Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Pokofame if you believe you are god, do this one thing. Command the sun to rise from west and set to east. If you can do only that thing, I will believe that human being are gods.

Even your god cannot do anything physically, To make it clear, I cant do it so that the nature continously remain unaltered, because every one even your god is benefiting from the natural solar system, and HE CANT ALTER IT, unless otherwise in a story written by a certain clever human god like you!
 
What do you believe in? You should by now be able to comprehend why non theists exist. Without God, non theists exist not.

hapo umepinda mkuu, wanaoukataa uwepo wa kiumbe cha kufikirika (god), hawapo kwa sababu kiumbe hicho kipo, HAPANA.
Wapo ili kutengua uongo wa watu wachache waliokiumba kiumbe hicho akilini mwa wenzao kwa faida zao.

Kama gari ipo barabarani na iko physically au hata mentally approchable, who will deny it?
So we deny god only because he/she is not powerful, not able, not approchable and to be precise he/she is a myth.

Kingekuwa powerful and able (kiumbe god) KINGESIMAMA CHENYEWE KIJITETEE BILA KUSUBIRI MSAADA WAKO.

A POWERFUL GOD WITHOUT SELF APRROVAL IS A WASTAGE OF ENERGY AND TIME!
 
Kitendo cha kumjadili huyo Mungu tayari ni effect za uwepo wake. Kama hamna why mijadala kumuhusu kila siku

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums


Unaamini uwepo wa simba anayeongea? Sungura je?
Je wakati ukiwa darasa la tatu hukuamini hayo kwenye vitabu shuleni?

Hakika uliamini, na hata mtaani uliwasimulia au kusimuliwa hadithi hizo sana (kujadili)
Sababu? Akili ilikuwa ya utoto bado haijakomaa
Lakini kujadiliwa ni kigezo cha usahihi au uhalisi wa kitu? mkumbuke simba anayeongea na sungura pia, hata fisi wa hadithi, Walijadiliwa sana, lakini walikuwa halisi?


ndivyo akili yako yatakiwa kuyachunguza mambo, hasa ya imani kwa mapana na marefu, na si kusadiki kila kinachoandikwa au kujadiliwa na watu.
 

Kama wewe hauna uhakika kama wazazi wako ni kweli wazazi wako? Vitu uvionavyo kwa macho kabisa... No wonder u have a doubt in holly books...
 

Kwan hadi leo bado unamjadili sungura mjanja?
 
Kama wewe hauna uhakika kama wazazi wako ni kweli wazazi wako? Vitu uvionavyo kwa macho kabisa... No wonder u have a doubt in holly books...

Ni kipi sahihi kwako kukitumia, MACHO au HISIA?

Kila siku duniani watoto 12 wachanga (google it!) hupewa kwa wazazi wasio wao, aidha planned or mistakenly. but what are the efects? NIL
Halafu holly books are not holly, because the one you reffered as a holly is a rubbish to a non beliver of your book.

a holly book must be accepted and proven by at least 70% of worlds population to be holly, NO HOLLINESS WITH AMBIGUITY!
 
Na wewe mbona unatumia here say , ukitaka kosoa jambo fanya uchunguzi! Uandishi wako uko based na watu walivoandika/kusema. Hebu chukua 6month soma Quran na bible then andika upya hichi ulichoandika based na uliyoyasoma
Hapo utakuwa umesema based na uelewa wako na utakuwa umetendea haki hizo dini, au na ww wataka anzisha yako kwa maslahi yako???
 
soma Luke 1:1-2 "Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu, kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi ......"


cc Ishmael

Inasmuch as many have undertaken to compile an account of the things accomplished among us, 2just as they were handed down to us by those who from the beginning were eyewitnesses and servants of the word,…
 
You die when thy spirit leaves thee.
 

Kwahiyo wewe hauamini kama babayako ni babayako?!
 


spot on! watakushambulia, lakini wenye akili wataelewa
 
Last edited by a moderator:

Kupinga kuwepo kwa muungu, sio mawazo mapya katika ulimwengu.
Wapinga muungu walitoa hoja km zifuatazo.
1. Muungu hayupo ila kushindwa kwa binaadamu kukabili matatizo yake ya kila siku, ndo akatengeneza dhana ya kuwepo kwa muungu.
2. Imani juu ya kuwepo kwa muungu imejengwa kibubusa(kuamini pasipo na kuwa na hoja madhubuti na uhalisia).
3. Muungu hayupo kwa sababu haonekani wala kuhisiwa na viungo vya hisia.
Udhaifu wa hoja hizo.
1. Sio kweli mwada amu ndo alie muumba muungu kutokana na kushindwa kukabiliana na matatizo yake, kwani mwanaadamu anatakiwa angalie ametokea wapi, kwa nini yupo hapa na ataenda wapi. Masuala haya ni vigumu kujibiwa na sayansi, na majibu haya yametolewa na muungu mwenyewe kupitia vitabu takatifu.
2. Imani ya muungu ni kibubusa, sio kweli, kwani dalili zipo wazi, miongoni mwazo ni.
1. Kuumbwa kwa mbingu na ardhi.
2. Kutofautiana kwa lugha za watu, rangi, makabila nk.
3. Kuingia kwa usiku na mchana.
4. Kutoka na kujaa kwa maji baharini.
5. Namna mimba inavyo ingia na upandaji wa mimea nk.
3. Hoja ya kutokuwepo kwa muungu kwa sababu hatumoni wala kumuhisi ktk viungo vya hisia udhaifu wa hoja ni, viungo vya hisia vya binaadamu vina uzaifu, mbwa ananusa harufu vizuri kuliko binadamu, macho yana uzaifu mkubwa ndege unaiona ndogo ikiwa juu wakati huwa ni kubwa ikishuka chini nk, kwa kuwa viungo vya hisia vya binaadamu ni zaifu haviwezi kumuona muungu.
Nitafafanua zaidi baadae
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeongea points sana but najua hawa kondoo hawatakuelewa kwa sababu vitabu viluvyonyanyasa babu zao na kufanya mpaka leo mtu mweusi kujiona duni ndo ivo ivo wanakumbatia kama mkombozi wao..Kama mungu yupo basi watu kutoka Africa itabidi tukamuadhibu kwa ubaguzi wake wa kutotoletea nabii na kudai ngozi nyeusi imelaanika
 
Huitaji akili nyingi saana kujua kuwa akili imetumika katika uumbaji, Hiyo unayoiita Nature na kumkataa Mungu unajua ni nini? Hiyo Nature ndio MUNGU unayemkataa na kutumia neno la tofauti. Kwamba Jua Limekuja tu lenyewe? Wewe mtu umezuka tu? Gari tu lina designer!! Sembuse mtu aliye bora kuliko gari au baisikeli? Amka tumia akili zako ndogo vizuri.
 

Mungu nae kazuka tu sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…