Ukweli kuhusu Chuo kikuu cha Kampala (KIU)

Ongera umechaguliwa chuo kizuri sana... Ukifika goms niambie nikupeleke chuo.... Mm ni dereva wa boda boda
 
*Pale unapolikosa jina lako kwenye vyuo vyote ulivyoomba ndo utapogunduaThe Amazon ni chuo au msitu uliopo brazil*
 
ata kama wangenichagua apo kwa baat mbaya ningeahirisha mwaka tu.
Maana apo nayavamia matatzo mwenyew
kwa hiyo kwenda kusoma degree za arts iringa ni bora kuliko kwenda kusoma pharmacy kampala? kama ni hivyo kwako, hongera kwa kua na moyo mgumu, wenye misimamo madhubuti......
sizitaki mbichi hizi......
hongera na pole sana🙁🙁
 
Migogoro kila kukicha
Maandamano
Chuo hakina sifa
Ada kubwa sana na
Mengine mengi mki report
Mtayaona
so ukichagua Kampala utajuta hakika nakwambia
Unauhakika migogolo bado ipo ?? Em naomba uprove kwa kuelezea mgogoro wa hivi Karibuni....

maandamano !! Unataka kuniambia ni KIU peke ndio huwa wanaandamana ?? Na je umesikia wamendamana ukiacha juni 2015...

Chuo hakina sifa .. Sifa zipi ?? Em zitaje sifa amabazo hakina ...

Ada kubwa !! Kwa course zipi ?? Ukisema kwa medicine sikatai ..je wajua kozi zingine zilizo baki (BMLS na Bpharm ) ada yake ni affordable sana KIU ukicompare na vyuo vingine .. Ngoja nikupe mfano .. KIU ada ya BMLs na Bpharm ni 3,800,000 na wanapewa 3,100,000 na bodi hivyo wanaongezea 700,000 kwa mwaka .. Je wajua kuwa .. CUHAs ada ni sawa kwa course zote ? (MD , Nursing, BMLs,Na Bpharm) wanalipa jumla ya shilingi za kitanzania 5245,000 kwa mwaka wa kwanza ..na bodi inatoa 3,100,000 .. Source ni prospectus yao.

Mengine mengi naomba uyataje ..
 
Jaman mdogo wangu alisoma combi pcm kachaguliwa ubungo maji degree ya water resourse and irrigation engenering kwa miaka 4 sasa nauliza hivi je hicho chuo na hiyo kozi itamsaidia? Kwa sbb hata humu sion watu wakitaja hicho chuo na hiyo kozi au kapotea?
 
Bila kuficha mdogo wako amepotea tena sio kidogo,ebu kaeni mapema mfanye utaratibu wa uhamisho mapema kabisa LA sivyo ahairishe mwaka
 
Unauhakika migogolo bado ipo ?? Em naomba uprove kwa kuelezea mgogoro wa hivi Karibuni....

maandamano !! Unataka kuniambia ni KIU peke ndio huwa wanaandamana ?? Na je umesikia wamendamana ukiacha juni 2015...

Chuo hakina sifa .. Sifa zipi ?? Em zitaje sifa amabazo hakina ...

Ada kubwa !! Kwa course zipi ?? Ukisema kwa medicine sikatai ..je wajua kozi zingine zilizo baki (BMLS na Bpharm ) ada yake ni affordable sana KIU ukicompare na vyuo vingine .. Ngoja nikupe mfano .. KIU ada ya BMLs na Bpharm ni 3,800,000 na wanapewa 3,100,000 na bodi hivyo wanaongezea 700,000 kwa mwaka .. Je wajua kuwa .. CUHAs ada ni sawa kwa course zote ? (MD , Nursing, BMLs,Na Bpharm) wanalipa jumla ya shilingi za kitanzania 5245,000 kwa mwaka wa kwanza ..na bodi inatoa 3,100,000 .. Source ni prospectus yao.

Mengine mengi naomba uyataje ..
Mkuu VIP kuhusu kusajiliwa na pharmacy council
 
Hayo mambo yalihusisha diploma & certificate .. Na hivi sasa yalisha isha .. walienda kuomba usajili wakanyimwa kwakua walienda kusoma chuo bila kupitia nacte ..sahivi hizo mambo zimeisha isha ndio maana hujasikia tena toka juni 2015.. Watu wanamaliza wanaajiliwa kama kawaida .. Wengi wapo makazini...upande wa degree walihusika kutokana na kwamba waliingiwa na wasiwasi tu .. Lakini hakuna alikua ameisha maliza hata mmoja na kunyimwa usajili na hiyo council..
 
