Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Ziiiiiiiito mla rushwa wewe kwenye kampuni za madini na za kufua umeme umeamua kuhamia boeng kutafuta rushwa huko hupati kitu utakufa na njaa yako
 
Wewe kweli ni kichwa maji yaani bogas yaani pamoja na maelezo yote ya mleta uzi bado upo mweupe tu kichwani?

Ha ha haaaa

Sasa wewe mpinzani maji inakuwaje unajali yangu kiasi hiki, unataka kunibadilishia ubongo au?

Mna maneno machafu sana na mnatia kinyaaaa, kila kitu kudakia hata la kujiongeza hamna. Kinyaa
 
Mlizani itakuwa siri?!
kwani hizo ndege si zilizinduliwa hadharani?Ndege zijazo mliambiwa hadharani zitakuaje na kiasi gani wewe,siku hiyo ulikuwa unaongoza mashambulizi kwa bombardier hukujishughulisha kusikiliza maelezo,
Nenda kwa Mange huko
 
Ziiiiiiiito mla rushwa wewe kwenye kampuni za madini na za kufua umeme umeamua kuhamia boeng kutafuta rushwa huko hupati kitu utakufa na njaa yako
 
Mmeshaingizwa chaka na kutununulia ssagulaga
 

Kweli kabisa. Tulisema tunanunua ndege tangu 2016. Ndege iliyoko tayari inasubiri miaka miwili kufika. Hapo ndio shida. Hapo bado inaonekana kama iko "on order". Wakati wa Q400 Bombardier walisema inachukua masaa matatu -Dar-Moshi. haikuwa hivyo.

Kwenye mikataba hakuna anaye disclose details. Kampuni ya Canada imeigomea Marekani kudisclose details. Itajulikana tumenunua bei gani tu haijifichi-si mkaguzi mkuu si yupo

Ila hizi kelele si jambo baya. Airline safety and security ni kitu sensitive sana. Kwenye hii industry hakuna nafasi ya kufanya makosa.

Niulize tu. Kwa hiyo na Japan wanayo hizo terrible teens; kulingana na mleta mada.
 
Unataka line number ukaibandike sebulen kwako. Au unataka kusafir????
UNGESOMA BRO. [HASHTAG]#chetifeki[/HASHTAG]
 
Bombadier zilipigiwa keleeeleeee ila leo hizooo, zinapiga mzigo balaa.

Hata hizi zijazo zitapingwa tu, ila zitakuja na tutapanda!!!
 
Embu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Hivi wewe kila kitu kuhusu serekali una waka tuu vingine sio lazima unasoma kwa makini unafanya uchunguzi taratibu alafu ndio unatoa mtizamo wako! Mbiombio hata hujamaliza kusoma unataka usaidiwe na wakati links zimewekwa hapo. Ovyo kabisa na unafiki ulipita kipimo. Bora hata ukae kimya kuficha tabia zako. Mbaya zaidi wewe ni mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…