhammad pale alipojitoa ghafra na kubadilisha muelekeo wa ibada kwa kuangalia makka badala ya kibla cha Yerusalemu
Umeshiba makande yako huko unakuja kuelezea unavyo jisikia idiot Kabisa.

Yaani naelewa kabisa 1+1=2 alafu uje uniaminishe eti nikubali ni 11, Soma acha kubisha bila ya kuwa na kitu kichwani.
 
Qur'an imeandikwa na waarabu na ni kitabu fake na kurudi kwa yesu ku karibu kwa sababu ishara tumeziona
 
Mbona unaandika uongo ,una mix tu , unadokoa kwenye biblia ,una mix na uongo wa mashehe
Uwongo ni upi, acha kugeneralise vitu, sema kitu ambacho ni uwongo na utoe ushahidi kuwa ni uwongo na siyo kusema tu kwa sababu unaweza kusema.
 
Uwongo ni upi, acha kugeneralise vitu, sema kitu ambacho ni uwongo na utoe ushahidi kuwa ni uwongo na siyo kusema tu kwa sababu unaweza kusema.
unaweza kuthibitisha ,Kwakutumia Quran ,kuwa YERUSALEMU ni ya waislamu ,na walikuwepo waislamu hapo?

Maana umekurupuka, ngoja tuanzie hapo
 
Quran ni kitabu cha uongo mbona hili lipo wazi
sawa lakini kaa ukijua kuwa uislam ni uongo mtupu na kua yaliyotabiriwa katika biblia yameshatimia na mengine yako kwenye process..... endeleeni kuamini kitabu kilichoandikwa na waarabu
 
mnalishwa matango pori weweeee, na nyie mnakubali tu. aliyewalaani aliwaharibu kwelikweli. Mmekomaa tu tu Ibrahi Muisalmu. Uilslam umeletwa na Mohammad wenu miaka mingi sana hata baada ya Ukristo, huo uislam Ibrahimu aliupatae! Huko kwa waassi wenu wa Uislam hamna manabii? Kwani mmng'ang'anie Akina Musa, Daudi, Suleman, Zakaria ambao wote ni Wayahudi na wakati huo huo Wayahudi mnawalaani? Hakika mnaangamia kwa kukosa maarifa. Sasa mwenye Uislam wake amesema anaanzisha uhusiano rasmi na Israel wakati nyie mambwa mkotoana macho humu bi
Unasema wewe kuwa uislam umeletwa na Muhammad ,nyinyi ukiriso umeletwa na wapagani wa ansokya miaka 16 baada ya kuondoka yesu acheni longolongo
 
Ukweli mtupu, ila waislamu watakwambia ibrahimu na adam na Yakobo au israel walikuwa waislamu,

Wakati uislamu imekuja juzi tu, yaan hiv vituko,

Muhamad kaja na uislamu na sala zake 5, kabla hakuna mabaki wala ushahid kuwa paliwahi kuwepo dini ya uislamu,

Naweza kusema ubudha una umri mkubwa kuliko uislamu
Uislamu umeanza toka Adam na Hawa,hata Yesu alizikwa kiislamu,kwa kutumia sanda(shuka tu),bila suti wala sanduku.Wakati Wa Yesu,hakukuwa na ukristo,ukristo ulianza miaka mingi baada ya kuondoka Yesu.Hata biblia wakati wa Yesu ,haikuwako.
 
ACHA KUDANGANYA WATU, HISTORIA , WANA ALKEOLOJIA, VINAONESHA HAPAKUWAHI KUWEPO MSIKITI HAPO,

Eti malaika alijenga msikiti, wakati msikiti wa kwanza umejengwa baada ya kuja Muhamad, tena awali alikuwa anasali na wayahudi kwenye HEKALU la suleman, Alipotokewa na shetan, na kupewa UTUME WA UONGO, ndio mzozo na wayahudi ukaanza...

