Ukweli kuhusu Afisa Utumishi Halmashauri Nzega

Hiki kipande kimenishangaza naomba akitolee ufafanuzi

Ni kawaida watumishi wa Halmasahauri kukutana ktk vituo mbalimbali vya kazi unapotokea uhamisho....Ukawa ni mtu Chato then mkaachana mkaja kujikuta mpo wote Sikonge
 
Tutakuamini vipu na wewe?

mkuu nina rafiki yangu mama ake yuko idara fulani hapo hapo Nzega halmashauri, baada ya kusoma ule uzi wa kwanza nilimtumia link na kutoa majibu kuwa tuhuma zile ni za kweli juu ya tabia ya huyo afisa utumishi. huyu mleta mada naanza kuwa na wasiwasi nae
 
Wewe majina yako unaficha wenzako umewataja bila shaka ndio mtuhumiwa mkuu wa huo ufuska,
 
Her halmashauli ina laana ndo maana ni ya tangu mkoloni lakini haiendelei, watu wanapiga pesa kama juzijuzi mpaka Mkuu wa mkoa anahama kulikuwa na zaidi ya tsh 500m hazikua na maelezo akatishia kidogo kikao cha madiwani kikavunjika akaahidi kuchukua hatua had I Leo kimya hao wanaong'ang'ania kubaki hapo wanajua wanapiga pesa na hakuna anayeuliza hii nchi inaliwa kila kona na wakuu wanacheka, hivi hii skandal haitoshi kuchukua hatua?
 
Halmashauri..badilikeni...fanyeni kazi na muachane na hayo. Nayajua hayo kwa kuwa nilikuwa huko kwa miaka zaidi ya 20 kabla kurejea Serikali kuu
 
vita vya panzi furaha kwa kunguru...nyie tupianeni maneno mie jobless nasubiri mfukuzwe kazi mie nichukue kitengo hicho tartibuuuu....mmeshiba nyie
 
aisee, penzi kitovu cha uzembe

naona mmeamua kulipuana hadharani sasa baada ya kutombeana hadi basi tena

kweli mshahara wa dhambi ni mauti

hakuna yoyote hapo msafi, ni kundi la panya buku, mnaharibu kazi, mnaharibiana ndoa na sasa mnaambukizana magonjwa ya ngono tu

wafute tu hizi halmashauri, hakuna mnachofanya zaidi ya kubanduana na kula allowances

janjaweed upo mkuu? hilo neno Penzi kitovu cha uzembe limenikumbusha mbali sana enzi radio tanzania duh zamani raha sana
 
hizi nie ESIKROOOOO ooooo ndogo ndogo....ambazo zinakuja kuzaa likubwaa....mengi yataibuka zama za mitandaooo
 
Kweli tumeumbwa tofauti.....wengine wanalamba bingo za Escrow huku wengine wanagombea madem....:becky:
 
hapo kuna nzega kuna tatizo,unajaribu kulificha kumbe ndo wachochea moto.
 
Kama mkurugenzi wa Halmashauri ndiyo kiongozi wa kuchepuka unategemea hao akina Aloyce wafanye nini? Nani atamfunga mwenzake kengele? Tatizo hawa watumishi wanafanya kazi kama zao kumbe ni za umma. Wachunguzwe hawa mengi yamejificha.
 
Back
Top Bottom