Tanesco..Tra..Pspf..Lapf..Gepf
Ewura..just to mention but a few of them wamejazana waimba kwaya na wakristo utadhan kuna misa za maombi stil hawaon na hawazungumz kuhusu udini..
Nssf kuongozwa na DG Muislam na kuonekana baadh ya waislam wanaojitambua kuwapo huko imekua nongwa...kutwa kucha mapambio ya chuki na mahubiri ya uhasama hayakomi.
Hamtaki waislam waajiriwe huko mnataka nan sasa waajiriwe?
Nchi hii kwan ni mali ya kanisa?
Na kikubwa zaid ni kwamba mbona mmejazana sana huko na hakuna cha maana mnachofanya zaid zaid ya wizi na ufisadi?
Hata,wew? Naulaumu ukoloni, mtu hajatoa statistics wew unaamini ,tena hakuna evidence yoyote.Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
mkuu kwenye hili hakuna umbeya,sababu mtoa mada nimtumishi wa nssf anayajua mengi na mengi ameyashuhudia.,,,,inshu ya kuajili watu kwa muktadha wa dini ni janga kubwa kuliko hata ubadhirifu.
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Wewe checkbob umeshatoka jela?
Na ile kesi yako ya kushobokea mambo ya watu vip...
Tulishakuambia acha kujipendekeza kwa wanaume
Eti chademaa chademaa wewe na mwenzako saa nane tuliwaambia mnajitumikisha wenyewe kama mipira tuh...hamna anaewatamhua ndan ya chadema
Mwisho wake nadhan umeuona kenge wewe.
Mimi sijawahi kujitia Msomi Chifu...Sikia wewe muimba kwaya.
Mwambie huyo mwenzako aje na facts...
Anaposema kuhusu assets tumemwambia hapo juu kwamba according to data from Nssf website kipind Dr Dau anaingia assets thaman yake ilikua ni 170B na hiv sasa had ameondoka assets alizoacha thaman yake ni 3 Trillion na ushee je ufanisi umeongezeka au umeshuka?
Kipind Dr Dau anaingia Nssf no one used to know Nssf lkn until Dr Dau anaongoza Nssf is leading East and Central Africa...sasa unawezaje kusema kwamba utendaji wake haukua na tija?
Na kama alikua jipu iweje president magufuli asimwajibishe na badala yake amteue nafas nyingine zaid?
Amehofia nin kumtumbua?
Shida yenu waimba kwaya ni chuki dhidi ya uislam na waislam
Swali ambalo mimi nataka wewe unijibu ni hili .
NYINYI TOKEA NCHI HII IPATE UHURU MMEJAZANA HUKO KWENYE SEKTA MBALI MBALI ZA UMMA MPAKA MMEJISAHAU NA KUDHANI NI NYIYNYI PEKEE WENYE KUSTAHIKI KUWEPO HUKO...SASA NAKUULIZA MMELIFANYIA NIN TAIFA HILI MBONA LIMEZID TUH KUWA MASKIN?
NA MNAJIITA WASOMI AU MNACHOJUA NYINYI NI WIZI TUH NA IFISADI?
Kuna haja gani ya kutukana kijana?
Achana nae...Anapost kwa hisia za udini badala ya kuangalia mambo ya msingi...Kuna haja gani ya kutukana kijana?
Mnamzungumzia Dau yupi?
Huyu anayemiliki uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu nyumbani kwake hapa kigamboni huku wachezaji ni watoto wake na mtazamaji ni yeye?
Huyu anayemkodishia mwanae ndege kwenda rufiji asubuhi kushinda na bibi yake na kisha jioni ndege hiyo inamrudisha kila ijumaa?
Huyu anayejilipa mshahara milioni 38 kwa mwezi?
Dau yupi huyo?
Achana nae...Anapost kwa hisia za udini badala ya kuangalia mambo ya msingi...
Anaambiwa NSSF kuna UFISADI mkubwa...Kuna KUSHUKA UFANISI...Kuna KUONGEZEKA kwa gharama kubwa za uendeshaji....
Hayaangalii hayo yeye anaegemea kwenye UDINI tuuuuu
Hivi wana kwaya wote wa TOT (ile band ya ccm) ni Wakristo? Nimesema hivyo nikitaka kujua kama unadhani waimba kwaya wote hua ni Wakristo tu; Anyway issue hapa sio DINI ya Dr. Dau bali issue hapa ni UDINI wa Dr. Dau kwenye masuala nyeti ya UMMA, kwani kiongozi mkubwa nchini ambae ni muislamu ni yeye Dau peke yake? Mbona watu hawajalaumu kuhusu Kamishna wa TRA aliyetoka kwamba alikua mdini? Mwenye busara huchunguza kama mambo aliyotuhumiwa ni ya kweli au LAA kabla ya kufanya tu counter attack.Waimba kwaya wengi wao wana chuki sana
Angalia haya mashirika kama Tanesco..Tra..Ewura..Pspf..Gepf..Lapf..Nhif..Nhc just to mention but a few...
Wamejazana waimba kwaya na walokole huko utadhan ni hati miliki ya kanisa kumbe ni mashirika ya umma
Huwez kuskia hoja za udin zinazungumzwa huko...
Sababu wamejaa wao tuh
Sasa basi cha ajabu hakuna cha maana wanachokifanya zaid zaid ya wizi na ufisadi.
mkuu embu weka nyama kidogoKwa sisi tunaojua NSSF toka ikiwa NPF, yaliyoandikwa ni ukweli mtupuuu!