Ukweli kesi ya mzungu na Airbus yetu

Ukweli kesi ya mzungu na Airbus yetu

Mkuu, umenitafakarisha khs specific damages na general damages.
Mkuu kuijua sheria ni kutamu sana hapo serikali haitakua na uwezo wa ku prove maana itahitajika documentation ambazo hazipo zitakataliwa maana zitakua ni za kupika
 
kazi ipo hapo kwenye valuation ya hiyo gharama ya kuiharibia hadhi na kuipotezea dira route ya Tanzania -South - Hapa naona tuseme tu 30M usd
 
Hauwezi kufanya kitu kama hicho maana kwa vyovyote vile gharama za kuipaki ndege SA kwa siku zote haiwezekani wala gharama za hao mawakili wa huko SA haiwezi kufika $10,000,000 tangu siku ndege imeshikiliwa hadi inaruhusiwa..sheria ni tamu sana kama unaijua..
Wewe umeangalia upande mmoja. Gharama za kuchafua image ya ATCL kwa wateja ni priceless! Kupoteza trust ya wateja kwa airline changa kama hii si jambo dogo. Hizo $10m ni ndogo kwa hasara ya kuharibu jina na imani ya wateja.
 
Mkuu kuijua sheria ni kutamu sana hapo serikali haitakua na uwezo wa ku prove maana itahitajika documentation ambazo hazipo zitakataliwa maana zitakua ni za kupika
Mkuu kuijua sheria ni kutamu sana hapo serikali haitakua na uwezo wa ku prove maana itahitajika documentation ambazo hazipo zitakataliwa maana zitakua ni za kupika
 
Mkuu kuwa mambo mengi ya kuangalia hapo,
1.Gharama za mawakili
2.parking charges
3.disturbance allowance kwa abiria wa S.A, na wengine wote waliokuwa wanaisubiria ndege kwenye route yake
4.Hili ndio kubwa zaidi, kuondoa uaminifu kwa wateja wa ATCL na kutengeneza image mbaya ya ATCL kwenye biashara.
5.Gharama za serikali kuifuatilia ndege.
1. Gharama za mawakili hazitazidi $200,000
2.Parking charges hazifiki hata $20,000
3.Hao abiria walishafaulishwa kwenye ndege zingine zinazokuja Tanzania i.e Malawi Airlines na South African Airlines pia kwa siku husika labda walilzwa kwenye 3-5 star hotel swali ni je walikua wangapi na karatasi za malipo ziko wapi hio gharama haiwezi zidi $300,000
4. Hukumu ya kuharibu reputation ipo kwenye general damages maana huwezi ku prove hiki kitu unaweza pingwa kwamba hili shirika halina reputation nzuri maana lina cancellation nyingi na delays, hivyo ni swala ni la jaji husika kuamua
5. Hizo gharama za serikali kufatilia ndege haziwezi kufika $400,000
Kwaio mkuu kama unavyoona hizo gharama gazifiki hata $3,000,000
 
Wewe umeangalia upande mmoja. Gharama za kuchafua image ya ATCL kwa wateja ni priceless! Kupoteza trust ya wateja kwa airline changa kama hii si jambo dogo. Hizo $10m ni ndogo kwa hasara ya kuharibu jina na imani ya wateja.
Huna utaalamu wa sheria kwenye hilo jambo nimeshaliongelea hilo lipo kwenye discretion ya jaji husika maana hivyo ni vitu ambavyo kisheria huwezi prove maana ni general damages...
 
Huna utaalamu wa sheria kwenye hilo jambo nimeshaliongelea hilo lipo kwenye discretion ya jaji husika maana hivyo ni vitu ambavyo kisheria huwezi prove maana ni general damages...
Kwahio wewe ushajua tayari gharama ilizoingia ATCL ni chini ya $10m? Wataalam nyinyi si ndio mlikuwa mnabeza mawakili wa serikali wakati wanaenda kupambana huko? Utaalam wa sheria my foot!
 
