ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,864
- 60,861
Kuna kaukweli tunaomba endelea kutushushia mapoints
Nimejaribu kusoma mpaka mwisho lakini sijaelewa huo mfumo ni wa taifa gani au karne ipiKama Hujamuelewa Mtoa Post Gonga Like!
Ndoa inajengwa na watu wawili tu, kama bado mnaruhusu mambo ya nje yawaendeshe then kazi unayo. Uwe kwenye ndoa au usiwepo1. Mwanamke anapenda na kutamani kama mwanaume.
2. Mwanamke yuko juu kuliko mwanaume, ndio maana amedhoofishwa kwa kuaminishwa kuwa yuko chini ya mwanaume ktk dini, tamaduni, jamii n.k mfano kufunika uso kama ninja ili asitamaniwe
3. Mwanamke huandaliwa tokea akiwa mtoto mdogo kuja kumtumikia mumewe, wakati huo mwanaume huandaliwa kuja kummiliki mwanamke kama kiwanda cha kumzalishia watoto.
4. Mwanamke anafundishwa tokea akiwa mtoto mdogo kumtegemea mwanaume. Hata apate kazi yenye malipo ya Tsh milioni mia moja bado ataomba pesa kwa mwanaume.
5. Mwanamke huishi kwa kutafuta mwanaume mwenye sifa kama za baba yake, ukimuoa akipata mtu mwenye sifa za baba yake ambazo wewe huna atachepuka tu cycle huendelea.
6. Mwanamke ni kiumbe huru kama alivyo mwanaume, kuamini kwamba atakuwa na mwanaume mmoja unajidanganya, nature haipangiwi.
7. Mwanaume hutaka kumfanya mwanamke mtumwa, hufanikiwa siku chache baadae mwanamke hutaka kuwa huru kwa sababu si asili yake kuwa mtumwa, ugomvi huibuka.
8. Ndoa ni utumwa utake usitake ndoa ni kifungo ukiingia jiandae kuishi kama gerezani.
9. Mwanaume ni kama askari magereza mwanamke ni kama mfungwa katika ndoa, hivyo basi kuishi kwa amani ni kitu ambacho hakiwezekani.
Tunaishi katika mfumo mbovu tunahitaji uhuru na mabadiliko ndani yetu.
Jamaa amekwama Kinoma!Nimejaribu kusoma mpaka mwisho lakini sijaelewa huo mfumo ni wa taifa gani au karne ipi
ndo ivo tutafanyaje sasaMwanamke kuomba omba pesa inatokana na mfumo tunaoishi, hata awe na kila kitu atakuomba tu,
Huu mfumo ni mbovu
Sijaelewa kabisa au ni mfumo mpya anataka kuuanzisha maana hata USA kuna jamaa huko Wako alianzisha dini yake na walimsambaratisha na wafuasi wake woteJamaa amekwama Kinoma!
So, Don ana sifa za mzee[emoji3][emoji3]1.Kupenda sawa ila sio kutamani...hivi mwanaume unamtamani kwa lipi,yani unamtamanije mwanaume? [emoji23] [emoji23]
2.................
3................
4.Sio kweli
5.Ukweli 100%
6.Sio kweli
7...............
8..............
9...............
Hahahahahhh dah!So, Don ana sifa za mzee[emoji3][emoji3]
Pole inaonekana mzee wako ndio dizaini ya waleeeeNamba nne nakazia ...
Namba tano sitaki hata kusikia
Pole inaonekana mzee wako ndio dizaini ya waleeee
Hahahahaha naomba nisiseme kwa kweli
HahaMzee mkaksiiii[emoji3][emoji3][emoji3]
Mzee akiingia nyumba yote kimyaaa.. utadhani Simba kaingia.
Usimchukie bana binadamu hatufanani.. kuna wazee nunda hadi ukiona rafiki zako baba zao walivo marafiki unatamani ubaba ungekuwa unabadilishwa.
R.I.P mzee wangu ulikuwa pc sana.