Ukweli kuhusu Kazi na Ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli kuhusu Kazi na Ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Chasha Poultry Farm, Aug 17, 2012.

 1. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,282
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 280
  Wakuu kuna mkanaganyiko mkubwa sana kati ya AJIRA NA KAZI, na ukisoma baadhi ya vitabu vitakuambia hakuna tofauti ila baadhi vinakuambia kuna tofauti kubwa sana,

  KWA NILIVYO KUTA TOFAUTI

  1. KAZI- Kazi ni ambayo unasomea Chuoni au shule yoyote ile

  1. AJIRA- Hapa ni mahali pa kufanyia hiyo kazi yako
  2. KAZI- Hakuna mtu anaye weza kukufukuza/kukuchisha kazi kwa sababu kazi unayo wewe na uliisomea wewe mwenyewe, MUNGU PEKEE NDO ANAWEZA SITISHA KAZI YAKO

  2. AJIRA- Ajira ndo huwa zinasitishwa au mtu anaashishwa ajira yake na si kazi,  3. KAZI- Kilichopo sio ukosefu wa kazi bali ni ukosefu wa mahali pa kufanyia hiyo kazi means AJRIA, so ajira ndo hazipatikani ila KAZI UNAZYO WEWE MWENYEWE

  3. AJIRA- Ajira ndo hazipatikani ila kazi zipo

  SO hakuna mtu anaye weza kukuachisha/ Kukufukuza kazi yako zaidi ya MUNGU ANAPO KUWA AMEKUITA MBELE ZA HAKI
   
 2. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,634
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  tafakuri uje na hoja nyingine
   
 3. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  yani wewe umekosa chakupost shiiiiiiit
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,690
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  Au ndio akili za ki_komandoo......lo!
   
 5. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwahiyo unataka kutuambia nini?
   
 6. W

  Wajad JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 872
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 60
  Hii ungepeleka jukwaa la lugha.
   
 7. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Sawa kabisa.
   
Loading...