Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,251
- 13,506
Wanasema na makato ni makubwa 18% ya kile uuzacho
kwanza kabisa kama ilivyotanabahishwa kwenye website ya TRA(Tanzania Revenue Authority - E-Fiscal Devices (EFD))
kuna aina tatu za EFDs, TRA na Serikali wanatakiwa kuchambua wazi ni aina ipi ya hizo devices ambayo inafaa kwa kwa mazingira yetu ya Kitanzania , aina ipi ni kwa kundi lipi la wafanyabiashara? na ichambue bei ya kila divice(kwa mfano Nchi ya Republic of Georgia ni Georgian Lari GEL350 ( The price of the cash register and its maintenance), ambazo si zaidi ya TSH330,000/-)
Watueleze kwa wamejipanga vipi katika kuwaelimisha wafanyabiashara na wateja, ufuatiliaji, management and controlling ya kodi kwa kutumia hizo mashine.
watuambie kama mtu binafsi anaweza kujinunulia yake binafsi na TRA kuja kuinstall programme zao au kama makampuni binafsi wanaweza kusambaza tofauti na wao TRA kwani ni soko huria.
Anyway,
kama wewe unaujua ukweli wowote kuhusu manunuzi, usambazaji, upatikanaji, njia bora ya usimamizi wa kodi kupitia hizi mashine kulingana na mazingira yetu ya kitanzania( ki-Techolojia ,ki-hulka za wafanyabiashara na wateja na rushwa), tafadhali tuungane pamoja kuweka ukweli na ushawishi wetu hapa kuliko kuingia katika malumbano ya kuwalaumu wafanyabiashara au kuwalaumu TRA na serikali bali tujikite katika kuweka ukweli bayana na data sahihi kuhusu huu mradi wa TRA !
mimi naanza na link za upatikanaji wa EFDs
Daisy Technology - The fiscal devices your business needs
Cash Register Manufacturer, Retail Cash Registers, Restaurant Cash Registers, POS Systems
Home page
CASIO 140-CR ELECTRONIC CASH REGISTER RETAIL SHOP TILL | eBay
pt=LH_DefaultDomain_3&hash=item27c87bfaea
Bora tuwe wawazi na wakweli na tukosoe panapofaa kuliko kuingia katika malumbano kati ya hizi pande mbili
Aksante
Mkuu FJM, Hiyo mashine, inalipiwa na TRA wenyewe kwa ku deduct kwenye kodi yako!.Pasco,
Sijui na wewe unaanza kuchanganya mambo. Issue hapa sio kukataa au kukwepa kodi, ila ni ulanguzi unaofanywa na TRA kwa kisingizio cha kufuatilia kodi. Na wafanyabiashara wa Kariakoo hawako peke yao kwenye hili. Ni hivi majuzi tu Mbeya nako kulikuwa na sintofahamu.
Tukumbuke hizi sio zama za RTD, kwamba taarifa zinapatikana kupitia RTD na wakina Uhuru/Dailynews. Zama za utandawazi zinampa raia wa kawaida uwezo wa kupata habari anayotaka na kwa muda anaoutaka yeye.
Bei ya hizi machine ni wizi mtupu na TRA wanataka kuleta maujanja kwenye huu ulanguzi. Hata hapo Kenya, pamoja na unyang'au wao, watu wanauziwa machine kwa bei nafuu. Hizi za TRA zina almasi ndani yake?
Kumbuka, kama kuna watu wanye uwezo wa kufuatilia bei za hizi machine basi wafanyabiashara wa Kariakoo watakuwa wa kwanza. Kila kukicha wanaenda China kununua bidhaa, wanajua hizi machine zinauzwa bei gani, leo hii mtu mzima anasimama na kuwaambia machine laki 8?
Na hata kama TRA watakuja na kisingizio kwamba wao wanatumia models za ghali, bado swali la msingi linabaki, kwanini wawachagulie watanzania machine za ghali? Hivi ni kweli machine zinazouzwa na TRA ni za viwango vya juu sana hivyo kufanya bei ya sasa kuwa sahihi?
