Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
kachepukeni tu huku mkijifariji
Mkuu sio kweli kuwa wanakuwa ni carrier na eti hauwasumbui!! hawa wenye o-, sasa sijui kama kuna factors nyingine ndani ya hizi damu, au ni ilimladi iwe o-tu, hawana kabisa, kifupi kuna ndugu yangu huu ni mwaka wa 4,mke wake anatumia dose na yeye anashiriki naye tendo la ndoa kama kawaida bila kinga, wala hana na mwanzoni alikuwa anakwenda kupima kila baada ya miezi sita, na ni negative, na ana mke mwingine wala hana maambukizi. kuna wengine ambao nadhani ndio unawaongelea ni kweli wanakuwa carrier, ila badaye itaonekana tu. nina mifano mingi, labda aje mtaalam atueleze inakuaje hali hii, Hawa Watu wanaraha sana jamani. Ngoja na mimi kesho nikacheck group langu ili nijue moja.Ipo document nimeshawahi isoma nikalikuta hili jambo ila walifafanua kuwa kuna hilo kundi la O+ maalumu kitaalamu nimesahau ila ngoja niitafute niwaletee na WHO imekataza kuliweka wazi jambo hili coz watu watamiss use group na kujiona wote wenye O wapo safe.Document hiyo ilisema kuwa huwa wanapata ila wanakuwa carrier tu na unakuwa hausumbui.
Ipo document nimeshawahi isoma nikalikuta hili jambo ila walifafanua kuwa kuna hilo kundi la O+ maalumu kitaalamu nimesahau ila ngoja niitafute niwaletee na WHO imekataza kuliweka wazi jambo hili coz watu watamiss use group na kujiona wote wenye O wapo safe.Document hiyo ilisema kuwa huwa wanapata ila wanakuwa carrier tu na unakuwa hausumbui.
Habarini wadau,
Sinauhakika kama ni jukwaa husika. Lakini nilikua napenda kujuzwa tu kua ni kweli kwamba mtu mwenye blood group O si rahisi kupata ugonjwa wa UKIMWIi? Hapa mtaani kuna binti anaishi na jamaa ambaye ameathirika wanaishi kama mume na mke.
Sasa yule mdada baada ya kusikia maneno ya chinichini kuwa eti naye atakuwa ameathirika akaja na kadi ya angaza ikimwonyesha kuwa amepima na yuko fiti tu kisha akadai eti yeye ana blood group hiyo ndio mana hata afanyaje hawezi pata VVU.
Nimeshangazwa nikaamua nililete kwenu.Kuna ukweli wowote kuhusu hili?
Hata mm na Mke wangu pamoja na watoto ni Group OHata mimi ni group O sema sijasema tu
jaribu kufanya utafiti kaka, mimi hili suala nina uhakika nalo, kama nilivyolieleza hapo juu, ni gumu kuliamini ila lipo.Kuna Carrier wa HIV huyo haonyeshi zile dalili za mgonjwa wa Ukimwi mda wote kuanzia January hadi December yupo fiti ila akimgonga mtu mwingine anamuambikiza HIV na kama sio carrier dalili zitaonekana kinga zikipungua.
Habarini wadau,
Sinauhakika kama ni jukwaa husika. Lakini nilikua napenda kujuzwa tu kua ni kweli kwamba mtu mwenye blood group O si rahisi kupata ugonjwa wa UKIMWIi? Hapa mtaani kuna binti anaishi na jamaa ambaye ameathirika wanaishi kama mume na mke.
Sasa yule mdada baada ya kusikia maneno ya chinichini kuwa eti naye atakuwa ameathirika akaja na kadi ya angaza ikimwonyesha kuwa amepima na yuko fiti tu kisha akadai eti yeye ana blood group hiyo ndio mana hata afanyaje hawezi pata VVU.
Nimeshangazwa nikaamua nililete kwenu.Kuna ukweli wowote kuhusu hili?
labda doc mzizi mkavu aje atusaidie
watu walio na group O huwa na immunity kubwa kwa sababu wana antibody A na B kwenye blood amabazo hizo antibody mbili zinaongeza kinga ya mwili mbali na virusi na vijidudu lakini sio kwamba ina zuia kabisa Wanaweza kupata Ukimwi.