Ukweli kuhusu Chuo kikuu cha Kampala (KIU)

Ukifeli form six .. Diploma huwa wanachukuliwa kwa kutumia matokeo ya O level .. Na KIU diploma zipo .. Wala haina tatizo kabisa .. Hongera yake mwaka watatu anakalibia kumaliza..
kwa matokeo ya mwaka jana na juz fom six mwenye DD ambayo ni four walienda chuo wote
 
Kiu hili nalo ni jipu sio siri jamaa ang yupo hapo pharmacy anaingia mwaka wa tatu bt form six alikuwa na div 4 sasa hii si kutengeneza bomu kwa taifa kwel?
Daah...hao ndio wale wa kufanya operation ya kichwa badala ya miguu.
 
Kiu hili nalo ni jipu sio siri jamaa ang yupo hapo pharmacy anaingia mwaka wa tatu bt form six alikuwa na div 4 sasa hii si kutengeneza bomu kwa taifa kwel?
Mimi nimechoka kubishana na hili linalojiita " catecholamine"
 
Mimi nimechoka kubishana na hili linalojiita " catecholamine"
Mpiga era .. Nenda chuo ukasome sawa , uelimike uondoe ujinga , ndio kwanza unaenda kuanza mwaka wa kwanza .. sijui unaenda kusoma kozi gani!! Afu mie nilijua .. Labda upo angalau mwaka tatu hivi ungekuwa na uelewa wa mambo kidogo .. Ukaweza kubishana na mie kaka yako ...Natumaini ukifanikiwa kumaliza , utakuwa umeondokana na ujinga ulio nao .. Kila laheri
 
Kwa medical field kiu wanaongoza kwa compitent kuliko chuo chochote Tanzania wana shule ya maana... international and tannzanian lectures.. dogo nenda kiu utafaidika sana... by the way vyuo vyenye shida havijaruhusiw kudahili mwaka wa kwanza kwa intake hii... nenda kampala ukasome uwe international
 
Ni ya kweli hayo mkuu?
 
Hebu acha kuwahadaa vijana ,unaruhusiwa kukitetea chuo chako ila sio kwa uongo

Walimu wengi wa KIU wanatoka MUHAS na ni part time,wengine wakistaafu ndio wanakuja hapo,mfano Dean school of pharmacy hapo KIU ametokea pale MUHAS

Wanafunzi wakidisko MUHAS wanaomba transfer wanakuja hapo KIU.wanafunzi 7 walidisko MUHAS,CUHAS ikawakataa,St. Johns ikawakataa..Ila KIU ikawapokea vizuri kabisa na wapo pale wanasoma ( naambiwa wanakua hadi best students)

Nyie hapo huwa hamkatai wanafunzi as long as pesa inaingia,hiyo competency kuliko vyuo vyote mnaitoa wapi ndugu yangu
 
Yani wewe dogo uliyeomba ushauri humu...pole...humu sip sehemu sahihi utapotoshwa vya kutosha..nenda tcu...nenda pharmacy council....kwani wao wajinga wakupange kule....
Kuna watu wamepoteza muda na wanajuta kwa kusikiliza maneno ya watu
 
sina cha kukwambia, ila nenda kakaze mdogo wangu, elimu ya sikuhizi haiangalii chuo bali compitience yako kwenye field yako wala usikatishwe tamaaa na mtu yeyeto..

nina marafik zangu weng tumegradute nao miaka mi 5 sasa mliman, na hawana kazi na wa vyuo vya kawaida wengi wana kazi na maisha mazur tu
 
Inawezekana elimu haingalii chuo lakini. Mm binafsi nimesoma pale simshauri kusoma pale. Kujua tu kwa haraka haraka sifa za chuo angalia official page zao Instagram na Facebook kinachopostiwa.
Management ya chuo sasa mhh
Sup zake na jinsi ya kuzifanya . Mhh
Procedure za kupewa chet ama transcript ukimaliza sasa mhh.
 
Back
Top Bottom