Did you watch your last tube? You must be kidding me. I will quote"An ethnic clensing event that targeted Muslims and Arabs"
Wewe ni mdini.
na ndivyo ilivyokuwa , hapo kwenye RED shukran kwa kugundua hilo ...
Sasa ulikuwa unabisha nini? Wewe kila kitu lazima uweke udini, why?
wauliza swali while umeshajiwekea conclusion post # 10 ! & again ni matukio yalitokea video inaonesha hadi makaburi ya pamoja! sijui unachobisha ni nini..?! \
forum yangu huwa ni JF doctors! umeona mada zangu kule naweka udini! ... kuna msemo ( nyani haoni kundule )
Back to the TOPIC ... mapinduzi yalikuwa ni uhalifu wa kivita it doesn't matter nani aliye uliwa ! ule si ubinaadamu kuacha maiti zioze ziliwe na ndege
Nyerere hakushiriki Mapinduzi ya Zanzibar! Kwa nini usiwazungumzie watu kama akina John Okello na wengineo ambao ndio waliongoza Mapinduzi hayo? Mbona marehemu Muhammad, mtume feki wa Waislamu, aliua mamia kwa maelfu ya watu waso na hatia, huoni kwamba huyo babu alikufa na damu zisizo na hatia kuliko kumkomalia Nyerere kwa mauaji ya Zanzibar ambayo hakuyafanya?Angalieni haya mauaji yaliyofanywa! zile maiti sio waarabu bali ni wafrika! ... Nyerere kwa kukubali tanganyika yetu ijiunge na ile serikali ya mapinduzi basi amefariki na damu ya waznzibar mikononi mwake video yasikitisha mno
Who did it? Me?
Sasa kama it doesn't matter nani aliyeuliwa, kwanini waseme ili target Waislam na A'rabs? Waislam ni nini, watu wenye dini ya islam sio? Kwanini wasiseme wabantu, et al?
Nyerere hakushiriki Mapinduzi ya Zanzibar! Kwa nini usiwazungumzie watu kama akina John Okello na wengineo ambao ndio waliongoza Mapinduzi hayo? Mbona marehemu Muhammad, mtume feki wa Waislamu, aliua mamia kwa maelfu ya watu waso na hatia, huoni kwamba huyo babu alikufa na damu zisizo na hatia kuliko kumkomalia Nyerere kwa mauaji ya Zanzibar ambayo hakuyafanya?
lol , hivi ,..... wewe wawa pi..?! mbona mgumu kuelewa hivi.... kwenye kichwa cha habari nimeandika ni wewe uliyefanya! hii massacre ama nimeandika christians ndio waliofanya hii massacre 。。。。 lol jaribu kushirika ubongo wako wote na si nusu ya ubongo wako katika kufikri
marehemu muhamad ndio nani ..?!! alafu namlaumu nyerere kwa kukubali tanganyika yetu iungane na serikali iliyofanya mauaji makubwa kama haya
Bado unajaribu kukimbia weye. Narudia tena: I will quote"An ethnic clensing event that targeted Muslims and Arabs" Niambie maana ya hayo maneno kwenye hiyo quote ya tube yako ya nne?
Sasa nani ashirikishe ubongo mzima?
Marehemu Muham-mad (PBUH) ni mtume wenu nyie maislam.
nilishakujibu waliouwawa ni waislamu sababu znz ilikuwa na waislamu wengi mno.. na pia waarabu coz ndio walikuwa watawala ... mbona sentensi ipo wazi
hatuna mtume anaitwa Marehemu Muham-mad na maislamu ndio nini ..???!
Kwanini waseme WASILAMU kama sio kutangaza udini? Kumbe Uzanzibari ni USILAMU!!! na UARABU??!!!!
Pole sana. Allah wenu anamtume mmoja tu na jina lake ni Marehemu Muham-mad (PBUH). Maislam ni nyime muham-madans!!!
Sio siri weye ni mgonjwa yaani unaweka coclusion alafu wageuza swali have you ever heard about open ended questions ??? ndio njia nzuri ya kufanya conservation na mtu ....ushauri wangu find a shrink
.ushauri wangu find a shrink
Marehemu Muhammad ni jambazi fulani lililojifanya mtume katika karne ya 6 na liliua watu wengi sana na kupora mali zao! Wewe kwako halikunyimi usingizi ila linalokunyima usingizi ni Nyerere kurejesha amani Zanzibar baada ya wao wenyewe kuuana wao kwa wao? Ama kweli kichwa chako kina kamasi badala ya ubongo!Naona umekuja na ID mpya anyways ...marehemu muhamad ndio nani ..?!! kuhusu swala la mtume feki au original sitojadili sababu mada inahusu mapinduzi ya znz 1964 , kama wataka kujua ni mtume feki au original kaulize kule jukwaa la dini... alafu namlaumu nyerere kwa kukubali tanganyika yetu iungane na serikali iliyofanya mauaji makubwa kama haya ilahali alijuwa wazi ile serikali imeingia kimabavu pale