ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,628
- 4,970
Habarini wadau,
Sinauhakika kama ni jukwaa husika. Lakini nilikua napenda kujuzwa tu kua ni kweli kwamba mtu mwenye blood group O si rahisi kupata ugonjwa wa UKIMWIi? Hapa mtaani kuna binti anaishi na jamaa ambaye ameathirika wanaishi kama mume na mke.
Sasa yule mdada baada ya kusikia maneno ya chinichini kuwa eti naye atakuwa ameathirika akaja na kadi ya angaza ikimwonyesha kuwa amepima na yuko fiti tu kisha akadai eti yeye ana blood group hiyo ndio mana hata afanyaje hawezi pata VVU.
Nimeshangazwa nikaamua nililete kwenu.Kuna ukweli wowote kuhusu hili?