Mzee wa Masauti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 2,199
- 2,514
Auditing firm just because a Muslim was there?Mkuu kushindanisha idadi sio suluhisho inawezekana kuna waislam400wakrsitu700ila wakristu hawana vigezo au kinyume chake?silaha ni uchunguzi huru tena auditing firm ya kimataifa ili kuondoa conflict of interest
hao ndo wanaoiba. ndo maana wakatumbuliwa. sasa ulitaka wakatumbuliwe hata ambao hawajaiba?Mkuu unakosea kusema et viongozi Wa kiislam mbona waliotumbuliwa wengi ni wakristu?tens nadhani 70%labda?umeona wakristu wanamtetea director ametumbuliwa kisa dini ?hapa haki itenndeke dini isiwe ngao ya kumlinda muovu mkuu
masomo ya dini ya kikafir ndo yapi hayo? kama hujui kitu ni bora ukauliza.Mbona mnasoma dini ya kikafir na mnajiita Dr
Acha kutoka povu.Hapa anaongelewa Dau kuwa ni mdini.Hawajaongelewa viongozi wengine waislamu ambao sio wadini.kwa nini hilo mnaliongelea tu kwa viongozi waislam? kama ni kukosa vigezo kwa nini msiongelee hata mashirika mengine, hata hayo manne yaliyobaki ya mifuko ya hifadhi za jamii kama NSSF?
hebu kuweni wastaarabu bana. nchi yetu sote hii na tuongoze sote kwa masilahi mapana ya vizazi vyetu sote. mbona mmeongoza kwa miaka Zaidi ya 50 mnachofanya ni kuiba tu Zaidi ya kulisaidia taifa? hamridhiki tu?
nitajie kiongozi mmoja tu wa muislam ambaye hamjawahi kumuita mdini.Acha kutoka povu.Hapa anaongelewa Dau kuwa ni mdini.Hawajaongelewa viongozi wengine waislamu ambao sio wadini.
Ni wajibu wetu sote katika ujumla wetu kukemea aina yoyote ya udini au ukabila katika nchi yetu.
Wewe ni Mujahidina kama Dau.nitajie kiongozi mmoja tu wa muislam ambaye hamjawahi kumuita mdini.
Una uhakika na anachosema? Aweke ushahidi siyo tu maneno! Je kama mtoa post ameingiza na chuki zake tutaamin vp? We need witness.Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
alan labda nikuambie tu kwa kifupi wewe ni mdini sana. natamani udini wako ungebaki humuhumu mitandaoni maana ukileta na uraiani ni hatari sana.[QUOTE="ILAN RAMON, post: 17718149, member:
hao ndo wanaoiba. ndo maana wakatumbuliwa. sasa ulitaka wakatumbuliwe hata ambao hawajaiba?
na pili ndo waliojaa huko serikalini wakiiba na kwenye mashirika ya umma.
Mkuu unataka unipeleke nisikotaka? 80%wakrstu ?leta justification embu waleuliwa wapi80%wakawa wakristu? Kuhusu auditing sio kwa kuwa dau ni mkristu no.kwa sababu kuna ubadhirifu na kama utadhirika kumbuka msala sio Wa waislamu tu hata wakristu watasombwa a cha kutete muovu kisa dini yako.mkuuAuditing firm just because a Muslim was there?
Mbona watu hawahoji Magufuli kufanya teuzi ambapo wakiristu ni zaidi ya asilimia 80.
Mbona kuna waislam wengi wenye vigezo na hawateuliwi?
Nimejikuta nimekuwa mdini hata kwenye kwenye kampuni yangu. Ili nikuajiri kigezo cha kwanza lazma uwe muislam
Watu mnatetea udini bila aibu.Mmechoka na amani.Jaribuni kufatilia Mwl.Nyerere alitoa wosia gani kuhusu udini na ubaguzi wa kidini.Sio kweli kwamba Dr Dau alikuwa mdini ila kitendo cha yeye kuwa mtiifu wa kutekeleza ibada kama dini yake inavyomtaka ilikuwa kero kwa wasio kuwa wa imani yake. Mtoa post shusha pumzi Dr ameondolowa nenda kaombe kazi utapata kama kweli kigezo ilikuwa dini. Vip CRDB ambako nako wanaajiri wakristo kwa asilimia 99, tuseme Kimei naye ni mdini? Mbona yapo mashirika kibao hakuna uwiano wa dini na yaliyo mengi wamejaa wakristo wap umeskia waislam wakilalamika?
Vip teuzi za Mh. Rais zina uwiano wa kidini? Maana kila akiteua naona walio wengi ni wakristo, tusemeje hapo?
Mkuu unataka unipeleke nisikotaka? 80%wakrstu ?leta justification embu waleuliwa wapi80%wakawa wakristu? Kuhusu auditing sio kwa kuwa dau ni mkristu no.kwa sababu kuna ubadhirifu na kama utadhirika kumbuka msala sio Wa waislamu tu hata wakristu watasombwa a cha kutete muovu kisa dini yako.mkuu
mkuu serial I ya ccm siwezi Kuwa na imani nayo hata Nyerere afufuke hapa kuna facts not only speculations mbona wamenunua viwanja kwa inflated prices hao nssf kule kigamboni name arusha zile nazo speculations?Speculations hazitakupeleka popote.
Ina maana hauna imani na CAG? Mbona ukaguzi ushanyika na hauna ubadhirifu wowote alioufanya
Wenye shule lazma wataingia wengi kwani uwiano Wa wahaya na wagogo upo sawa pia?Sio kweli kwamba Dr Dau alikuwa mdini ila kitendo cha yeye kuwa mtiifu wa kutekeleza ibada kama dini yake inavyomtaka ilikuwa kero kwa wasio kuwa wa imani yake. Mtoa post shusha pumzi Dr ameondolowa nenda kaombe kazi utapata kama kweli kigezo ilikuwa dini. Vip CRDB ambako nako wanaajiri wakristo kwa asilimia 99, tuseme Kimei naye ni mdini? Mbona yapo mashirika kibao hakuna uwiano wa dini na yaliyo mengi wamejaa wakristo wap umeskia waislam wakilalamika?
Vip teuzi za Mh. Rais zina uwiano wa kidini? Maana kila akiteua naona walio wengi ni wakristo, tusemeje hapo?