Ukweli kuhusu maisha ya India

Kuhangaika kote kwenda huko ama kimasomo ama kwa sababu nyingine, observation yako ndio ilipoishia hapo ??? Tulifikiri ungetuambia kwanini vijana wao wamekuwa CEOs wa US corporates, n.k au vipi wanakabiliana na changamoto za kimaisha and so on ?
 
Kuhangaika kote kwenda huko ama kimasomo ama kwa sababu nyingine, observation yako ndio ilipoishia hapo ??? Tulifikiri ungetuambia kwanini vijana wao wamekuwa CEOs wa US corporates, n.k au vipi wanakabiliana na changamoto za kimaisha and so on ?


Usiwe zwazwa, hivi unajua population ya india ni zaidi ya africa? india population ni 1.2 billion, wakati the whole africa population yetu ni 1.1 billion, wahindi wengi ni maskini sana pengine kuliko hata maskini wa huku africa, hao waliofanikiwa kuwa CEO wa big US companies k.v sundar pichai, indira nooyi, satya nadella, etc wana-present 0.0001% ya wahindi wote

kwa mfano jay z, michael jackson, kanye west kuwa worldwide talented and famous entertainers, je inamaanisha kuwa waafrika wote wana vipaji vya kuimba?? Bravo Mike
 
Tena familia ya binti itatoa mahari mingi kwa kijana handsome, msomi na mwenye mali!!
Khaaa ..tumezoea wanaume ndio wawatongoze wanawake je huko kukoje binti ndo ana nafasi ya kumtakamume au inakuaje
 
Umenichekesha hapo eti wanakunya mavi na kukojoa barabarani...jamani khaa!!
 
Ningekuwa mimi hapo VUMBI LA KONGO lingemhusu 100%
 
Nademu Wang muhindi,ngoja nimdump kabla hajanidump mimi
 
Si kweli rahisi hivyo
 
Angalia maeneo wanayokaa yalivyo machafu Victor wa happy
Usinikumbushe... yaani usinikumbushe. Kuna dada mmoja wa kihindi aliniachia chawa... vidogo vidogo...vyeusi tiii, vinawasha zaidi ya washa washa. Mimi kila siku nasikia mwasho kwenye ma*vuz* najikuna wee mpaka karibia underwear zitoboke. Nikadhani ni mba. Siku moja nikakaa juani na kuangalia... mama wee.. vichawa vidogo vidogo vyeusiii. Mpaka uangalia kwa makini ndiyo uvione. Nikapiga kiwembe na kupaka mafuta ya taa juu ndiyo vikaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…