Unajua hii kitu inazua maswali mengi kichwani.Yes, the Sun - in fact, our whole solar system - orbits around the center of the Milky Way Galaxy. We are moving at an average velocity of 828,000 km/hr. But even at that high rate, it still takes us about 230 million years to make one complete orbit aroundthe Milky Way! The Milky Way is a spiral galaxy....did you know??
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu utaelewa tu....tulia...Sayansi inahitaji Ushahidi, how can we prove this?
OK naona swali la post# 121 nimeliona jawabu kwenye post yako # 119.Taratibu utaelewa tu....tulia...
Angalia hiyo orbit ambayo Sun yako inazunguka kwenye Sagittarius ..
Au bado unaendelea kuhitaji evidence...??View attachment 994583
Kuna kitu kinaitwa Galactic bars ...huo ni mfumo ambayo Sun yako inazunguka kwa speed flani kwa sekunde...
Jibu nahis umeliona kwenye post #122Unajua hii kitu inazua maswali mengi kichwani.
Sasa ni kipi ambacho kinachofanya solar system kuwa stable kama hali yenyewe ndiyo ipo hivyo?
Yap!Jibu nahis umeliona kwenye post #122
Kila system ipo ndani ya system...nothing is at rest....ohooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu nahis umeliona kwenye post #122
Kila system ipo ndani ya system...nothing is at rest....ohooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu haya mambo ni mazito ukiyaendea kichwa kichwa....unahitaji supu ya sisimizi kuyaelewa ,Yap!
Ulimwengu jinsi unavyojiendesha ni ajabu sana.
Asante sana Mkuu nahisi nitapata majibu kuptia weweMkuu kuna mdau aliuliza 'kwa nini satellite inachukua picha ya upande wa juu (especially northern) kwa nini kusini ni nadra sana kupaona
....
In the beginning our earth ilikuwa inazunguka katika Mhimili wake kwa Massa 4 tu. Kadri muda unavyozidi kusonga kasi yake inazidi kupungua,now inatumia 23hrs 56 minutes and 4 Sec. Tafsiri yake ni kwamba Kadri muda unavyozidi kwenda speed yake inazidi kupungua. Sasa sijui mbeleni itasimama au itakuaje.Jibu nahis umeliona kwenye post #122
Kila system ipo ndani ya system...nothing is at rest....ohooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una video ya haya maelezo nisaidie Aisee!Mkuu haya mambo ni mazito ukiyaendea kichwa kichwa....unahitaji supu ya sisimizi kuyaelewa ,
Ni hivi,The term "orbit" manake ni ile njia ambayo object moves around a point in space on a certain path.
Mara nyingi center point hii is like an object - - or, in a binary system, a point in space called a barycenter,tunapenda kutumia neno hili kumanisha kama centre yenye nguvu katika galaxy au space ambayo inazifanya both bodies ku orbit mule.
The barycenter ipo located kwenye system's center ya mass mzima ya galaxy husika.
Commonly cited examples of orbiting objects are the ones you gave names kama moons, planets, and stars. But all of these objects orbit a center point.
Swali jingine unaweza kujiuliza ninkwamba, If the universe has no center point, what can galaxies orbit? Each other? ........??? ....?? a Question actually.....
Lakini......
In some cases, this is true. The Milky Way inakuwa orbited by some smaller "satellite" dwarf galaxies, kama the Large and Small Magellanic Clouds. Pia Andromeda, ambayo ndo galaxy ambayo ipo nearby spiral galaxy,hii Andromeda inaizunguka milky yetu ila sasa kuna kizaaza huko mbeleni utaona,Andromeda inakuwa kama Satellutes kwa Milky way galaxy kwa sababu huwa inatuzunguka .
Lakini kuna swali pia hapa unaweza jiuliza piak kuwa do the Milky Way and Andromeda orbit anything? No.
The Milky Way and Andromeda are part of the Local Group, our local galaxy cluster. They are gravitationally bound to each other( Ziko bound each other kwa force tata sana...
There is a center of mass in the Local Group, kama ilivyo kwenye stellar system.Lakini sasa in the Local Group, the Milky Way and Andromeda are actually coming towards each other.( Zinaonekana kusogeleana kwa ukaribu sana hivyo kunaweza tokea collision kubwa sana hapa baadae na kupelekea ku merger,na hiyo inasemekana kutokea billions of years in the future.
On a larger scale, the Local Group is part of the Virgo Supercluster( Kuna galaxy nyongi saa kwenye huu ukanda) yani it contains many other galaxy clusters. It, too, has a center of mass. But all the galaxy clusters are not "orbiting" this center of mass. They are merely bound together, thanks to gravity.
