sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,696
- 9,910
Punguza hasira maisha yako umeyakosea mwenyewe. Mimi sihusiki.Chawa wa WCB naona Mwambino amekutuma au umeamua mwenyewe tu kuja kumchafua Mwijaku,
Hakuna ushahidi wowote uliouweka hapa ili kusupport madai yako,kumbe hua unaumia vile Mwijaku hua anampakazia bosi wako.
Huo ndio ukweli wenyewe japo ni mchungu kwako,Punguza hasira maisha yako umeyakosea mwenyewe. Mimi sihusiki.
Mwijaku ana degree ya Arts toka UDSM lower second class. Yeye mwenyewe alipost cheti chake mtandaoni. Kwa vyovyote vile kwenye haya mapambano ya maisha siwezi kumdharau mtu ambaye kapita njia zake kiujanjajanja hadi kuweza kupeana mkono na Rais wa jamhuri huku akiwa na connections nzito. Mwijaku, Babalevo na Dotto sio matajiri ila wana nguvu kubwa kiushawishi kuliko matajiri wengi wa nchi hii. Kimsingi POWER wanayo.
Una upeo mdogo sana, pole sana.Huo ndio ukweli wenyewe japo ni mchungu kwako,
Wewe ni kachawa ka WCB,kula yako inategemea na uchawa wako,
Mwijaku hua anampakazia Mwambino ambaye ndiye bosi wako wewe,na ndio sababu ya wewe kuleta huu uzi.
Mwijaku ana degree ya Arts toka UDSM lower second class. Yeye mwenyewe alipost cheti chake mtandaoni. Kwa vyovyote vile kwenye haya mapambano ya maisha siwezi kumdharau mtu ambaye kapita njia zake kiujanjajanja hadi kuweza kupeana mkono na Rais wa jamhuri huku akiwa na connections nzito. Mwijaku, Babalevo na Dotto sio matajiri ila wana nguvu kubwa kiushawishi kuliko matajiri wengi wa nchi hii. Kimsingi POWER wanayo.
Jibu maswali unayoulizwa na wachangiaji,acha kutia huruma hapa.Una upeo mdogo sana, pole sana.
Unaweza kupata chuo baada ya muda fulani kupitaKama kweli alifanya hivyo, ilikuaje akapata chuo (udsm) na taarifa kwa kosa kama lake hua zinawasilishwa uko TCU, TCU wangezia jina lake kuomba chuo chochote kwa muda fulani, mwaka gani alifny ivo na ni mwaka gani aliomba chuo tena ???
Burton Mwemba anajulikana zaidi kama Mwijaku.
Mara kadhaa anasikika akibrag ana degree ya mzumbe university na university of Dar es Salaam.
Sijui kuhusu UDSM ila kuhusu mzumbe. Mwijaku hana degree ya mzumbe japo alisoma mzumbe miaka mitatu.
Nini kilitokea? Je alifeli?
Hapana Mwijaku akufeli ila alifukuzwa chuo kutokana na fraud.
Mwijaku wakati mwanafunzi alikuwa na mchezo wa kuwafutia supp na disco wanafunzi wenzie.
Alikuwa anaweza kufoji documents mpaka za mkuu wa chuo za rufaa au maelekezo fulani na kuwanasua wenzie wasipate disco.
Ila za mwizi ni arobaini alipokuwa mwaka wa mwisho alikamatwa na watu wa admission baada ya mwanafunzi fulani kupeleka barua ya mkuu wa chuo ikiwa na baaadhi ya details hazieleweki baada ya kumbana ndio wakaushtukia huo mchezo na wakaweka mtego na kumkamata Mwijaku.
Aliwekwa ndani zaidi ya miezi mitatu na akafukuzwa chuo.
Huo ndio ukweli kuhusu digrii ya Mwijaku ya mzumbe. Hana degree ya Mzumbe japo darasani alikuwa yupo vizuri.
Asanteni kwa kunisikiliza.
ishu waajiri hutaka kuona hilo karatasi kwanzaKama alikua na akili Haina shida hicho cheti ni karatasi tu