Sasa kwanini asilipwe ela yake???, dawa ya deni kulipa, ukiangalia hapo mkorofi ni serikali kwa kutokumlipa huyo mzungu deni la haki kabisa ,deni lililosajiliwa na mahakama yetu wenyewe, kwanini serikali haitaki kumlipa huyo mzungu???, huyo mzungu ni haki yake kupigania haki yake.

Hivi watanzania na serikali yetu hatuoni aibu kwa serikali yetu kutotii hukumu ya mahakama yetu katika shauri hilo???. Ni aibu.
tumia akili ww,hujaelewa tu duuuh
 
Kwa jinsi nanavyoona ,mzungu kaingia choo cha kike,kwenye kuilipa serikali fidia ,atalipishwa za kuzidi anazodai,na hapo ndipo patamu.maana kulijenga hilo jina la Atcl kibiashara si mchezo.
Kingine nahisi pesa hii atakayotakiwa huyu mzungu kuilipa wakili wake lazima naye atamuongezea kwenye ulipaji,kwa kutaifishwa mali zake na kesi juu.japo alikua antumikia tumbo.
Hii iwe lesson kwa watanzania wanaoishi kijanjajanja kwa kukamua kodi za wananchi bila huruma
Mahakama inaegemea kwa mtu binafsi vs corporations or governments (lay man's view)
 
Sasa wapatikane wanaujua kukalukuleti hiyo fidia, kile alichokuwa anatudai sasa adaiwe yeye.

Yaani ardhi yetu na bado tulipishwe sisi fidia ya mamilioni kwayo.
 
Kwahio wewe ushajua tayari gharama ilizoingia ATCL ni chini ya $10m? Wataalam nyinyi si ndio mlikuwa mnabeza mawakili wa serikali wakati wanaenda kupambana huko? Utaalam wa sheria my foot!
Gharama ilizoziingia serikali haziwezi kuzidi $3,000,000 mimi ndo ninaesema hata ikiwa utaalamun wa sheria your fingers kwenye hili huna unachokijua..gharama specific zinazoweza kua proved na serikali haziwezi kuzidi $3,000,000 mimi ndo nakuambia hivyo
 
toa mchanganuo sio unasema tu haziwezi,si inategemea na namna gani wata justify hilo swala??siku 11 kuiweka ndege isifanye kazi plus tuna m sue for defamation???atatulipa yeye,na mm ndo nakuambia ni $ 11 million
 
Mchanganuo umeshawekwa pia sababu hii itakua ni kesi ya madai kutakua na specific na general damages ambazo nimeshazitolea maelezo sasa hio defamation yaki kwanza kimsingi hio kesi hai qualify kwa defamation refer to its definition then come again mr praise team
 
Haki itaonekana imetendeka kwa sababu hawa wazungu wamezulumu ardhi ya mababu zetu 'ancestral land' kiujanjaujanja kama alivotaka kufanyaya kwenye kesi hii. JPM ni kiboko yao, peleka hii wakili uchwara kama muhujumu uchumi. 'ukifanya dhambi malipo hapahapa'.
Tusubiri na malipo ya madhambi yenu kulipwa hapa hapa. Rule of thumb.
 
Mkuu Lyamber, fifa nafikiri ni zaidi ya mambo hayo mawili. Kumbuka ATC wamekuwa wakusafirisha abiria kupitia reprotection arrangement na wataendelea kufanya hivyo mpaka narudi katika soko hilo kutokana na forward booking walizonazo. Nafikiri ATCL wakiwa na team nzuri ya mawakili kuna michuzi ya kutosha maana madai ni lukuki.

Hauwezi kufanya kitu kama hicho maana kwa vyovyote vile gharama za kuipaki ndege SA kwa siku zote haiwezekani wala gharama za hao mawakili wa huko SA haiwezi kufika $10,000,000 tangu siku ndege imeshikiliwa hadi inaruhusiwa..sheria ni tamu sana kama unaijua..
 
Mchonga alikuwa mzulumaji haswa na Azimio lake la Arusha ndio maana lilifeli.Watu wengi sana walidhulumiwa haki zao!
 
Back
Top Bottom