Mh. Zambi ameongea bungeni baada ya kufanya uchunguzi binafsi, na anakubaliana na madai ya wafanya biashara kuwa bei za hizo machine si sawa. Kwanini TRA wanaendelea kungang'ania huu ulanguzi? Na kwanini waziri wa Fedha anakuwa bubu? Si ajabu huyu waziri na mawani yake wala hana habari ni kiasi cha fedha Tanzania imepoteza kwa kufunga maduka? Uchumi hauendeshwi kwa mtindo huo!
Wabongo tumezoea sana wizi na kukwepa, wafanya biashara wamezoea super profit, kwa vile sasa mashine zitaonyesha kila kitu, nanataka kuzigomea!. Mbona wahindi wanazitumia na hawagomi?!.
Anayelipa kodi ni end user, hivyo anayepaswa kugoma ni mteja baada ya kupandishiwa bei kufuatia wafanya biashara kulipa kodi!, na sio wafanya biashara wagome kuuza, kisa kodi iko juu!. Huu sasa ni mwanzo mzuri wa hivi vibiashara mchoro mchoro vifungwe zibaki biashara halali tuu!.
Kwa upande wa EFD, nako ni wizi mtupu!, mashine inauzwa dola 100, hapa unauziwa dola 1000!.
Ukiamua kununua mwenywe, wale maajent wa TRA hawakubali ku install!.
Mijimashine yenyewe approved kwa Tanzania yote inatumia windows only kwa sisi tunaotumia mac, tunalazomika kununua computer ya window kwa ajili ya EFD tuu!.
Huu pia ni nyanyasaji!.
Pasco.
Pasco.
EFD ni EFD, haijalishi ni mashine zipi kama zilivyo computers, ya kwangu ni Icotex imetengenezwa Bulgaria, haipokei computer za mac!.naomba kuuliza swali ambalo liliulizwa na mtu huko nyuma
Je nchi za Ulaya, usa, south africa wanatumia mashine zipi?
Kenya na Rwanda wanatumia mashine zipi?
Hebu tuwe realistic hivi wafanyabiashara hasa tunaowazungumza au walio ktk kundi la waathirika zaidi ni wepi? Kwa wafanyabiashara wadogo wa mapato ya shilingi milioni 14 kwa mwaka gharama ya kununua EFD moja kwaTsh. 800,000-1,500,000 ni fedha nyingi na anayo haki ya kulalamika. Labda kwa wafanyabiashara wa mapato ya juuHoja ya kwamba bei ni kubwa hata mimi nakubaliana nayo lakini tatizo wafanyabiashara wenyewe hawana kauli moja kuhusu ni kwanini hasa hawataki hizi mashine!!! Hizi kauli mbili mbili ndizo zinazotia shaka; kwamba mara huwezi kumpunguzia mteja coz' hata ukimpunguzia utalazimika kulipa kodi ya original price, ukiongea na mwingine anakuambia kodi kupitia hizi mashine ni nyingi; ukisogea upande wa pili wanakuambia wao hawakatai kulipa kodi na wapo tayari kulipa kodi kwa mfumo wa zamani....ukikutana na mwingine yeye ndo atakueleza suala la bei ya mashine kuwa kubwa!!!
BInafsi, nakubaliana na hoja kwamba hizi mashine bei yake kwa wengi ni kubwa especially kule mikoani lakini tutake tusitake; hizi mashine hata kama ingekuwa zinatolewa bure bado wafanyabiashara wengi wasingezipenda...wabongo tumeshazoea maisha ya ujanja ujanja! Hata wakati LUKU zinakuwa introduced, watu walikuwa wanazipinga ile mbaya coz' walifahamu ule ujanja ujanja wa bili imefikia laki 7 lakini msoma mita unampa elf 20 anakausha; ndo basi tena! Hapa ndipo ulipo msingi wa tatizo; hizi zingine zote ni kutafuta public sympathy!!
Kwa taarifa yako wafanyabiashara wananouza Tshs 110,000 kwa siku au zaidi ndiyo wapasao kusajiliwa VATHebu tuwe realistic hivi wafanyabiashara hasa tunaowazungumza au walio ktk kundi la waathirika zaidi ni wepi? Kwa wafanyabiashara wadogo wa mapato ya shilingi milioni 14 kwa mwaka gharama ya kununua EFD moja kwaTsh. 800,000-1,500,000 ni fedha nyingi na anayo haki ya kulalamika. Labda kwa wafanyabiashara wa mapato ya juu
Something is behind this mgomo...but the bottom line is TRA ikicheka na wafanyabiashara hakuna kodi itakayokusanywa....hawa sio watu wa kuwachekea kabsa...pamoja na vipato vyetu vya chini wafanyakazi tumelipa kodi sana....tuanze kugawana maumivu sasa na kuongezwa tax base kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii.
