Queen lizy
Member
- Aug 28, 2017
- 24
- 6
Habari wana JF, naomba mwenye uzoefu na suala hili abambie, inasemekana kama Uki carry course kwa wale wenye mkopo boom linazingua saana? Naomba mwenye uelewa na hili anambie
Umeandika nini mkuu, embu rudia kusoma na wewe?? Halafu utakuta ni msomi wa chuo kikuuHabari wana JF, naomba mwenye uzoefu na suala hili abambie, inasemekana kama Uki carry course kwa wale wenye mkopo boom linazingua saana? Naomba mwenye uelewa na hili anambie
Acha uwoga mkuu mzgo utaletwa ila utachelewaAsante mkuu pressure ina shuka kias, maana maisha ya Chuo without boom is very difficult.. yaani kuna watu wamenitisha