Maandiko ya Qur-an yanaonesha wazi kuwa kabla ya hapo hata Muhammad mwenyewe alikuwa akifuata kawaida za ibada alizofundishwa na Wayahudi.
-Wayahudi walikuwa na desturi ya kusali kwa kuangalia Yerusalemu, kawaida hii ndiyo iliyotawala maisha ya Muhammad kwa takriban zaidi ya mwaka mmoja na nusu naye alikuwa akiabudu kwa kuangalia Yerusalemu.
(Qur-an 2:144 fafanuzi uk 34)

Tukio la mwaka 610 BK ndilo lililoleta mabadiliko makubwa kwa Muhammad, mwaka huo ndio ambao Muhammad
alipokea mafunuo yake mapya katika mapango ya Jabal hilaa tofauti za kimafundisho, mwenendo, n.k zilianza
kuonekana katika maisha ya
Muhammad mara tu baada ya kuanza kupokea mafunuo hayo. (maisha ya Muhamadi uk 16 shekhe Farsy).


-Hilo lilimfanya Muhammad
kuanza kupingwa na wayahudi hao, Haswa sababu kuu ni pale Muhammad alipoanza kupinga mafundisho waliyompa kama vile., Kutotia mkazo wa Kiibada katika jengo lenye asili ya upagani Al-Kaaba. Qur-an 22:29 [27:9], na Kuanza tabia ya kutangaza imani mpya ya uislam na kuwa na mafundisho yaliyo onekana
kutofautiana na yale ya kibiblia(TANAKH).
Kutokana na mafunuo hayo mapya hoja kuu ya Wayahudi ilikuwa ni juu ya mashaka waliyonayo, kuwa mafunuo haya ya Muhammadihayakuwa ya kweli, Aya ifuatayo ya Qur-an inonyesha hilo.

Qur-an Al-Baarah 2:97 Ufafanuzi uk 24 aya 97 hapa wayahudi wanampinga Malaika Jibril amhaye ndiye aliyeleta mafunuo hayo kwa Muhammad.
Na Ibada ya ijumaa inatokana na ugomvi wa Wayahudi na Muhammad.


-Kutokana na hali hiyo mahusiano baina ya Muhammad na Wayahudi
yaliharibika, Fuatilia katika aya
zifuatazo:

Qur-an 5_:82 Maadui wa Uislam ni Wayahudi
Qur-an 2:I04 [Ufafanuzi] Wayuhudi. ,walihitirafiana na Muhammad na kurushiana maneno.

Tangu hapo Muhammad hakupenda kamwe kuwiana na kile wanachofanya wayahudi katika mifumo ya kidini, na
ndipo anaitangaza rasmi siku ya ljumaa kama siku ya sala katika Ummah wa Kiislam wakati huo akiwa
Yathrib (madina),ili apingane na WAYAHUDI, kumbuka awali alifata mila zao na alisali nao siku ya sabato(JUMAMOSI).

KUANZIA HAPO MUHAMMAD AKAPANDIKIZA CHUKI KWA WAFUASI WAKE DHIDI YA MYAHUDI, Quran imejaa Aya lukuki za kuwachukia wayahudi hasa.

Mungu ibariki ISRAEL ,Mungu wabariki Wayahudi


BIBLIA TAKATIFU INASEMA SIKU ZA MWISHO,WAYAHUDI WATAUTAMBUA UKRISTO NA KUUFATA
Wewe ndo huna akili ni kweli manabii wengi walipelekwa na wengi wameuwawa na ndo sababu walikuwa wakipelekwa manabiii chungu tele ,wana laana hao walimsumbua musa kwa vitimbi vya hali ya juu na hata yesu pia na ndio waliota kumsulubu na isitoshe mpaka leo hawamtumbui yesu
Kama mna dini ya kweli mbona hamna manabii huko kwenu? Manabii wote mnaowataka katika Msahafu wenu ni Waisraeli Kuanzia Musa, Daudi, Sulemani, Zacharia, Yona (Yunus) n.k na wakati huo huo kitabu hicho hicho kinawalaani waisrael. Kweli mna kazi sana. Kitabu cha kubuniwa katika misingi ya visa vya Mungu baali (Shetani).
 
Back
Top Bottom