Ukweli kuhusu maisha halisi ya mwanamke

Ukweli kuhusu maisha halisi ya mwanamke

Umeongea kweli mkuu isipokuwa point ya kwanza napingana nayo kiasi Fulani..
 
Ila wewe na mimi tutasimamisha mahusiano yetu kesho, halafu tutajitafakari upya baada ya kumaliza ubatizo na Messi.

Masikini moyo wangu😞😞

Yani moyo wangu uko juu juu kila jina la Messi ama Ernesto likitajwa

Haya naendelea kusubiri hatma yangu itakuwa ipi
 
Nimejaribu kusoma mpaka mwisho lakini sijaelewa huo mfumo ni wa taifa gani au karne ipi
Mfumo mbovu unaozungumziwa nimeeleza kwa kirefu hapo juu labda kwa kukuongezea

1. Mwanamke au wanawake kuolewa na mwanaume mmoja, wakati huo huo mwanamke haruhusiwi kutoka nje isipokuwa kwa mumewe tu. Je hii ni haki ? Je hii ni sawa ? Je mfumo hauegamii upande mmoja ?

2. Mwanamke kuvalia mavazi ya kininja kuficha asionwe na wanaume wengine, huu ni uthibitisho kua mwanamke ni mali ya mwanaume kama Mali zingine mfano magali nyumba n.k.. Je hii ni sawa ?

3. Mwanamke kulala chini mwanaume kuja juu then unafanya yako ukimaliza unamuacha (wamisionari) umesahau kua mwa kila kiungo cha mwanamke hufika kileleni na wewe umefikisha kimoja au kutokufikisha hata kimoja umemaliza yako umetia usingizi umelala unakoroma je huo sio ukatiri ?
 
Masikini moyo wangu😞😞

Yani moyo wangu uko juu juu kila jina la Messi ama Ernesto likitajwa

Haya naendelea kusubiri hatma yangu itakuwa ipi

Umenichekesha, Leicester anaweza kufanya maajabu labda. Nikaachana na habari za hao mitume wa mpira.

Ngoja niangalie game hapa, hope uko kwa jirani.
 
Umenichekesha, Leicester anaweza kufanya maajabu labda. Nikaachana na habari za hao mitume wa mpira.

Ngoja niangalie game hapa, hope uko kwa jirani.
Hahahah!acha kuota basi...wakati mchumba angu Aguero namtegemea anitolee hatrick leo

Mie niko kwa jirani kama kawaida
 
1.Kupenda sawa ila sio kutamani...hivi mwanaume unamtamani kwa lipi,yani unamtamanije mwanaume? [emoji23] [emoji23]
2.................
3................
4.Sio kweli
5.Ukweli 100%
6.Sio kweli
7...............
8..............
9...............
Kamwe usijaribu kutafuta furaha kwa mtu mwingine mfano mwanaume au mpenzi wako, furaha ya kweli inatoka ndani yako, ukitegemea kupata furaha kwa kumtegemea mtu fulani au kuolewa na mtu fulani, utafurahia siku za usoni tu then baadae kidogo utaanza kuupata ukweli halisi,

Ndoa ni sawa na kidonge cha mwarobaini kilichopakwa sukari kwa nje, ukikimeza utafurahi then sukari ikiisha utaanza kuona hali halisi, ndoa ni kifungo, ndoa ni utumwa.

Kwa nini mwanamke aishi kwa kutegemea kuolewa ?

Binadamu wawili wanamawazo tofauti haiwezi tokea hata siku moja wakawa na mawazo yanayofanana milele, ndoa inamfanya mtu mmoja awe mtumwa mwingine awe mmiliki wa mtumwa
 
Back
Top Bottom