Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Kamanda hata gharama za kulipia abiria hotelini,ndege nyingine,mawakili, cancellation of flight hazipo?kweli hii hukumu imekuuma.Mkuu kuijua sheria ni kutamu sana hapo serikali haitakua na uwezo wa ku prove maana itahitajika documentation ambazo hazipo zitakataliwa maana zitakua ni za kupika