Ukweli kuhusu Cristiano Ronaldo kushusha thamani ya Cocacola kwa kutoa chupa zake

Hello bosses, kuna baadhi ya media hasa za Spain na mashabiki wa Ronaldo wanakuza sana effect ya hili jambo la Ronaldo kuweka pembeni chupa za coca cola na kuchagua maji wakidai kitendo hicho kilifanya hisa za Coca cola kushuka.

Nimeona sio mbaya kuchambua hili jambo kwa sababu ni uongo mtupu na unaletwa kwenye mambo ya muhimu zaidi yanayoendesha kitaalamu na sio kwa hisia za ushabiki au mihemko kama watu wanavyodhani.

Kama unataka kuona ukweli kwenye hili jambo, basi tuweke ushabiki pembeni na tuongee facts.

FACT NO# 1
Ijumaa trh 11 June hisa moja ya cocacola ilikua inauzwa dola 56.16 na stock market huwa inafungwa ijumaa jioni na kufunguliwa jumatatu.

FACT NO #2
Jumatatu tarh 14 baada ya market kufunguliwa hisa za Coca cola zilikuwa chini kwa asilimia 1.6% hivyo wakati wa kufungua market (saa 9:30 EST) hisa moja ya cocacola ilikuwa inauzwa dola 55.26.

FACT NO #3:
Jumatatu hio ndipo Ronaldo alifanya press conference na akafanya kitendo kile muda wa saa 9:43 (EST). Ikumbukwe stock market ilifunguliwa saa 9:30 EST huku share za cocacola zikiwa tayari chini, na hata hivyo hiyo siku hisa za makampuni mengi yaliosajiliwa NYSE (new york stock exchange) zilifungua zikiwa chini, hata SP 500 index ilikuwa chini pia.

FACT NO #4:
Kabla ya stock market kufungwa hio jumatatu share za cocacola zilikua juu tena kwa dola 0.3 nikimaanisha share moja ilikua na thamani ya 55.56 usd.

CONCLUSION:
Sasa kama ronaldo alitoa chupa hizo saa 9:43 EST wakati hisa tyr zilikua chini kipindi market inafunguliwa mnamo saa 9:30 EST, Je ni sawa kweli kusema Ronaldo ndie aliesababisha hisa za cocacola kushuka na kusababisha upotevu wa 4 billion USD kwenye market value ya Cocacola? Au ni mihemko tu na kuikuza influence ya Ronaldo kwa maneno yasio na uhakika wowote?

Sikatai kwamba Ronaldo ni mtu maarufu na ana influence kubwa lakini kiukweli ni kwamba bado hana influence ya kutosha kusababisha kushusha thamani ya kampuni ambalo lime-survive 2 WORLD WARS(WW1 & WW2), GREAT ECONOMIC DEPRESSION, 2008 FINANCIAL CRISIS na majanga mengine makubwa tu kwenye historia ya uchumi duniani.

JE, NINI SASA KILISABABISHA SHARE ZA COCACOLA KUSHUKA?
Hapa chini naweka baadhi ya majibu kwa swali hilo.
1) Sababu kuu ni kwamba Coca Cola walikua wametoka kutoa dividends (gawio) kwa wawekezaji wanaomiliki shares za Coca cola, ni kawaida shares zinazokuwa kwenye kipindi hiki (kitaalamu tunaziita ex-dividend shares) kushuka chini kidogo kisha kupanda tena, hilo jambo ni la kawaida kabisa kwenye stock trading.

2)Hio siku ya jumatatu hisa nyingi zilikua chini ya bei zilizofunga ijumaa, mfano Ford motors nayo ilikua chini saaana.

Hivyo basj tusiweke ushabiki kwenye mambo yanayohitaji utaalamu zaidi ya hisia. Huku vijiweni mashabiki wa ronaldo wamekomaa baada ya kusikia jamaa kashusha thamani ya coca cola wakati sio kweli kabisa.

Peace......
~Kali Linux
Wewe ngozi nyeusi unauelewa gani kuwazidi wazungu?
 
Back
Top Bottom