Ukweli kuhusu CHADEMA Iringa na uongo wa TUNTEMEKE

Ukweli kuhusu CHADEMA Iringa na uongo wa TUNTEMEKE

Thanks sana Kiongozi,

Umewafungua macho watanzania wenye imani na CDM pamoja na Dr Slaa...

Napenda nitoe Shukrani zangu kwa Mods kwa kuundoa ule Uwongo wa Tumtemeke kwani una lengo la kufanya tutumie nguvu nyingi sana kumpinga badala ya kuendelea kujadili mada za Ukweli na zenye manufaa kwa waTZ
 
Natamani kuchangia ila naogopa kutaja majina ya watu...
 
Nimeisoma post hiyo ya Tumtemeke leo mapema, kilichonishangaza ameandika huku akionyesha wazi dalili ya kutoka mishipa kichwani, haikuonyesha kuandikwa na mtu aliyetulia na kutafakari anachoandika anamwandikia nani.

Binafsi nakupongeza uliyejitokeza na kutoa ufafanuzi, kwani ulichoandika kinaonyesha kuwa dalili za ukweli ndio maana nachangia, ile post ya Tumemeke nilishwa kuandika lo lote kutokana na mleta mada kuandika zaidi hisia binafsi zisizojenga au kutetea ukweli wa habari aliyoandika.
 
Haya sasa kama si kujichanganya ni nini? Katibu amefafanua vizuri sana huyu Josephine anakuja na kusema mgogoro huu hautadumu kitambo. Kwani katibu kasema kuna mgogoro? Jamani mbona mnatuchanganya? Mtu akisema mnasema mnafiki. Hilo nalo hapo hamlioni?

Mkuu nakuunga mkono. Japo kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake, lakini unapokuwa na nafasi fulani ama ya moja kwa moja kwenye utendaji wa chama au isiyo ya moja kwa moja mfano mke, mume, mtoto au mwanafamilia wa kiongozi wa chama hasa ngazi ya kitaifa unapaswa kuwa extra careful kwa kauli zako.

Huyu Josephine (kama ndiye huyo ninayemfikiria) aelewe nafasi yake ni ipi na nini cha kusema na wakati gani. Hili suala ni la kiofisi na lijibiwe na viongozi wahusika kama Katibu wa Mkoa alivyofanya. Vinginevyo, pamoja na uhuru wa kutoa mawazo, kwa kauli zao watajikuta wamempa adui nafasi na hoja bila sababu.

Ndio yale yale ya Mzee Mtei wakati viongozi wetu wakijitahidi kusukuma gari limalize mlima yeye analivuta kwa nyuma - japo yalikuwa mawazo yake, alipaswa kusoma upepo wa kisiasa na impact za kauli yake kabla ya kutoa maoni husika.

Mambo ya koropoka ovyo ovyo watuachie sisi wengine; thats why we are here. Chadema chukueni hatua.
 
Huyo Tunte......

Nahisi anaweza kuwa kiongozi wa CDM anaetamani sana kugombea uraisi 2015!

Hapa anatafuta mbinu za kumshushia hadhi Dr Salaa!

Huyu kiongozi ana fanya jitihada za waziwazi na kimyakimya ili kujikweza aonekane bora mno kwenye siasa za Chadema..

....................................

..
 
Tunakushukuru sana kwa taarifa. Mod angalieni watu kama hawa wanaweza kuanzisha Thread kwa ajil ya kuhatarisha au kuchafua watu kwa maslahi yao binafsi, Chadema angalien mtu huyu atakimaliza chama
 
Mkuu nakuunga mkono. Japo kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake, lakini unapokuwa na nafasi fulani ama ya moja kwa moja kwenye utendaji wa chama au isiyo ya moja kwa moja mfano mke, mume, mtoto au mwanafamilia wa kiongozi wa chama hasa ngazi ya kitaifa unapaswa kuwa extra careful kwa kauli zako.

Huyu Josephine (kama ndiye huyo ninayemfikiria) aelewe nafasi yake ni ipi na nini cha kusema na wakati gani. Hili suala ni la kiofisi na lijibiwe na viongozi wahusika kama Katibu wa Mkoa alivyofanya. Vinginevyo, pamoja na uhuru wa kutoa mawazo, kwa kauli zao watajikuta wamempa adui nafasi na hoja bila sababu.

