Ukweli kuhusu maisha halisi ya mwanamke

Ukweli kuhusu maisha halisi ya mwanamke

Hiyo 8 na 9 nani kakutuma?
Hapa ni jukwaa huru, tunajadili kwa Uhuru, ungeeleza ni vipi hukubaliani na hoja then mtu ajue anaanzia wapi aidha kukubaliana na wewe au yeye kukuelewesha
 
Mwanaume halisi huwa situmiagi kondom napigaga nyama nyama kama hutaki bora nipige mkunyeto kuliko kuvaa puto
 
Science improve nani yupo juu ya mwenzake?

Wakina sir Newton,Galileo,Louis Pasteur, Charles Darwin, Albert Einstein,Otto hahn wanyamaaaaaaa wakina Nicole Tesla, Aristotle, Faraday, Mendeleev enzi hizo wanafanya vikao vyao hawakutaka sio tu mwanamke auzuliwe vikao vyao Basi hata kuwa mhudumu tu waku wakuhudumia maji ya Kilimanjaro..

Mwanamke Ni chanzo Cha uhai hiyo Ni heshima kubwa sana na ibakie hivyo milele na milele.
Ukija na hoja za mwanamke Ana akili kuliko mwanaume au yupo juu ya mwanaume basi tunakuwa tunawatukana wazee,magwiji,ma-guru,mababu walioleta mwanga kwenye hii dunia.

Namalizia kwakusema pole najua mapenzi yanakutesa ndo Mana umekuwa mwanafilosofia
Umenikumbusha mkuu wazungu wanasema

If you marry a good woman you will be happy but if you marry a bad woman you will become a philosopher.

naoma mtoa uzi yashamkuta hata kama hajaoa basi mahusiano yake yamem kamwene
 
Kuwa mvumilivu basi...bado tuna dakika 45+

Au umesahau wewe juzi ulishaanza kulia baada ya kuona bado dakika chache NC wamalize game ndio mkajitutumua kuchomoa

Yaani nilikuwa namwona Benitez kama mchawi siku ile.

Ngoja niwe mvumilivu.
 
Mtoa uzi unakosea sehemu moja,, wazungu wanasema "You don't learn anything in life if you think you are right all the time"

kila ulichokiandika hapa ni vitu vya kusadikika na ambavyo havitakuja kutokea kwa sababu you can't against nature,, Mungu mwenyewe ndiye aliyetaka mwanamke awe chini ya mwanaume, mimi si msomaji mzuri wa bibilia lakini kuna neno linasema

MUNGU ALIPOMUONA ADAMU YUPO PEKE YAKE AKAAMUA KUMFANYIA MSAIDIZI AMBAYE NDIYE MWANAMKE.

pia kuna neno lingine linasema MWANAUME NI KICHWA CHA NYUMBA KAMA KRISTU ALIVYO KICHWA CHA KANISA (sorry kama upo dini tofauti)

Hivyo neno msaidizi lina maana mwanamke yupo chini ya kitu/ mtu/ status/ au system fulani, sisemi wanaume tutumie vibaya hii neema hapana ila kama lako ni kuleta usawa mkuu sahau haitakuja kutokea huo muda ni bora ufanye hata mazoezi.
 
Hakuna anayeteseka isipokua nataka niwasaidie watu waishi kwa amani,

Wewe hapo ulipo umefundishwa kua utaoa mwanamke na kumuamulu atakavyo, utamfanya awe mtumwa wako na yeye kafundishwa kukutii, hapo atafanya lipi la maana zaidi ya kukutegemea kifikra na kiuchumi ?

Hii ni tangu hata hao akina Newton hawajazaliwa. Hao nao wamelelewa kwa misingi kama uliyolelewa wewe,

Miaka ya zamani China mwanaume aliruhusiwa kumuua mwanamke kwa sababu mwanamke ni Mali ya mwanaume,
Baadae wakapiga marufuku

Mwanamke ni zaidi ya ujuavyo
Kwahiyo wewe unachotaka nikwamba mwanaume na mwanamke wawe sawa 50%-50%??? Nimesoma Uzi lakini sjakuelewa upo upande gani.
 
Back
Top Bottom