Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,041
- 2,417
- Thread starter
- #161
nimekuelewa kwa sasa ila mwanzoni hukuwa fair na ulikuwa so critical ... poa nimekusoma....Ukumbuke wakati mwingine unapoleta mada sensitive kama hii nawe unatakiwa uwe umejiandaa maana hapa tupo watu wa kila aina.
Mimi hujaribu kuwa very diplomat katika majadiliano lakini nipo firm na fair katika hoja zangu.
Ukumbuke wakati mwingine unapoleta mada sensitive kama hii nawe unatakiwa uwe umejiandaa maana hapa tupo watu wa kila aina.
Mimi hujaribu kuwa very diplomat katika majadiliano lakini nipo firm na fair katika hoja zangu.