Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF


Usistaajabu ndugu, sisi kutoka Pemba ndio tuliokosa bahati. Kila mtu anatutupia sisi matapishi yake!!!
 
Ongeeni vyovyote.

Tukanen matusi yoote kwamba waislam ni kama manyumbu na kadhalika ila sisi tutawaba kwa hoja.

Unasema Nssf chin Ya Dr Dau imeunderperform...

Nssf kabla ya Dau alikuwa mkulo.

Sasa tueleze imeunderform kivipi ukifafanisha enz za mkulo na hiv sasa...lete facts siyo unaongea kama unatolewa mapepo kanisani na gwajima au na mzee wa upako.

Lete facts...

Na kingine...nyinyi ni majipuu


Mmejaa kwenye utumish wa umma na kujiita wasomi ili hali si chochote si lolote je mmelifanyia nin taifa hili zaid zaid ya wizo na ufisadi?

Mmesahau kuwa ni nyinyi hapa juzi kwenye escrow mlitumia hadi makanisa na maaskofu kuliibia taifa hili?...
 
Watu wanatetea rushwa na ufisadi na kujificha nyuma ya uislam, huu ni uwendawazimu!
 
Hizi chuki za wakristo juu ya waislam zinatisha, Eti kuna siku lichungaji kabisa linalalamika sana juu ya WAISLAM WAKIMBIZI KUHAMIA ULAYA! yaani anaumia kabisa hadi anataka kulia! just imagine! as if wanahamia Tanzania, nadhani ni mafunzo ya dini yao kuwachukia waislam kwanza kabla ya funzo lolote lile!
 
Mfumo kristo tunaousema ndan ya nchi hii hizi ndiyo facts zake

Watu hawana hata haya eti leo hii wanasema waislam wamejaa kwenye utumish wa umma kushinda wao waimba kwaya.

Na inavyoonesha wakitaka wawe wao pekeyao ili waendelee kulitia umaskin taifa hili.


Mmejaa sana waimba kwaya huko serikalin swali kwenu ni kwamba mmelifanyia nin taifa hili mbona limezid kuwa maskin tuh?
 
Watu wanatetea rushwa na ufisadi na kujificha nyuma ya uislam, huu ni uwendawazimu!

Ufisadi gan sasa.

Na vip nyinyi mlipohusisha had makanisa na maaskofu kwenye wizi wa mali za umma kama ule wa escrow?

Au mmesahau?

Shida yenu wengi wenu waimba kwaya mmezoea sana kubebwa.
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Duuu hata wewe?mnaanza kuwapa point akina Faiza kwa wanayoyasema kwa Chadema kama moja ya maofisa wake unaunga mkono ukaburu!hivi udin ni kuajiri Waislam wengi tu?mbona hamsemi kuhusu ajira za Crdb,Nssf,PPF,TBL nk?
 
Unabisha upumbavu tu.. sasa kama hampendi shule mnakaa madrasa unategemea hizo kazi kwenye mashirika mngepewa kwa kuimba taraweh? Hoja iliyoletwa na iliyo mezani ni kwamba Dr. Dau ameendekeza udini na kuajiri watu wasiokuwa na vigezo halafu mbaya zaidi ni waislam... kwenye mambo ya operation kwenye taasisi kubwa kama hizo hakuna miujiza mkuu kama umeajiri vilaza usitegemee performance iwe kubwa.
 
 
Unataka Kutazama UDINI?
Hebu tazama WAGALATIA walivyojaa Hapa Nchini. Halafu uone nani MWIZI wa Fadhila anaeimaliza Nchi Hii.






Umeona LAANA HIO?

Halafu watanzania wanajiuliza KWANINI NCHI YETU MASKINI.

Jibu liko hapo Juu.

Wagalatia WANAMALIZA NCHI.
 
Ifanyike special audit na kama mnaweza kufanya kama mlivyopunguza watu NIDA ila kwa kufata utaratibu bila kuvunja haki zao.
 
La kule Moshi asilimia 90 hakuna wapangaji na hao wachache wanasubiri kodi ya pango iishe waondoke coz jengo halina walk ins kulingana na kodi wanayolipa.
 
Makufuli kweli hatari anatumbua hadi Mijipu Uchungu
 

Hapa sasa umezidisha. Hata kama waislamu hamtupendi this is too much. Mimi ni mwanachama wa NSSF na ninavyojua huo utaratibu wa Sugestion Box ulishafutwa zamani. Now wanatumia system ya HappyOrNot. Nimeikuta sana katika ofisi zao za dar es salaam. CHUKI IKIZIDI SANA NI UPOFU
 
MKUKI KWA NGURUWE.................
 
MLETA MADA UNAWEZA KUWA NA HOJA LAKINI NAKUPINGA KWA KULETA UDINI NA UBAGUZI WA WAZIII KABISA! SIO FAIR.
MPEMBA NI MTANZANIA, KISARAWE NI TANZANIA. ULICHOFANYA SIO KITU KIZURI KINAPASWA KUKEMEWA. MARA NYINGI HAYA MASHIRIKA MAKUBWA NI VICHAKA VYA WAKUBWA KUWEKA WATOTO NA NDUGU ZAO, MI NAFIKIRI WAKUU WA MASHIRIKA MAKUBWA YA KISERIKALI HAPA NCHINI WANAKUTANA NA CHANGAMOTO ZINAZOFANANA, VIMEMO VINATEMBEA TOKA KWA MKULU, MAWAZIRI, MANAIBU NA WAKUU WA IDARA MBALIMBALI. KILA MTU ANATAFUTA FADHILA NA KULIPA FADHILA NDIO MAANA SEHEMU NYINGI WANAOFANYA INTERVIEW NI WENGINEO NA WANAOAJIRIWA NI WENGINE KABISAA.
KUHUSU INFLATION KWENYE GHARAMA ZA MIRADI, HII HOJA INAHITAJI SPECIAL INDEPENDENT AUDIT INVESTIGATION.
 
hayo yameshasemwa sana hakuna jipya hapo, na dr dau keshaondolewa nssf, ataletwa mwingine kutoka kanisani mambo yote yataenda vizuri. save your breath mkuu.
Mi nafikiri tusihukumu dini bali tutazame tuhuma hizi objecitively. Kama kuna issue haina mashiko tuikatae kwa udhaifu wake. Sisi ni watu wenye akili timamu. Tusitetee itikadi bali tuangalie hoja.
 
Sikuwa najua kwanini watu wanaukimbia UKRISTO kiasi hiki, hata kubaki ni dini ya Africa! huenda ni kwa sababu ya kufundisha chuki! mikanisa huku Europe iko tupu! waislam tunajichangisha visenti na kuinunua kuigeuza misikiti, hatutaki uongozi wa kidunia, tunatafuta maisha yetu ya kesho!
 
Huyu unaemzungumzia si tayari ameshaondolewa huko? Sasa tatizo nini tusubilie huyo atakaeletwa kutoka huko unakotaka aje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…