Unauhakika migogolo bado ipo ?? Em naomba uprove kwa kuelezea mgogoro wa hivi Karibuni....

maandamano !! Unataka kuniambia ni KIU peke ndio huwa wanaandamana ?? Na je umesikia wamendamana ukiacha juni 2015...

Chuo hakina sifa .. Sifa zipi ?? Em zitaje sifa amabazo hakina ...

Ada kubwa !! Kwa course zipi ?? Ukisema kwa medicine sikatai ..je wajua kozi zingine zilizo baki (BMLS na Bpharm ) ada yake ni affordable sana KIU ukicompare na vyuo vingine .. Ngoja nikupe mfano .. KIU ada ya BMLs na Bpharm ni 3,800,000 na wanapewa 3,100,000 na bodi hivyo wanaongezea 700,000 kwa mwaka .. Je wajua kuwa .. CUHAs ada ni sawa kwa course zote ? (MD , Nursing, BMLs,Na Bpharm) wanalipa jumla ya shilingi za kitanzania 5245,000 kwa mwaka wa kwanza ..na bodi inatoa 3,100,000 .. Source ni prospectus yao.

M
 
Unajaribu kulinganisha cuhas na kiu
Wewe joning instruction ya cuhas umeshaiona hiyo 5245,000 first year wa cuhas mbona unatania mkuu
 
Sijakulupuka Kijana ,, nimeisoma vizuri .. ada tuition fee ya CUHAs kwa BMLS & Bpharm ni 4,300,000 .. Wanapewa 3,100,000 hivyo wanaongezea 1,200,000 bado registration fee (administrative fees) ambayo ni 505,000 hapo accommodation sijaihusisha..
Wakati KIU ada ni 3,800,000 tu .. Wanaongezea 700,000 na hakuna cha administrative fee wala nn.. Ukishalipa hiyo 700,000 basi na afu pale sio lazima ulipe yote unaweza kuwa unalipa kidogo kidogo

Naomba ujibu maswali yote niliyokuuliza .. Niprove kuwa wewe sio mmbea ..
 
Nafkiri wewe ni mmoja kati ya vil aza
Ada cuhas ya kuongezea ni 600,000 kwa semister moja
Wakati kiu ni 700, 000 kwa semister

Hivyo kwa mwaka

CUHAS ni 1200,000
KIU 1400,000

Pia kwa cuhas shule kwa kozi za afya imetulia sana
Hukusikia kuna mgogoro wa kutumia mitaala tofauti Huko kiu

Kile chuo ni janga na kama utaendelea kushupaza shingo jua itakatika
 
acha kujifanya unajua toa fact kiu pharm wanalipa 700000 kwa mwaka laki 350000 kwa semister usipotoshe uma
 
Nafkiri wewe ni mmoja kati ya vil aza
Ada cuhas ya kuongezea ni 600,000 kwa semister moja
Wakati kiu ni 700, 000 kwa semister

Hivyo kwa mwaka

CUHAS ni 1200,000
KIU 1400,000

Pia kwa cuhas shule kwa kozi za afya imetulia sana
Hukusikia kuna mgogoro wa kutumia mitaala tofauti Huko kiu

Kile chuo ni janga na kama utaendelea kushupaza shingo jua itakatika
Mbona hujibu maswali mengine niliyo kuuliza .. Mgogoro gani wa hivi Karibuni umeusikia ??
Je unauhakika kuwa wanatumia mtaala tofauti ?
Hivi Umeisha soma prospectus ya KIU kweli ??
Unanipa wasisiwasi na elimu yako .. Educated people huwa hawaongei umbea wanaongea facts tu ..

Afu unajibu maswali ambayo huna uhakika nayo .. Ona sasa unaforce et KIU wanalipa 700,000 kwa semester !!! .. Kwa taarifa Ni 350,000 tu ..kwa semester Kijana ... Hivi unataka kuniambi kuwa hujasoma hata Guide book ya TCU !!!! ?? Usiwe unakulipuka na kulopoka ..huo ni umbea tunaita .. Afu mwanaume hatakiwi kufanya hivyo .. Idiot
 
Kiu hili nalo ni jipu sio siri jamaa ang yupo hapo pharmacy anaingia mwaka wa tatu bt form six alikuwa na div 4 sasa hii si kutengeneza bomu kwa taifa kwel?
 
Ukifeli form six .. Diploma huwa wanachukuliwa kwa kutumia matokeo ya O level .. Na KIU diploma zipo .. Wala haina tatizo kabisa .. Hongera yake mwaka watatu anakalibia kumaliza..
 
Back
Top Bottom