Hoja ya kwamba bei ni kubwa hata mimi nakubaliana nayo lakini tatizo wafanyabiashara wenyewe hawana kauli moja kuhusu ni kwanini hasa hawataki hizi mashine!!! Hizi kauli mbili mbili ndizo zinazotia shaka; kwamba mara huwezi kumpunguzia mteja coz' hata ukimpunguzia utalazimika kulipa kodi ya original price, ukiongea na mwingine anakuambia kodi kupitia hizi mashine ni nyingi; ukisogea upande wa pili wanakuambia wao hawakatai kulipa kodi na wapo tayari kulipa kodi kwa mfumo wa zamani....ukikutana na mwingine yeye ndo atakueleza suala la bei ya mashine kuwa kubwa!!!
BInafsi, nakubaliana na hoja kwamba hizi mashine bei yake kwa wengi ni kubwa especially kule mikoani lakini tutake tusitake; hizi mashine hata kama ingekuwa zinatolewa bure bado wafanyabiashara wengi wasingezipenda...wabongo tumeshazoea maisha ya ujanja ujanja! Hata wakati LUKU zinakuwa introduced, watu walikuwa wanazipinga ile mbaya coz' walifahamu ule ujanja ujanja wa bili imefikia laki 7 lakini msoma mita unampa elf 20 anakausha; ndo basi tena! Hapa ndipo ulipo msingi wa tatizo; hizi zingine zote ni kutafuta public sympathy!!
Khaa!! Lipa kodi bana. Mbona mumeleweshwa kila kitu kwamba hiyo pesa mtarudishiwa kwenye mchakato wa kulipa kodi. nyie vipi hamuelewi? Au hamzitaki hizo machine? Au mlikuwa mnakwepa kulipa? Lipeni bana wafanyakazi wanaumia sana kwa sababu ya kukwepa kwenu:A S tongue:Kaka hawa TRA hamna kitu kabisaaaa,hivi wana kitengo cha utafiti kweli????!!!!!
Huwa wanajifunza kutoka kwa wenzao kweli???!!!!
Wana nia ya kuikomboa hii nchi kupitia kodi kweli???!!!!
Waziri wa fedha na wataalamu wake wako aware kweli na uhitaji wa nchi hii katika suala hili??!!!
To hell with it, bora uchaguzi uje tujue la kufanya!!!!
Wabongo tumezoea sana wizi na kukwepa, wafanya biashara wamezoea super profit, kwa vile sasa mashine zitaonyesha kila kitu, nanataka kuzigomea!. Mbona wahindi wanazitumia na hawagomi?!.
Anayelipa kodi ni end user, hivyo anayepaswa kugoma ni mteja baada ya kupandishiwa bei kufuatia wafanya biashara kulipa kodi!, na sio wafanya biashara wagome kuuza, kisa kodi iko juu!. Huu sasa ni mwanzo mzuri wa hivi vibiashara mchoro mchoro vifungwe zibaki biashara halali tuu!.
Kwa upande wa EFD, nako ni wizi mtupu!, mashine inauzwa dola 100, hapa unauziwa dola 1000!.
Ukiamua kununua mwenywe, wale maajent wa TRA hawakubali ku install!.
Mijimashine yenyewe approved kwa Tanzania yote inatumia windows only kwa sisi tunaotumia mac, tunalazomika kununua computer ya window kwa ajili ya EFD tuu!.
Huu pia ni nyanyasaji!.
Pasco.
Pasco.
Mkuu FJM, Hiyo mashine, inalipiwa na TRA wenyewe kwa ku deduct kwenye kodi yako!.
Pasco.
