Ukweli kuhusu Afisa Utumishi Halmashauri Nzega

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,680
2,000
Mimi ni mdau wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega,nimekuwa nikifanya kazi mbalimbali na halmashauri hii,Waliozungumziwa katka uzi huu nawafahamu,kwa asiyejua anaeeza kuyabeba maneno haya kama yalivyo,lakini kwa mtu aliyefanya kazi ktk halmashauri nyingi Tz hii,majungu na kuchafuana kwa Sbb mbalimbali ni jambo la kawaida.


Huu ni ugomvi kati ya mtumishi na mtumishi unahamishiwa mitandaoni na kuathiri mambo ya familia na kazi,kwanza hakuna ndoa yoyote iliyovunjika. Kinacholeta fitna na huu uzushi wa huyu anayeleta kashfa humu ni sbb anahamishiwa Halmashauri ya Mji Mpya wa Nzega na yeye anataka abaki hapo Wilayani Sbb amekaa toka 2002 wakati mtumishi anatakiwa akae miaka 5 then uhamisho,lkn yeye kila akitaka kuhamishwa anafanya lobbying abaki,hizi ndio chuki zinazomfanya aamini DHRO kafanya kazi hiyo.Hizo habari za kumuhamisha mkaguzi wa ndani kwenda Katavi ni uzushi mwingine,Maaana anayehamisha ni TAMISEMI na si DHRO...anaona ngumu kuhamia Mji wa Nzega na kuanza kuzusha mambo ya uzushi


Ugomvi huu unatengenezwa na Dada mmoja anaitwa Regina Shasha ambaye ndiye Afisa Mipango wa Halmashauri,huyu anatakiwa kuhamishiwa kama Afisa Mipango mji Wa Nzega ili aachie nafasi ya Mipango Wilaya,kuhama kwake hiyo ofisi kunamtesa sana,amejaribu kuhonga sehemu ya baraza la madiwani ili wampiganie abaki,amegawa laki laki kwa sehemu ya madiwani lkn hali bado tete,anajenga bifu na HRO sababu anahisi amehusika kumuhamisha,Lkn zaidi hataki kuachia ofisi ya Mipango H/Nzega akijua kuwa msadizi wake ata-take over,ndio maana kamtengenezea zengwe msaidizi wake kuwa ndoa imevunjika..Lakin ukweli ni kuwa hakuna ndoa iliyovunjika.


Woga Wa Regina ni kuona nafasi yake H/Nzega kuchukuliwa na msaidizi wake,Maana kama ni huo "uzinzi" wanaosema hata yeye hawezi kuukwepa maana inajulikana hataki kuhama Halmashauri ya Nzega sababu ni Mchepuko wa Mkurugenzi Abrahaman Mndeme,akihamishwa hatapata "previledge" alizokuwa anazipata kwa mchepuko wake,kwa hiyo hizi ni "siasa" tu za maisha ya kazi za Halmashauri,wadau wanaojua wanaweza kumwaga mboga na kila kitu kikaeleweka lkn si kuchafuana.Wanamuonea tu huyu Jamaa,sababu hata humu mitandaoni ye Hana muda Wa kuingiaa na kujibizana,lakni tuliofanya nae kazi Biharamulo,Chato,Geita na Handeni tunamfahamu na tunasimama kumsimamia
 

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
10,981
2,000
aisee, penzi kitovu cha uzembe

naona mmeamua kulipuana hadharani sasa baada ya kutombeana hadi basi tena

kweli mshahara wa dhambi ni mauti

hakuna yoyote hapo msafi, ni kundi la panya buku, mnaharibu kazi, mnaharibiana ndoa na sasa mnaambukizana magonjwa ya ngono tu

wafute tu hizi halmashauri, hakuna mnachofanya zaidi ya kubanduana na kula allowances
 

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,703
2,000
Hizi ni Fitna tu kwa Bwana Aloyce ......wadau wa Halmashauri tunajua...hapo mchezo unachezwa na huyo Dada...
Wanamuonea tu bwana Aloyce lkn kuna watumishi kibao na vyeo vyao wamehamia Halmashauri ya Mji na hawajalalamika
 

KIKOSIKAZI

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
2,224
2,000
Yale yale,nilisema lazima jitihada binafsi zifanyike.Ukisema iripotiwe kwa mamlaka husika.Hiyo Mamlaka husika ina watu wanao husika.MKurugenzi&Madiwani wanahusika,kuna mwingine atamtaja mkuu wa wilaya,au mbunge au nani sasa unakimbilia wapi?
 

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,819
2,000
Sasa Mndeme ameshindwa kumbakiza huyo Regina wake?
Siku hizi mkuu wangu kutumia nguvu moja kwa moja kama zamani haiwezekani tena.

Ukizingua kidogo tu watu "wanakurusha" JamiiForums then mambo yanakuwa magumu.

Ndiyo maana siku hizi hata ukiwekwa ofisini unatakiwa uwe na vyeti halali la sivyo siku zenu (wewe na huyo aliyekuweka) zinahesabika.

Baba ananiambiaga enzi zao ilikuwa mtu anawekwa kuwa mhasibu na wakati hajasomea chochote, anafundishwa kazi na aliowakuta. Baadaye kabisa akiwa ofisini anaanza "kujiendeleza" kielimu. Ilikuwa raha sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom