Ukweli Kuhusu Electronic Fiscal Devices ( EFDs)


Kwa nini TRA wasinunue hizo mashine wao na kuwagawia wafanyi biashara kama vile makampuni ya vinywaji wanavyofanya kwa Majokofu?
 
huwezi nunua ya kwako, server ya TRA itakugomea kuisajili sio agent. Serial number za mashine zote tanzania mpya na zilizounganishwa tayari. ukija na mashine yako server itagoma kutoa kitu kinaitwa UIN ambayo inahitajika kufanya usajili.
 
kampuni za simu zinalipa kodi kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…