Mkuu there is a point you are missing,,,hizi mashine kwanza TRA haiuzi coz ni za TRA, na sio wafanyabiashara,,hela watakayotoa wafanyabiashara itakuwa setoff kwenye return zao za kodi,,,so literally mfanyabishara hapa hatoi pesa yake mkononi kozi hiyo pesa atarudishia,,so kama kuuzwa kwa bei ya juu,,TRA wenyewe ndo wangelalamika kuwa hizi mashine ni bei ghali.Kiini cha huu mgomo ni kukwepa kodi na gharama,,kwani hizi mashine hazidanganyi mapato mkuu.Ndugu, unajadaili NJE ya mada.
Hapa mjadala ni mashine zenyewe, yaani EFD. Kwamba, bei hali ya mashine hizo ni mara 15 chini ya bei wanazouza kwenye maduka yaliyopendekezwa na TRA. Kwa nini hali iko hivyo? Kwa nini TRA wasiache biashara ya EFD iwe huru kama zilivyo calculators na laptop?
Ndugu, unajadaili NJE ya mada.
Hapa mjadala ni mashine zenyewe, yaani EFD. Kwamba, bei hali ya mashine hizo ni mara 15 chini ya bei wanazouza kwenye maduka yaliyopendekezwa na TRA. Kwa nini hali iko hivyo? Kwa nini TRA wasiache biashara ya EFD iwe huru kama zilivyo calculators na laptop?
Ili kuwawezesha hao wananchi unaosema ni lazima serikali ikusanye kodi! Watu walio katika kundi hili ni wale wanaofikia mauzo ya TZS 14 million and above! Mfanyakazi anayepata gross salary TZS 250,000/- kwa mwezi ambapo ni sh.3,000,000/- kwa mwaka analipa kodi ya mapato lakini wewe unataka mfanyabishara anayefikisha mapato ya 14 million (karibu mara tano ya mfanyakazi) huyu asilipe kodi!! Come on, gimme a break! Hao wanaolalamika wengi wao wala hawamo ktk kundi la wale wanaolipa VAT ambao wao wameanza kutumia hizi mashine kwa muda mrefu sasa!hayo majibu tofauti uliyopewa yote ni matatizo.Tatizo sio mashine kuwa ghali tu,bali na hayo mengine pia.Unajua Tanzania haina siku nyingi toka ilipobadili muelekeo wa wananchi wake kuacha kutegemea ajira za serikali hadi kujiajiri na hapo hapo leo hii tuna vyuo vingi vinazalisha watu wanaotaka ajira/kujiajiri wengi kuliko miaka ya nyuma.Kwa hiyo asilimia kubwa ya wale tunaowaita "wafanyabiashara" kiukweli bado ni small scale na medium scale na wengineo weengi waliobakia ni wajasiriamali.Kwa hiyo taifa hili lilihitaji kuwapa muda wa kutosha na msaada raia wake wafike mahali ambapo utakusanya kodi kubwa kutoka kwao bila malalamiko mengi.Lakini ukitazama rates za kodi na uhalisia wa uchumi wa mtu mmoja mmoja,utagundua hatuwasaidii wananchi bali tunawatreat kama vile tuliwapa misingi mizuri ya kiuchumi.Tunajenga gap kati ya maskini na matajiri,kwamba wachache wenye uwezo wa kulipa kodi hizo watahodhi njia za uchumi,wasioweza watabaki hawana la kufanya na huku serikali haina mpango na hawa walalahoi,then kitakachotokea hapo nakiogopa sana na dalili zinaanza kuonekana,kila kinachokuwa introduced na serikali watu wanalalamika tuu na wakubwa hawazingatii malalamiko hayo zaidi ya kuona wananchi wahuni,hii ni dalili kwamba tuendako si kwema,bora tuzuie mambo yasifike huko
Khaa!! Lipa kodi bana. Mbona mumeleweshwa kila kitu kwamba hiyo pesa mtarudishiwa kwenye mchakato wa kulipa kodi. nyie vipi hamuelewi? Au hamzitaki hizo machine? Au mlikuwa mnakwepa kulipa? Lipeni bana wafanyakazi wanaumia sana kwa sababu ya kukwepa kwenu:A S tongue:
Something is behind this mgomo...but the bottom line is TRA ikicheka na wafanyabiashara hakuna kodi itakayokusanywa....hawa sio watu wa kuwachekea kabsa...pamoja na vipato vyetu vya chini wafanyakazi tumelipa kodi sana....tuanze kugawana maumivu sasa na kuongezwa tax base kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii.