Acha kutoka povu mkuu utakuwa na wewe ulikuwa unasubiria ajira ya kimemo pale Nssf...tatizo mkiambiwa ukweli mnatoka vipi mkuu facts zako zipo wapi labda nitakuamini aiseee
Wagalatia mna laana, m'memdhulumu mpaka Mwenyezi Mungu kwa kuabudu masanamu !W
Wallah mungu anajua huu ukeweli ningekuwa na sm yake ningekupa na pia wengine tulosoma nao pia walipata kazi tena wengi wao vihiyo darasani
Vigezo unavijua t? ....... wewe ni mshirika nssf ? !Tatizo NSSF it was a deliberate move, bila ya kuzingatia vigezo Na masharti, hapo ndipo jipu lilipoivia
Bora tuabudu sanamu kuliko we unaabudu shetaniWagalatia mna laana, m'memdhulumu mpaka Mwenyezi Mungu kwa kuabudu masanamu !
Hahahahahahaha...mkuu sijawahi kubebwa maisha yangu kwenye toka nimefanya field second & third year jamaa wakanikubali nimemaliza nikaenda kufanya kazi hapo hapo mkuu wazungu wanaheshimu kipaji cha mtuNa wewe ulipata kazi hapo ulipo kwa udini sio!
Kabla ya kuunda tume,,mtoa mada angetuletea ushahidi wa hizi tuhuma.
Aaah,lakini wenzio wakipata kazi si kwa uwezo wao ila kubebwa,basi sawa
wanaonufaika na huyu jamaa utawajua tu through their defensing point, huyu jamaa bwana kaharibu shirika wala hatutaki kumung"unya maneno, ingawa mtoa maada kakosea kidogo kusema wamejaa wapemba, hilo siliafiki, nao wana right ya kuajiriwa kama watanzania wengine, ila hilo la udini na ubadhirifu ni true story, tunasubiri tu jipu kutumbuliwa, nyie mjipe moyo tu wa kumtetea lakini ukweli ndiyo huo
Shetani kaumbwa na Mungu ninae muabudu mie ! ....... na rafiki zake ni Wagalatia maana kila siku wanaungana Kanisani !Bora tuabudu sanamu kuliko we unaabudu shetani
acha kutokwa na povu uovu hauhalalishwi na uovu mwingine tunaongelea nssf kama una data za mashirika mengine lete, jibu hoja alizoleta mleta mada au unataka kuhalalisha issue ya kwamba na sisi tunajazana hapa kwa vile nyie mnajazana kule? jibu hoja alafu anzisha uzi wako wa shirika unalolijua liko ivo kinyume chake sasa
Vigezo unavijua t? ....... wewe ni mshirika nssf ? !
Shetani mnamuabudu kila uchao eti swala tano wakati huohuo mnajitoa mhanga na kugeuza watu kinyume na maumbile laana nyieShetani kaumbwa na Mungu ninae muabudu mie ! ....... na rafiki zake ni Wagalatia maana kila siku wanaungana Kanisani !
Acha uswe...... Kwani kuna alowanyima kuweka miti na kadi za idi au kwa vile hazina mvuto kwa kuwa unaabudu majini hahaaaaKwenye mashirika kibao ya Umma ikifika Chrismass watu wanatundika miti ya Christmass maofisini na mengine hadi kutumia pesa za umma kununulia kadi, Haya mambo yanafanyika katika nchi ya Kisecular lakini hawa wadini hawayaoni, Laiti ndo ingekuwa Waislamu wanafanya hayo, Pasingekalika nchi hii kwa kelele
Kwa hapo NSSF kuna Injinia mmoja anaitwa John Msemo ndiye Meneja Miradi huyu jamaa amejinufaisha na pesa za mfuko huo kwa fujo, amejenga majengo yenye gharama kubwa ya kwake anamiliki hoteli kubwa ya kitalii ipo Makumbusho inaitwa Safina hotel & Apartments vyombo vya dola fanyeni uchunguzi wa kina juu ya utajiri wakutisha wa huyu meneja wa miradi wa NSSF na sasa anajenga tena jengo jipya pale ambapo palikuwa panamilikiwa na Break point eneo hilo alilinunua kwa thamani kubwa ya pesa zaidi ya Billion 1 na zaidi na pesa ililipiwe nje ya nchi, sasa jiulizeni amepata wapi pesa nyingi namna hiyo kiongozi anayelitumikia shirika linalojiendesha kwa kutegemea michango ya wanachama kama siyo pesa za ten% za miradi au uchakachuaji wa thamani halisi ya miradi inayojengwa na shirika?????????? kwenye mashirika haya kuna majipu mazito sana tena yamejaa usaha mweusi sio mweupe kama tuliouzoea.

Mkuu haya mahayawani yamelimaliza shirika,mijengo yote makumbusho ni pesa za Nssf,huyu msemo anaishi hotelini kwa sababu vijana wa kazi wanamtafuta,akishirikiana na huyo firauni kutaka kumuua alokuwa bosi wake kabla hajateuliwa,na wakifanywa hivyo kwa kuwa waliokosa sababu ya kumuondoa na pia waloshindwa kuiba kupitia kwake,ni Jirani yangu na sasa wamemuachisha kazi maana walimuumiza ubongo,hawa jamaa ni masheitwani
Kumbe kuajiri wapemba ni kosa la jinai hapa tz???Sometimes shallow minded people should desist from contributing issues. This guy has laid facts bare.Given the fact that he is from within why should we doubt him?The govt should carry out staff audit,including investigating how employment opportunities were offered.
Kuajiriwa wapemba NSSF ni jambo la kufatiliwa na usalama?? Then mnajitia unafiki kumsapoti Maalim Seif wakati mnakerwa ndugu zake kuajiriwa baeaNondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.