Ndio yale yale ya Mzee Mtei wakati viongozi wetu wakijitahidi kusukuma gari limalize mlima yeye analivuta kwa nyuma - japo yalikuwa mawazo yake, alipaswa kusoma upepo wa kisiasa na impact za kauli yake kabla ya kutoa maoni husika.

Mambo ya koropoka ovyo ovyo watuachie sisi wengine; thats why we are here. Chadema chukueni hatua.
Mkuu
Umeongea ukweli mtupu, heshima mbele!
:yo:
 
HESHIMA CDM... Hii inaonyesha ni jinsi gani wako makini kujibu hoja kwa ushahidi na c "MBURIMBURI"... Ritz upo hapo?
 
Kamanda wa mkoa wa iringa amefafanua hoja ya tuntemeke, wana jf tuache ushabiki wa mambo bt muhimu kuwa na facts! Msipende kumzushia dr slaa kwani chadema ni zaidi ya dr slaa na uma wa watz wanajivunia kuwa na chama hiki mbadala, mambo yahusuyo udaku hapa si mahali pake makamanda.
 
Nashukuru sana allen. Kwenye ile thread ya Tuntemeke,nilisema "No evidence,no right to speak",sasa hapa umekuja kutupa mwanga,na binafsi umenifungua na nimetambua kuwa humu ndani kuna watu wenye nia ya kupindisha ukweli na kutaka kuupotosha. Big up sana! Vipi Tuntemeke ametokomea wapi?
 
Last edited by a moderator:
Uzushi na Uongo huu ulisemwa humu na ni lazima ukanushwe humu humu JF. Juzi kulikuwa na Uzushi mwingine tena. hawa watu wasiposhghulikiwa watajijengea mazoe ya kuzua mambo na kuharibu taswira ya chama kwa wananchi.

Hasante: Tumekusoma
 
Mkuu
Umeongea ukweli mtupu, heshima mbele!
:yo:

Pamoja Mkuu. Tunajitolea bure kwa hali na mali bila hata sumni kuona Chadema inakua kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu. Tunanunua vocha tunapoteza muda mwingi kwenye mitandao kwa ajili ya Chama halafu anatokea somebody from nowhere anaharibu move nzima.

Hii haipendezi - watoto, wake, waume, familia za viongozi tulieni. Majibu stahili tutayatoa sisi raia na sio ninyi.
 
Nashukuru sana allen. Kwenye ile thread ya Tuntemeke,nilisema "No evidence,no right to speak",sasa hapa umekuja kutupa mwanga,na binafsi umenifungua na nimetambua kuwa humu ndani kuna watu wenye nia ya kupindisha ukweli na kutaka kuupotosha. Big up sana! Vipi Tuntemeke ametokomea wapi?

He/she deserves for-life-ban kwa uzushi wa mara kwa mara. Sijui kwa nini mods wanamwendekeza huyu jamaa.
 
Wana bodi!

Ili Jukwaa hili la JF liendelee linahitaji sisi members tutofautiane mawazo, hoja, mitazamo n.k

Binafsi napenda sana hizi challenge ideas kutoka kwa hawa JF members ambao ni wapinzani wetu na hasa akina Tuntemeke, MS, FF na sasa Kimbunga! As great thinkers tunapaswa kuwajibu kwa hoja na facts kama alivyofanya Allen!
ki ukweli upo umuhimu wa wao kuendelea kuepo humu jukwaani ili tuwashinde kwa hoja, cha msingi tuwavumiliane ingawaje sometimes hoja zao huwa zina maudhi kwelikweli!

Again & again nawaomba ma mods wawatoe kifungoni wapinzani wetu wa jadi akina MS, FF etc ili waje tushindane nao kwa hoja!

Heshima kwako Mkuu... uko sawa naunga mkono:yo:
 
Allen wewe ni katibu jina tu ,hebu wanairinga jiulizeni huyu bwana anafanya kazi za kujenga chama ,katika watu ambao wanaoharibu na kudumaza chama,anaongea maneno mengi lakini ni nadharia tu.katibu gani wanairinga ambaye haonekani katika ziara zozote kuanzia mwenyekiti na katibu ,huyu ni mnafiki mkubwa aliyehongwa
 
Back
Top Bottom