Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] hujajibu swali, umejaribu ku generalize, chakula kina rutuba ya kuzalisha baadhi ya viumbe kama funza, minyoo hasa ikiwa tumboni nk, sasa ardhi kabla haijaharibiwa na binadamu ilikuwa na rutuba ya kutosha ya kuzalisha viumbe, mfano binadam, ndege, mimea, ng'ombe, nk mito, bahari, maziwa vivyo hvyo, huo ndio mwanzo wa viumbe vilivyopo, kadri miaka ilivyokuwa inaenda ule uwezo wa kuzalisha ukawa mdogo ndio maana pakaanza kuzaliwa watu wenye mapungufu km vilema nk, na chanzo cha hivi viumbe ni povu ambalo kisayansi ni kama tumbo, vumbi likiwa kama cover ya tumbo, nchi za tropics km africa sababu ya jua kali lile vumbi lilichomwa kuleta hali ya kuungua ndio maana waafrika ni weusi, nchi za ulaya sababj ya ubaridi na barafu wakawa weupe, hata ukichukua nyama ukaiweka kwenye freezer itakuwa nyeupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKweli usiopingika kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaambiwa chanzo cha lugha kilitokana na mgawanyiko pale babel tower,,,,lakini kuna siku nilishawahi kuwauliza swali viongozi wa dini,,,wao wameweka mpaka wa kuuliza kuhusu mungu kaletwa na nani, kwamba swali hilo ni dhambi isiyo sameheka na halipaswi kuulizwa, lakini ukifikiria kiundani unakuta aliyeweka mpaka kwenye hili swali naye alifikiria kua lazima mungu naye aumbwe, baada ya kukosa swali ndipo ikapandikizwa dhana ya hofu

Lakini tukija kiuhalisia hakuna asiyewahi kujiuliza hili swali, na kwasheria hiyo basi kila mtu ni motoni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha we jamaaa story zako ni nana anakusimuliaga..genetally acqured characteristics haziwezkua passed to next generation..sasa how come mtu apigwe ubarid awe mwaeupe af na huo weupe uwe passed to children genetically????????? science does not comp[ly with that shit story.. okay unafaham chochote kuhusu melann??????
 
Melanin ni pigment ambayo inaifanya ngozi yetu kuwa nyeusi, na wanaojichubua huondoa melanin na sisi waafrica tuliipata kutoka kwenye ule muunguzo wa jua, na kama wazungu, ule utengenezwaji ndio uliweka kila kitu kwenye hicho kiumbe ambacho baadae ndio kukawa na kurithishana kianzia ngozi, sura nikimaanisha kuwa katika ile process inayotokea wakati wa kuzalishwa inapelekea kile kiumbe kukamilika genetically na anakuwa vile yeye na atakaowazalisha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rafik nenda angalia kitu lamackisim ...afu uje uniambie kwamba acqured characteristics zinaweza kurithishwa
 
Do yourself a favor by study about gene mutation and natural selection.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejuaje kuwa cell zinagoma? Na cell ni nini?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani watu ni shida Sana.Yaani haya yote mnayosema humu,ninyi pia mmeyasikia au kuyasoma kwenye vitabu vilivyotungwa na hao muwaitao Wanasayansi. Je! Unaweza kutuonesha hivyo vitu ulivyovitaja kwa macho yako?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali hilo ujiuliza wale wasiyotumia akili zao vizuri kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well seeing mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali hilo ujiuliza wale wasiyotumia akili zao vizuri kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasio tumia akili ndio waliokataza kuuliza swali la namna hii, kwasababu walishindwa kulitolea majibu hivyo ikabidi itumike silaha ya kuogofya watu ili wasiweze kuuliza hili swali.

Hata wewe ushawahi kujiuliza hili swali, kama hujawahi kujiuliza nipe jibu lake

Sent using unknown device
 
Nyie warokole na ma sunn!
Mkimaliza kujadiliana leteni sadaka hapa sawa!

wakati ukuta.
 
He hee he he he ehe he
kwanza nianze na kamwene mtoa mada
Mimi sio mhehe just for funy,

Naoba kwanza unipe uthibibitisho wa kauli yako hii iliyozungushiwa wino wa phisical kisha nitakupa uthibitisho wa phisical kuhusu uwepo wa Mungu

Ukinipa third eye physical proof nitakupa physical proof of God
Ila ukishindwa basi ujue mada yako yote madudu tu maana source ya mada yako naona ndio hicho kitu basi naomba unijbu haraka nami niweze kukujibu kwa muda muafaka
 
Kwenye bold hapo,sijaiongea neno hilo, kwenye itakic nenda shule then uje hapa, ulitakiwa kunipinga kwa kuelezea hoja zako sio kutaka nikufundishe kuhusu cell.
Ulipaswa ujibu swali!.Umeandika "KUSHINDWA" ku regenerate.Sasa ebu jibu, umejuaje kuwa cell ushindwa?.Umetumia kiuongo kipi katika mwili wako kujua hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipaswa ujibu swali!.Umeandika "KUSHINDWA" ku regenerate.Sasa ebu jibu, umejuaje kuwa cell ushindwa?.Umetumia kiuongo kipi katika mwili wako kujua hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ujinga wako utanipotezea muda wa kazi , unajua nini kuhusu cell division? unajua nini kuhusu cells shrink, unajua nini kuhusu cell dysplasia ungefika form two ilikuwa inatosha kujua hayo yote Umri unavosonga cell division inapungua, cell shrink inaongezeka na abnormal cell ambazo haziwezi perfom key function kama awali (dysplasia) na viuongo vikuu vinavoathirikia ni figo moyo na ini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…