idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,306
- 38,511
Hadi Bavicha wamemruka leo.Mange anataka kutumia ushawishi wake kuwafanya Watu wamchukie Diamond. Lakini kasahau kila mtu ana utashi wake.
Hadi Bavicha wamemruka leo.Mange anataka kutumia ushawishi wake kuwafanya Watu wamchukie Diamond. Lakini kasahau kila mtu ana utashi wake.
Adhabu ipo Kaka. Unaweza futiwa akaunti yako au nyimbo kama ikigundulika.Hivi kuna adhabu yoyote kwa wanunua viewer ukiachana na kufuta fake viewer?