Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ingawa we we kwa uelewa wako umeziona ni mondo Mimi nimeona ni unafiki na ubaguzi kwanini pale aliposema kaajiri had I wapemba ndio Hadji yake iliposhuka kama aimu ya mchina na viwanja vya mabondeni aiaee.

Spade as spade hakuna kumung'unya maneno, Wapemba si Watanganyika na kwa maelezo ya mtoa hoja,wameajiriwa wapemba kwa wingi kwa kuwa ni watoto wa Mama mdogo
 
Mwezi uliopita nilikuwa Moshi mjini kitega uchumi cha NSSF ambacho ni jengo la haja limekosa wateja,hii ni hasara sijui hao waliofikiria huo ujenzi walitumia vigezo gani kujenga hilo jengo wakati wakijua Moshi ni mji mdogo na hauna nguvu ya soko la kuwezesha kupata wapangaji wa hilo jengo sasa ni kama pagale,huu mchezo unanikumbusha majengo ya Nasaco na Bandari Tanga ambayo sasa ni makazi ya popo,pia nadhani pia huko ndiko NHC ya Mchechu inakoenda.
 
Kipo
Spade as spade hakuna kumung'unya maneno, Wapemba si Watanganyika na kwa maelezo ya mtoa hoja,wameajiriwa wapemba kwa wingi kwa kuwa ni watoto wa Mama mdogo
Kipo kipengele kinachoonesha Tanzania Mpemba hastahili kuajiliwa kwenye Mashirika ya uma ili use na Hoja ya kutokuwa mnipotism?
 

Kama tatizo ni kujaza wapemba na watu wa kisarawe chadema ingefungiwa kwa kujaza wachaga maeneo yote nyeti.
 
 
Weka kipengele kama ulivyodai kipo, Ama kuhusu Mimi nadai hivyo ingawa Nina uhakika umeshaanza kutapatapa huwezi kuprove hilo kama Mimi nadai hocho ulichoropoka.
 
Mkuu umenena. Katika hili jukwaa
Waislamu wanasemwa sana tu.
Kwa Mfano hawataki shule ila madrasa, wavivu Na ulalamishi.
Juzi mpuuzi mmoja hapa jukwaani aliandika Uzi juu ya utendaji wa maraisi Waislam Na WaKristo hapa Bongo.Kuna Waislam wengi tu ambao hawatumii majina ya Kiarabu.
 
Weka kipengele kama ulivyodai kipo, Ama kuhusu Mimi nadai hivyo ingawa Nina uhakika umeshaanza kutapatapa huwezi kuprove hilo kama Mimi nadai hocho ulichoropoka.

Ukirudia kusoma sijasema kipengele kipo, na hakiwezi kuwepo kwa sababu maalum ambayo inawafanya nyinyi mjione ni wananchi Wa ardhi yenye utajiri wa kila kitu tofauti na huko kwenu jangwani. Kwa maana hiyo endeleeni kufaidi rasrimali zetu na wala hamtazimaliza wala kuzifikia ng'o
 
Kati ya madai ya mleta hoja no kuwa former DG kuwalipia watu kwenye social media kama hizi ili kulinda maslahi na 'madhambi' yake. Je, sio hawa wachangiaji wanaomshukia mleta hoja kama mwewe!?

Amemtaja Mustapha Mkulo kuwa aliipeleka NSSF ktk ustawi na maendeleo, Je, Mustapha Mkulo hakuwa Muislamu? Mbona mleta hoja amemsifia?

Inaonekana vita ya hapa ni sisi dhidi ya wao.

Vv
 
Yaani MTU anazungumza na kushindwa kuthibitisha anachosimamia ni aibu kwa kweli.
 
 
Mimi binafsi nimemdharau mleta mada maeneo mawili, mosi ameeleza mambo ya kitakwimu bila kuweka takwimu za kuonesha waislamu wangapi na wakristo wangapi hapo shirikani, Pili ubaguzi wa wazi kwa watanzania wenzetu wapemba jambo ambalo linapingana na msingi wa Hoja take kuwa Dr. ni mbaguzi kisha na yeye anawabagua wapemba kama si wa Tanzania.
 

Ndugu acha kujipendekeza kwa hawa watu wa kijiji kinachoitwa Zanzibar na Pemba . Fuatilia makala zao kwenye mitandao wanavyotuzungumza vibaya wabara,hutakaa uwatetee kamwe.
 
Kwa hiyo kuanzia sasa mimi unanivua Utanganyika Wangu na kunizawadia Upemba au? Nakushauri kama huna facts ya mambo bora ukae kimya itakusaidia kuficha aibu zako na kuleta busara zako.
 
Shetani mnamuabudu kila uchao eti swala tano wakati huohuo mnajitoa mhanga na kugeuza watu kinyume na maumbile laana nyie
Duh we lazima utakuwa Mchungaji.
Maana unazijua tabia za wachungaji wengi.
 
Ku
Ndugu acha kujipendekeza kwa hawa watu wa kijiji kinachoitwa Zanzibar na Pemba . Fuatilia makala zao kwenye mitandao wanavyotuzungumza vibaya wabara,hutakaa uwatetee kamwe.
Wapemba kutuzunhumza vibaya hakutoi kibali kwa sisi Watanganyika tuwabague au tuwazungumze vibaya pia, mimi mwenzio hats nikiingia msalani nikikuta hujaglash umeacha kinyesi, naflash kisha najisaidia haja zangu nikimaliza naflash tens ili ukija uone aibu rohoni mwako, so nakushauri epukana na tabia ya visasi vya kujenerolaizi.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…