Ukweli kuhusu Cristiano Ronaldo kushusha thamani ya Cocacola kwa kutoa chupa zake

Mashabiki wa CR ni watu wa ovyo sana, hawana tofauti na mashabiki wa Sadala, kwa kifupi wengi wao ni mashabiki haohao.
 
Ukwel hili jambo lilinshangaza sana maana hv inawzkanaje Campuny kama coca ina miaka miing sana half kitendo cha Cr7 kutoa tu chupa zake mezan et tyal hisa zshke na hasara hapo hapo ziingie kwenye campuny!??

kumbe hamna maana kufanya biashara sasa.

Nb:- ss wengne na mipira vtu viwl tofaut kabisaa
 
😃😃 Coca-Cola wanasemaje kwani.....?

Screenshot_20210628-014109_1624903605044.jpg
 
Back
Top Bottom