But on an even larger scale,kuna "filaments" ambazo zimekuwa created out of long lines of galaxy superclusters.In fact, at even larger scales, the universe is thought to be homogenous -( Ndo mana tunasema Universe yetu ni homogeneous yani imejibalance pote) tena katika directions zote .
There is no single point in space that is the center, like you said, or that is different rom all the others.
Of course, the universe is thought to be expanding. In that case, not only are galaxy clusters and superclusters not closely orbiting each other, but the space between them is causing them to move further apart!
That is how the universe look like...
Kwa hiyo kutokana na ukaribu huu wa Milky way yetu na Andromeda ipo siku miaka ya mbele huko kutatokea collision ya maana ndo utakuwa mwisho wetu pengine Tutakuwa tushahamia Galaxy za mbali huko..
So hapa chini ni picha inayoonesha ukaribu wa hizi galaxy mbili..
View attachment 994592
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ngoja nitaielezea kwa ufupi sana hii kitu...na sio Satellites tu zinazopiga picha ya solar system ,bali satellite zote ambazo zinaruka kwenye space zinakuwa sehemu moja au tofauti kulingana na ugumu wa lainchong system zake...Mkuu kuna mdau aliuliza 'kwa nini satellite inachukua picha ya upande wa juu (especially northern) kwa nini kusini ni nadra sana kupaona
....
Kama una video ya haya maelezo nisaidie Aisee!
Aisee! Kweli nahitaji supu ya sisimizi.
Spacetime collapae hiyo mzee...In the beginning our earth ilikuwa inazunguka katika Mhimili wake kwa Massa 4 tu. Kadri muda unavyozidi kusonga kasi yake inazidi kupungua,now inatumia 23hrs 56 minutes and 4 Sec. Tafsiri yake ni kwamba Kadri muda unavyozidi kwenda speed yake inazidi kupungua. Sasa sijui mbeleni itasimama au itakuaje.
Kuna gas/kani ambazo zinaiwezesha Jua kutoa mionzi na kujiendesha inasemekana hii gas/kani nayo itafikia kikomo.
Vipi kama Hayo kutokea ina maana galaxy yetu itakuwa imeshindwa kuwa katika ada(law) yake?
Mkuu ngoja nitaielezea kwa ufupi sana hii kitu...na sio Satellites tu zinazopiga picha ya solar system ,bali satellite zote ambazo zinaruka kwenye space zinakuwa sehemu moja au tofauti kulingana na ugumu wa lainchong system zake...
Wanasema hivi Launching into a polar orbit is more difficult than launching into an equatorial orbit, due to the motion of the Earth.Motion ya Earth katika Polar Inakuwa na massive gravity kuzidi ile ya propulsion na inaweza ikaifanya satellite isiwe stable kwenye Orbit zake ...Remember magnetic fields zinatoka North kuelekea south Via Ecuator...kwa hiyo kama sateite itajideposit kwenye South itasuffer massive Attraction hence kuzifanya ziwe unstable kwenye orbit zake...
Ila nyingi zinakuwa at the ecuator kwa sababu effects ya magnetic potential inakuwa ndogo ndo mana zinakuwa katikati...
Ila kuna exception ya LEO satellite,this bwana ni satellite pekee ambayo has a real reason to be over the poles. In fact,wanasema kuwa kwenye southen pole kuna bebris nyingi sana ( object nyingi zinavutwa kuelekea southen poles kwa hiyo zinaweza zikasuffer mgongano kisha kuzifanya zikahama orbit yake hata kama kuna force inazishikilia ,kumbuka magnetic force inayozifanya ziendelee kuwa kwenye orbit ni ndogo kucompare na debris nyingi zinavyovutwa kuelekea kwenye southern pole make field lines of forces zinatoka North kuelekea sourth,sijui hapa umepakumbuka hasa Physics)
So kuna debris nyingi sana near ring around the poles, indicating that a fair amount of debris comes close to the Noth or Ecuatorial region..
LEO satellites are frequently put into a 98 degree inclination orbit known as Sun Synchronous..
Hata Satellite zinazoenda masafa ya mbali ni hivo hivo kuwa Southern pole inavuta debris kwa force kubwa sana hence wanaamua kuziposition at the ecuator zaidi au chache at the North kuliko southern...
Sijui kama nimeeleweka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimiwa! Ngoja nilale kwanza, nisipo lala na leo nitafikisha siku ya 3 pasipo kulala.
sawa usiku mwema...nipo Nchima bhoyo huku mkuuMheshimiwa! Ngoja nilale kwanza, nisipo lala na leo nitafikisha siku ya 3 pasipo kulala.
Usiku mwema kama upo Tanzania ila naomba unisaidie kwa unitumie video au nakala ya kitabu kuhusu haya madude.
Hahaha.