Nashukuru Pohamba ,naomba turudi kwenye sakata kama lile la ESCOROW, kuna watu inasemekana walichukua pesa kwa sandarusi , na kuna wengine pesa zilikua wired kwenye accounts zao , hawa waliowekewa kwenye Accounts zao kosa lao ni Tax invasion kama Prof Tibaijuka ,
Kwanini wote wasishitakiwe kwa kosa la money iligeal ing wakati walitumia illegal source of funds ??
Nashukuru Pohamba ,naomba turudi kwenye sakata kama lile la ESCOROW, kuna watu inasemekana walichukua pesa kwa sandarusi , na kuna wengine pesa zilikua wired kwenye accounts zao , hawa waliowekewa kwenye Accounts zao kosa lao ni Tax invasion kama Prof Tibaijuka ,
Kwanini wote wasishitakiwe kwa kosa la money iligeal ing wakati walitumia illegal source of funds ??
Pohamba kama umefuatilia vizuri mgogoro haukua umekishwa baina ya hao waliofungua Account ya Escorow na ndio maana Beno Ndulu aliukataa kabisa ushauri wa kina Werema ,pesa ilitolewa na mgogoro ulikuwepo ,kwanini hiyo kesi isiwe ya Money Laundering ??Seth na James walichukua pesa BOT baada ya kumaliza tofauti zao zilizosababisha Escrow Account kufunguliwa. Tanesco hata kama ilikuwa na madai ya Msingi haikuwahi kufungua kesi au shauri kuhusiana na Escrow Account hivyo ni third party japo wao ndio waliofungua.
Akina Tibaijuka kosa lao ni kuto declare kuwa wamepokea pesa kama inavyotakiwa ikizid elf50.
Wangine hawakuwa na kosa la kijinai wala la kimaadili ndio sababu unasikia kelele za kwny Coriddor tu ambazo ni za kisiasa na haziwezi kuisha kwa kuwa ndio kawaida ya siasa hata Uingereza wameanzisha mjadala kwa Cameroon kwa kosa la babu yake kuficha hela Panama japo wanajua kisheria wala kimaadili Mjukuu hawezi kuwa liable kwa kosa la babu
Acha uongo hili likesi sio la BongoRex ATTONEY ni kampuni yao wenyewe
akina MWANAIDI SINARE
EVE HAWA SINARE
watahonga hata kwa bilion tano ili tu watoke hii familia sio mchezo
,
Pohamba kama umefuatilia vizuri mgogoro haukua umekishwa baina ya hao waliofungua Account ya Escorow na ndio maana Beno Ndulu aliukataa kabisa ushauri wa kina Werema ,pesa ilitolewa na mgogoro ulikuwepo ,kwanini hiyo kesi isiwe ya Money Laundering ??
Siasa ipo wapi kwenye hayo maswali yangu ??Unataka tulijadili kitaalam na Kisheria au kisiasa?
Siasa ipo wapi kwenye hayo maswali yangu ??
Hizi ndio siasa sasa unazotaka tuchoshane ,Ripoti ya CAG ,wenyewe waliishia kusema inawezekana hela ni za uma ama sio za uma ,hiyo ilikua team work ya interlectuals ,halafu unataka tuhitimishe kwa facts zipi hizo mimi na wewe ?? PAC ,walitoa hitimisho lipi ??Hatutaelewana sipendi kukuchosha. Nakushauri kama alivyoshauri Mzee Kikwete pitia Report ya CAG neno kwa neno wewe mwenyewe! Nenda ka google Escrow Account ni nini,inafunguliwaje halafu rudi kwa case study yetu fuatilia ujue kama Tanesco waliwahi kuwa sehemu ya Mgogoro uliosababishwa Escrow Account kufunguliwa. Majibu utakayopata mwenyewe bila ya siasa wala ushabiki ndio uhalisia wa Scandle ya Escrow!
Ndio sababu nakushauri kasome badala ya kusomewa vipande vipande. Ili ziwe za umma kuna vitu walianisha lazima viwemo ili zisiwe za umma kuna vitu walianisha sasa kwa kuwa huna interest ya kuisoma siwezi kukulazimisha ni uamuzi wa hiyari.Hizi ndio siasa sasa unazotaka tuchoshane ,Ripoti ya CAG ,wenyewe waliishia kusema inawezekana hela ni za uma ama sio za uma ,hiyo ilikua team work ya interlectuals ,halafu unataka tuhitimishe kwa facts zipi hizo mimi na wewe ?? PAC ,walitoa hitimisho lipi ??
Pohamba unataka kuniaminisha nini ? Mjadala ulio itingisha taifa pengine kuliko kashfa yeyote ile ,nikasome nini sasa ? Kwamba walichokua wanakijidali wabunge kwenye ile ripoti ya PAC iliyosomwa yote na Zito Kabwe na Mwenzie Marehemu Deo ulikua ni upuuzi ??Ndio sababu nakushauri kasome badala ya kusomewa vipande vipande. Ili ziwe za umma kuna vitu walianisha lazima viwemo ili zisiwe za umma kuna vitu walianisha sasa kwa kuwa huna interest ya kuisoma siwezi kukulazimisha ni uamuzi wa hiyari.
Anashangilia ufisadi na huku babu yake analala kwenye tembe na kuishi maisha duni anaona waliofanya akina Kitilya na wenzake ni mambo ya kawaida au wameonewa,Watanzania siku hizi sijui tumerogwa uzalendo tumeutupa choo cha shimo,huu ni uzao wa nyoka kwa kweliHata mimi ! Agrrr!
mnahamishia mjadala kwenye escrow badala ya mada inataka nini??Pohamba unataka kuniaminisha nini ? Mjadala ulio itingisha taifa pengine kuliko kashfa yeyote ile ,nikasome nini sasa ? Kwamba walichokua wanakijidali wabunge kwenye ile ripoti ya PAC iliyosomwa yote na Zito Kabwe na Mwenzie Marehemu Deo ulikua ni upuuzi ??
Neno lililotumika kwenye ripoti ya CAG ni pesa zinaweza kuwa za uma ama sio ,neno inaweza maana yake ni kutokua na uhakika wa moja kwa moja kwa tafsiri yangu ,kama ndivyo basi sababu zilizotolewa kwamba ni kwanini ni za uma au sio za uma bado halikuhitimisha swala lenyewe ,ndio maana mpaka leo swala la Escorow ni kama hadithi za abunuasi ,vyovyote vile ipo siku ukweli utajulikana ,asante kwa muda wako na mchango wako
Na kama ripoti ilitoa sababu zake kwamba hela inaweza kuwa za uma ama sio ,Jakaya yeye alitoa wapi ujasiri wa kusema zile pesa sio za uma ?? Wakati aliowapa hiyo kazi wao walishindwa kuja na hitimisho ?
Umefuatilia swali la msingi lilikua lipi mpaka tukafikia hapa ?mnahamishia mjadala kwenye escrow badala ya mada inataka nini??
Nashukuru Pohamba ,naomba turudi kwenye sakata kama lile la ESCOROW, kuna watu inasemekana walichukua pesa kwa sandarusi , na kuna wengine pesa zilikua wired kwenye accounts zao , hawa waliowekewa kwenye Accounts zao kosa lao ni Tax invasion kama Prof Tibaijuka ,
Kwanini wote wasishitakiwe kwa kosa la money laundering wakati walitumia illegal source of funds ??