UKWELI ni kwamba watu huchepuka pale miili yao na akili zao zinapowasha tamaa za ile kitu kwa kumtathmini mwanamke mwingine tofauti na mke/mume wake kuwa anaweza kumpa raha anayoiassume. Tathmini hiyo huielekeza sana kwenye muonekano wa nje (mvuto) wa aliyemtamani.Wasiochepuka wamezipa nidhamu mind zao + uvumilivu kuwa mke/mume aliyenaye ndio chaguo lake na hakuna cha ziada huko nje, akitakacho atakipata kwa aliyenaye km kuna tofauti watazirekebisha na kusonga mbele.
ONYO: Kutokuchepuka kunahitaji mind, body and spiritual disciplines sio kirahisi tu ndio maana wengi yamewashinda.
Mimi nimeweza kujizuia kuchepuka , je wewe?
ONYO: Kutokuchepuka kunahitaji mind, body and spiritual disciplines sio kirahisi tu ndio maana wengi yamewashinda.
Mimi nimeweza kujizuia kuchepuka , je wewe?